#COVID19 Rais Samia muda wa kauli thabiti kuhusu Korona unakuyoyoma

#COVID19 Rais Samia muda wa kauli thabiti kuhusu Korona unakuyoyoma

Kuna muda alimpumzika na kuacha kupiga kelele za corona kwa sababu hazikuwa na kiki wakati,kile kipindi cha kampeni hadi uchaguzi mwaka jana hakuwahi kuleta uzi wa kuhusu corona yeye alikuwa anampamba Lissu tu na kushindanisha nyomi na Magufuli.
Ni mpuuzi flani ambae hujiona ana akili sana wakati ni empty tu kichwani mwake!
 
Itakua ushamba unamsumbua huyu,,yaani anagonjea aambiee kujikinga na ugonjwa kama kuwa hawezi kujiongeza mwenyewe,,he is dumb ,too dumb

Mshamba ni wewe jombi.

Nisiache kukutaarifu. Don't even mind to write back.
 
Unataka serikali ije ikugongee mlango kukwambia vaa barakoa ?
 
Kweli kabisa apige marufuku usafiri wa umma Kama Uganda,hakuna kufanya biashara yeyote,shule na vyuo vifungwe mpaka tutakapo pata taarifa ya wimbi la 3 limepita,maana hatujui likija litachukua miaka mingapi,likitokea jingine tufungie.

Heri tufe na njaa na watu wapoteze kazi na mishahara isimamishwe kwa sababu watu watakuwa wameacha kwenda kazini.ili tuwafurahishe watoa misaada rais aheshimiwe kimataifa.

Maana heshima hiyo ni ya maana kuliko maisha ya watanzani alioachiwa na Mwendazake.
 
Sina shaka kuwa nakijua kiingereza kuliko wewe. Ila nisiache kukwambia:

"I take no orders from ignorant fools."

Habari ndiyo hiyo.
Hongera ndugu mtaalam. Una ufahamu mtihani wa Toefil au IELTS? Kama hujafanya any of these, u've no right ku claim kuwa unakijua Kingereza.
 
Mshamba ni wewe jombi.

Nisiache kukutaarifu. Don't even mind to write back.
Kunitaarifu kuhusu nini babu..?,yaani wewe ndo mtoa taarifa za corona nchi hii?.
Acha kujipa majukumu hujapewa,kila mtu anajua kuhusu corona,hizo taarifa ukampee wife yako,,
 
Kumekuwapo maonyo mengi tangia ugonjwa huu ulipoingia. Ni wazi kuwa kutokana na kauli mkanganyiko zilizokuwapo katika nyakati mbali mbali hali halisi ndiyo hii inayoonekana leo...
Watu mnashangaza sana. Sijawahi ona mtu analilia kufungiwa ndani!!! Alafu akishafungiwa ndani ndo aanze kukosoa kuwa anakufa kwa njaa[emoji57][emoji57]
 
Ni mpuuzi flani ambae hujiona ana akili sana wakati ni empty tu kichwani mwake!
Tatizo lake alikuwa anaitumia corona kueleza hisia zake kwa Magufuli, kwake yeye corona ni Magufuli na Magufuli ni corona ndio maana ile mwaka jana kipindi cha uchaguzi akawa anamtumia Lissu akaachana na corona huku akijibu kabisa et wakati huo uchaguzi ndio kipaumbele kwa sababu ya kumtoa Magufuli madarakani.

Ni kajinga fulani tu huwa nakionaga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mleta mada inawezekana kula yake inatokana na kuipigia debe corona!

Ana thread zaidi ya 200 zinazohusu corona, yani yeye tangu januari mwaka jana ni kupigania uwepo wa corona!
Hayu ni mnufaika no.moja ina muuma Sana Watanzania wakiendelea na maisha Kama kawaida bila hofu aliyo waondolea Mwendazake.
 
Ukiona watu wanasubiri kauli za viongozi ndo wafanye jambo, hapo kuna shida kubwa

Shida si ndogo. Shida ni ya kurithi ndani ya maadui wakubwa: ujinga, umasikini na maradhi.

Hasa pale walipoaminishwa kisiasa kuwa ugonjwa haupo, tena ni vita vya kiuchumi dhidi ya Tanzania.
 
Tatizo lake alikuwa anaitumia corona kueleza hisia zake kwa Magufuli, kwake yeye corona ni Magufuli na Magufuli ni corona ndio maana ile mwaka jana kipindi cha uchaguzi akawa anamtumia Lissu akaachana na corona huku akijibu kabisa et wakati huo uchaguzi ndio kipaumbele kwa sababu ya kumtoa Magufuli madarakani.

Ni kajinga fulani tu huwa nakionaga.
Kabisa!

Walimsindikiza hadi Lisu kwenda kununua nyanya kariakoo bila barakoa huku wakitaka rais atoe tamko,

Mimi huwa nawadharau sana hawa wafuasi wa amsterdam.
 
Kikinuka hata mama akiwa hai hatabaki madarakani
Hakuna wa kukinukisha nchi ya mazezeta a.k.a maiti hii. Hata uanze kuyachapa viboko 3 kila asubuhi matanzania hayatafanya kitu.
 
Back
Top Bottom