#COVID19 Rais Samia muda wa kauli thabiti kuhusu Korona unakuyoyoma

#COVID19 Rais Samia muda wa kauli thabiti kuhusu Korona unakuyoyoma

Kiuhalisia IQ yako na thinking capacity yako ipo very low. Sema sababu yawezekana tatizo la ujinga ni la kurithi(ukoo wenu) wala hutakaa ujue kwamba huna akili sababu hata waliokuzunguka ni mbumbumbu kama wewe.
Matusi ya nini lakini?
 
Hayu ni mnufaika no.moja ina muuma Sana Watanzania wakiendelea na maisha Kama kawaida bila hofu aliyo waondolea Mwendazake.
Na ameshafeli

Aje tumwajiri awe house girl maisha yataenda tu
[emoji23][emoji23]
 
Kweli kabisa apige marufuku usafiri wa umma Kama Uganda,hakuna kufanya biashara yeyote,shule na vyuo vifungwe mpaka tutakapo pata taarifa ya wimbi la 3 limepita,maana hatujui likija litachukua miaka mingapi,likitokea jingine tufungie...
Wao hayo ya kufunga shughuli hawataki yani kifupi hawataki kuathirika na hizo changamoto za kupambana na corona,wao wanataka barakoa tu ndio jambo rahisi kwao ili wapate sifa na hela ila wenyewe wenye kutoa hela wameshtukia wanataka takwimu.
 
Hayu ni mnufaika no.moja ina muuma Sana Watanzania wakiendelea na maisha Kama kawaida bila hofu aliyo waondolea Mwendazake.

Utakuwa mnufaika no.1 wa vifo vya watu.

IMG_20210624_224243_252.jpg

Mwendazake aliyetoa hofu ni huyu aliyevukwa kiatu mwaka jana akilala mbele?
 
We jamaa hujionagi Kama m.senge asiye na akili au zwazwa kukaa unaiwaza Corona tangu may 2020 unakomalia lockdown hadi leo!?.. hunaga kazi,mke au watoto au hata demu wa kukuweka bize!?.. Kuna watu mmezaliwa ili neno MPUMBAVU lipate watu wa kuwa mfano halisi.
Huyo jamaa huwaga ni th.ako kweli
 
Kauli yako italiokoa taifa hili. Wakati chelewa yako (nasikitika kusema) hali ikija kuwa mbaya utawala wako utakuwa njia panda...
Niliandika humu, watu kama Polepole ambao ni wateule wa Rais wako ndani ya mamlaka yako kutengua uteuzi wao (kama ilivyo kwa wakuu wa mikoa nk), maana wanaleta siasa katika corona - hawakusaidii.

Kama hilo haliwezekani basi katiba ina tatizo>
 
Watu mnashangaza sana. Sijawahi ona mtu analilia kufungiwa ndani!!! Alafu akishafungiwa ndani ndo aanze kukosoa kuwa anakufa kwa njaa[emoji57][emoji57]
Mkuu mtu ambae amekaa tu alikoolewa dadake atajua chochote kweli?
 
Kabisa!

Walimsindikiza hadi Lisu kwenda kununua nyanya kariakoo bila barakoa huku wakitaka rais atoe tamko,

Mimi huwa nawadharau sana hawa wafuasi wa amsterdam.
Mimi tokea kipindi kile ndio nikagundua kumbe jamaa ni siasa tu hana cha corona wala nini.
 
Utakuwa mnufaika no.1 wa vifo vya watu.

View attachment 1829185

Mwendazake aliyetoa hofu ni huyu aliyevukwa kiatu mwaka jana akilala mbele?
Una mjomba wako ana Corona? Kama unaipenda tuombe ikutembelee wewe na ukoo wako.
Hongera wewe mjanja maana una uwezo wa kukwepa kifo na utaishi milele,Mwendazake alikuwa mshamba ndo maana alikufa.
 
Niliandika humu, watu kama Polepole ambao ni wateule wa Rais wako ndani ya mamlaka yako kutengua uteuzi wao (kama ilivyo kwa wakuu wa mikoa nk), maana wanaleta siasa katika corona - hawakusaidii.
Kama hilo haliwezekani basi katiba ina tatizo>

Ugonjwa umefanywa siasa hata Mama asipoangalia utamgharimu.
 
Hongera ndugu mtaalam. Una ufahamu mtihani wa Toefil au IELTS? Kama hujafanya any of these, u've no right ku claim kuwa unakijua Kingereza.

Nimefanya mitihani zaidi ya hiyo ndiyo maana nimekuitisha uachane na lugha za mabeberu uandike tu hata kwa lugha yenu kabisa, wakalimani wapo.
 
Una mjomba wako ana Corona? Kama unaipenda tuombe ikutembelee wewe na ukoo wake.
Hongera wewe mjanja maana una uwezo wa kukwepa kifo na utaishi milele,Mwendazake alikuwa mshamba ndo maana alikufa.

Nadharia za vifo?:

Huko tulishatoka tena vifua mbere!
 
Niliandika humu, watu kama Polepole ambao ni wateule wa Rais wako ndani ya mamlaka yako kutengua uteuzi wao (kama ilivyo kwa wakuu wa mikoa nk), maana wanaleta siasa katika corona - hawakusaidii.

Kama hilo haliwezekani basi katiba ina tatizo>
Mjinga mwingine huyu!

Pole pole analeta masihara gani kwenye ishu ya corona?

Kwanini bavicha huwa mnafikiria kinyume nyume namna hii?

Sasa fanya hivi mwambie mme wako awafungie ndani wewe na watoto wako wote kisha mwambie siku mkisikia corona hakuna kabisa duniani ndio mtoke sawa?
 
Hakuna wa kukinukisha nchi ya mazezeta a.k.a maiti hii. Hata uanze kuyachapa viboko 3 kila asubuhi matanzania hayatafanya kitu.

Mkuu wimbi hili mola alipishilie mbali. Likikamata, kunuka kwake si unakokuongelea wewe.
 
Corona haipo, maisha huku yanaendelea hapa nimepishana na mwendokasi imeshona watu hatari hakuna Cha barakoa wala mavi ya barakoa
 
Back
Top Bottom