Ni mpuuzi flani ambae hujiona ana akili sana wakati ni empty tu kichwani mwake!Kuna muda alimpumzika na kuacha kupiga kelele za corona kwa sababu hazikuwa na kiki wakati,kile kipindi cha kampeni hadi uchaguzi mwaka jana hakuwahi kuleta uzi wa kuhusu corona yeye alikuwa anampamba Lissu tu na kushindanisha nyomi na Magufuli.
Itakua ushamba unamsumbua huyu,,yaani anagonjea aambiee kujikinga na ugonjwa kama kuwa hawezi kujiongeza mwenyewe,,he is dumb ,too dumb
Unataka serikali ije ikugongee mlango kukwambia vaa barakoa ?
Kunawatu wanafurahi sana wakiambiwa Tanzania kuna CORONA🤔🤔🤔
Hongera ndugu mtaalam. Una ufahamu mtihani wa Toefil au IELTS? Kama hujafanya any of these, u've no right ku claim kuwa unakijua Kingereza.Sina shaka kuwa nakijua kiingereza kuliko wewe. Ila nisiache kukwambia:
"I take no orders from ignorant fools."
Habari ndiyo hiyo.
Kunitaarifu kuhusu nini babu..?,yaani wewe ndo mtoa taarifa za corona nchi hii?.Mshamba ni wewe jombi.
Nisiache kukutaarifu. Don't even mind to write back.
Watu mnashangaza sana. Sijawahi ona mtu analilia kufungiwa ndani!!! Alafu akishafungiwa ndani ndo aanze kukosoa kuwa anakufa kwa njaa[emoji57][emoji57]Kumekuwapo maonyo mengi tangia ugonjwa huu ulipoingia. Ni wazi kuwa kutokana na kauli mkanganyiko zilizokuwapo katika nyakati mbali mbali hali halisi ndiyo hii inayoonekana leo...
Sasa hiyo kauli thabiti ni gani?,Unayasoma wapi hayo?
Tatizo lake alikuwa anaitumia corona kueleza hisia zake kwa Magufuli, kwake yeye corona ni Magufuli na Magufuli ni corona ndio maana ile mwaka jana kipindi cha uchaguzi akawa anamtumia Lissu akaachana na corona huku akijibu kabisa et wakati huo uchaguzi ndio kipaumbele kwa sababu ya kumtoa Magufuli madarakani.Ni mpuuzi flani ambae hujiona ana akili sana wakati ni empty tu kichwani mwake!
Bwana musiba unateseka ukiwa wapi...?Wajinga wajinga huwa tunajaribu kawaelimishe kwa muda tu tukitegemea wataelimika. Hatuendelei kuwaelimisha hadi kuja kwa Messiah mara ya pili:
View attachment 1829167
Hiyo ndiyo habari yenyewe.
Hayu ni mnufaika no.moja ina muuma Sana Watanzania wakiendelea na maisha Kama kawaida bila hofu aliyo waondolea Mwendazake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mleta mada inawezekana kula yake inatokana na kuipigia debe corona!
Ana thread zaidi ya 200 zinazohusu corona, yani yeye tangu januari mwaka jana ni kupigania uwepo wa corona!
Ukiona watu wanasubiri kauli za viongozi ndo wafanye jambo, hapo kuna shida kubwa
Bwana musiba unateseka ukiwa wapi...?
Kabisa!Tatizo lake alikuwa anaitumia corona kueleza hisia zake kwa Magufuli, kwake yeye corona ni Magufuli na Magufuli ni corona ndio maana ile mwaka jana kipindi cha uchaguzi akawa anamtumia Lissu akaachana na corona huku akijibu kabisa et wakati huo uchaguzi ndio kipaumbele kwa sababu ya kumtoa Magufuli madarakani.
Ni kajinga fulani tu huwa nakionaga.
Hakuna wa kukinukisha nchi ya mazezeta a.k.a maiti hii. Hata uanze kuyachapa viboko 3 kila asubuhi matanzania hayatafanya kitu.Kikinuka hata mama akiwa hai hatabaki madarakani