Matusi ya nini lakini?Kiuhalisia IQ yako na thinking capacity yako ipo very low. Sema sababu yawezekana tatizo la ujinga ni la kurithi(ukoo wenu) wala hutakaa ujue kwamba huna akili sababu hata waliokuzunguka ni mbumbumbu kama wewe.
Na ameshafeliHayu ni mnufaika no.moja ina muuma Sana Watanzania wakiendelea na maisha Kama kawaida bila hofu aliyo waondolea Mwendazake.
Wao hayo ya kufunga shughuli hawataki yani kifupi hawataki kuathirika na hizo changamoto za kupambana na corona,wao wanataka barakoa tu ndio jambo rahisi kwao ili wapate sifa na hela ila wenyewe wenye kutoa hela wameshtukia wanataka takwimu.Kweli kabisa apige marufuku usafiri wa umma Kama Uganda,hakuna kufanya biashara yeyote,shule na vyuo vifungwe mpaka tutakapo pata taarifa ya wimbi la 3 limepita,maana hatujui likija litachukua miaka mingapi,likitokea jingine tufungie...
We huna tofauti na wale mangucha wa makoroboiTangu lini Musiba akamnanga mwendazake.
Nikuulize sasa bwana Musiba. Ulishatoka Eda?
Hayu ni mnufaika no.moja ina muuma Sana Watanzania wakiendelea na maisha Kama kawaida bila hofu aliyo waondolea Mwendazake.
Huyo jamaa huwaga ni th.ako kweliWe jamaa hujionagi Kama m.senge asiye na akili au zwazwa kukaa unaiwaza Corona tangu may 2020 unakomalia lockdown hadi leo!?.. hunaga kazi,mke au watoto au hata demu wa kukuweka bize!?.. Kuna watu mmezaliwa ili neno MPUMBAVU lipate watu wa kuwa mfano halisi.
Niliandika humu, watu kama Polepole ambao ni wateule wa Rais wako ndani ya mamlaka yako kutengua uteuzi wao (kama ilivyo kwa wakuu wa mikoa nk), maana wanaleta siasa katika corona - hawakusaidii.Kauli yako italiokoa taifa hili. Wakati chelewa yako (nasikitika kusema) hali ikija kuwa mbaya utawala wako utakuwa njia panda...
We huna tofauti na wale mangucha wa makoroboi
Mkuu mtu ambae amekaa tu alikoolewa dadake atajua chochote kweli?Watu mnashangaza sana. Sijawahi ona mtu analilia kufungiwa ndani!!! Alafu akishafungiwa ndani ndo aanze kukosoa kuwa anakufa kwa njaa[emoji57][emoji57]
Mimi tokea kipindi kile ndio nikagundua kumbe jamaa ni siasa tu hana cha corona wala nini.Kabisa!
Walimsindikiza hadi Lisu kwenda kununua nyanya kariakoo bila barakoa huku wakitaka rais atoe tamko,
Mimi huwa nawadharau sana hawa wafuasi wa amsterdam.
Una mjomba wako ana Corona? Kama unaipenda tuombe ikutembelee wewe na ukoo wako.Utakuwa mnufaika no.1 wa vifo vya watu.
View attachment 1829185
Mwendazake aliyetoa hofu ni huyu aliyevukwa kiatu mwaka jana akilala mbele?
Niliandika humu, watu kama Polepole ambao ni wateule wa Rais wako ndani ya mamlaka yako kutengua uteuzi wao (kama ilivyo kwa wakuu wa mikoa nk), maana wanaleta siasa katika corona - hawakusaidii.
Kama hilo haliwezekani basi katiba ina tatizo>
Hongera ndugu mtaalam. Una ufahamu mtihani wa Toefil au IELTS? Kama hujafanya any of these, u've no right ku claim kuwa unakijua Kingereza.
Una mjomba wako ana Corona? Kama unaipenda tuombe ikutembelee wewe na ukoo wake.
Hongera wewe mjanja maana una uwezo wa kukwepa kifo na utaishi milele,Mwendazake alikuwa mshamba ndo maana alikufa.
Mjinga mwingine huyu!Niliandika humu, watu kama Polepole ambao ni wateule wa Rais wako ndani ya mamlaka yako kutengua uteuzi wao (kama ilivyo kwa wakuu wa mikoa nk), maana wanaleta siasa katika corona - hawakusaidii.
Kama hilo haliwezekani basi katiba ina tatizo>
Hakuna wa kukinukisha nchi ya mazezeta a.k.a maiti hii. Hata uanze kuyachapa viboko 3 kila asubuhi matanzania hayatafanya kitu.
Huyo jamaa huwaga ni th.ako kweli
Songela.Nimefanya mitihani zaidi ya hiyo ndiyo maana nimekuitisha uachane na lugha za mabeberu uandike tu hata kwa lugha yenu kabisa, wakalimani wapo.