#COVID19 Rais Samia muda wa kauli thabiti kuhusu Korona unakuyoyoma

Ufumbuzi wa tatizo hili si lazima uwe unavyoona au unavyotaka wewe au awaye yote:

Uwepo wa wataalamu wabobezi wanaomshauri mama ndiyo ngao yetu.

Kwa hakika wamedhamiria na tutavuka salama.

Kudos kwao.
 
Ufumbuzi wa tatizo hili si lazima unavyoona au unavyotaka wewe au awaye yote:

View attachment 1829310

Uwepo wa wataalamu wabobezi wanaomshauri mama ndiyo ngao yetu.

Kwa hakika wamedhamiria na tutavuka salama.

Kudos kwao.
Hiyo lazima ipo wapi? Maana nipo mbezi mwisho hapa watu wameshona kama kawa
 
Watu mnashangaza sana. Sijawahi ona mtu analilia kufungiwa ndani!!! Alafu akishafungiwa ndani ndo aanze kukosoa kuwa anakufa kwa njaa[emoji57][emoji57]

Haya ya kufungiwa huwa yanaokotwa wapi?

Nisiache kukusalimu kwa jina la JMT.
 
Hiyo lazima ipo wapi? Maana nipo mbezi mwisho hapa watu wameshona kama kawa

Unaniuliza mimi? Habari leo ni gazeti la serikali.

Kama vipi kuwa huru kuwasiliana na kamanda Sirro kwa msaada zaidi.
 
Kwani korona ipo hapa kwetu??? Mbona kama ilionfokaga toka mwezi March mwaka huu???
 
Kwani korona ipo hapa kwetu??? Mbona kama ilionfokaga toka mwezi March mwaka huu???

Kwa maneno yake Mama Samia katamka hii ngoma ipo.

Kwa ukweli na uthubutu wake atatuvusha!
 
Itakua ushamba unamsumbua huyu,,yaani anagonjea aambiee kujikinga na ugonjwa kama kuwa hawezi kujiongeza mwenyewe,,he is dumb ,too dumb

Unawajibika haya? Au nyani wale wale pori jipya?
 
Itakua ushamba unamsumbua huyu,,yaani anagonjea aambiee kujikinga na ugonjwa kama kuwa hawezi kujiongeza mwenyewe,,he is dumb ,too dumb

Vipi ushamba umeacha kukusumbua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…