Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo sio Ushahidi.Kuna ushahidi wa Maneno,Mkichague Mbunge MPINZANI sileti maendeleo jimboni kwenu,Mkurugenzi gari nikupe mimi,mshahara nikulipe mimi halafu mpinzani ashinde utanitambua,Wapinzani walichelewesha maendeleo.Ushahidi wa Matukio muda wote wa utawala wake MAFISADI aliokuwa anawaongelea ni wapinzani hasa hasa CHADEMA na karibia wale wote wenye ushawishi waliishia kusweka jela na kupigwa ,Tukio la Tundu Lisu Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania halijawahi tokea Tanzania tangu nchi ipate uhuru na hata kabla ya uhuru ila limetokea kwa shetani wa Chato.Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 haujawahi fanywa vile tangu nchi ipate uhuru na kabla ya uhuru.Sijawahi ona Uchaguzi Mkuu ukuisimamiwa na wanaccm,vifaru na wanajeshi kama uchaguzi wa 2020.
Kwa hiyo kama familia yako ni wajinga na wapumbavu endelevu ambao huzimishwa kwa maneno ya viyisho mimi siyo saizi hiyo niliyoyaona maovu ya Magufuri na wewe umeyaona sema tu ulikuwa upande wake.Akija mwingine kutoka Kanda nyingine na akaamuwa kuwatendea ubaya watu wa kanda yenu na kabila lenu hata asipokufunga wewe lakini macho yako na masikio yakiwa yanashuhudia hutafurahia hata siku moja.Tunapomsema Magufuri kwa ubaya siyo kwa sababu tunamchukia mbona zamani alikuwa Waziri wa kuigwa kila wizara aliyoisimamia ilifanya vizuri.Sisi tunachukia matendo aliyoyaleta Tanzania ambayo hayakuwahi kutokea hata kipindi cha mkoloni.
Siku hizi Kesi za UCHOCHEZI unazisikia???Na kama huzisikii zimeenda wapi wakati polisi ni wale wale waliokuwa wanatekeleza amri yake?Zamani ilikuwa ni rahisi kwa Mkubwa au mwenye mamlaka kudanganya wadogo.Hata sisi mama zetu wakijifungua tulikuwa tunaambiwa na wazazi kuwa Mtoto amenunuliwa sokoni na tukaamini kama vile wewe Magufuri alivyokuaminisha kuwa ADUI wa maendeleo Tanzania nia CHADEMA au Vyama vyama vya upinzani,Mafisadi,Wavivu,Wezi,Vibaraka wa Mabebru,Mashoga,Omba omba wanapatikana Upinzani.
Kua basi huu ni mwaka 2023 badilika leo CCM imebaki pekee yake ushuhudie jinsi Maendeleo yatakavyopaa na yakipaa kwa kasi yenu tutawakubali maana Wapinzani walichelewesha Maendeleo.Mkishindwa tutawasema kama tunavyomsema Magufuri baada ya kuleta siasa za Machafuko nchini Tanzania enzi za utawala wake.Tanzania ni yetu na hatuna mahali pa kwenda zaidi ya Tanzania,Ndoto ya mtu mmoja isitufanye kuwa sisi hatufai kuishi Tanzania.
Siasa by uhasama haziendi, aangalie Brazil au Marekani nk..
Kwanza Hilo haliwezekani,ushindani huzaa uhasama Ila kikibwa Ni kuvumiliana.
Huyu mama ni kiongozi mwerevu na mwenye hekima kubwa.
SAWA MAMA Mtangulizi wako ALIZIPENDA SANA HIZO SIASA MUNGU akupe Afya njema na Busara ili UTUPATIE KATIBA MPYA
Unasingizia tu.Baadhi ya wana CCM wenzetu hawataki amani, hawajapenda kabisa hii move.
Rais Samia Ni chaguo la Mwenyezi MUNGU, aliyeinuliwa na Mwenyezi MUNGU ,aliyeandaliwa na Mwenyezi MUNGU Tangia Akiwa Tumboni mwa mama take, Aliye kuja kuwatumikia Waja wa Mwenyezi MUNGU,Aliye na hofu ya Mwenyezi MUNGU,mcha Mungu,Mwenye kumtangulia Mungu,Mwenye kuyaishi maneno take,Asiyetaka kumuumiza yeyote aliyeumbwa na Mwenyezi MUNGU,Kwa kuwa anatambua uongozi hutoka kwa Mwenyezi MUNGU pekee na Ni Mungu pekee anayejuwa hatima ya kila mmoja wetu
Una Maana hao aliokuwa anahutubia ni wa Hayati?CCM ya Mwendazake hawataki siasa za amani, wamesikitishwa saana na hatua ya Mwenyekiti wetu Taifa kusema sasa yatosha - hawana uhakika kama watatoboa majukwaani maana wengi walisaidiwa kupita majimboni bila kupingwa, kuiba kura nk.
Hawajielewi, wanajisahau sana tu.Kumbe kulikuwa na siasa kipindi Cha J.P.M Mbona mlitwambia haliwazuia
Mkuu, una maono. Endeleza baraka zako. Na usiogope kuwakaripia waovu.Siasa za uhasama, wa kweli na wa kutunga, ni ajira kwa baadhi ya watu. Kama zitaondoka kuna wengi watakosa ajira.
Afadhali ya Chawa. Hao ni Maharamia.Machawa ndio mnamchanganya Mh. Rais kwa umbeya na unafiki wenu.
Hivi MUSIBA (mwanaharakati huru) yupo wapi nimemisi matamko yake.
NA HUU NDIYO UISLAM JINSI UNAVYOTUTAKA TUWE, LINI UKAONA KIONGOZI WA KIISLAM AKA UMIZA WATU, HAPA TANZANIA ZAIDI YA UTU WA HALI YA JUU.
Matunda yake yanaonekana Kwako.Akiathirika Mtanzania mwenzagu na mimi nimeathirika vile vile hata kisaikolojia,Swali .Tunaposema Wakoloni walitutesa je wewe uliathirika nini na je ulikuwepo wakati huo?
Magufuri alishavuna alichopanda bado wewe zamu yako maana hata Sabaya anavuna alichopanda hata Mnyeti anaelekea kuvuna alichopanda.Huo sio Ushahidi.
Ni maneno maneno ya Uchochezi.
Nafikiria mmefika stage nyingine.
Mtavuna mnacho panda.
Huwezi Kudai haki kwa kujishusha, kwa kujiita Mjinga, na yote yanayohusishwa na Ujinga.
Huna Upande wowote ule unaotetea, Iwe ni Mtanzania, Wananchi wake, CCM Chadema au Chama chochote kile.
Tafuta amani mapema. NUMBERS 12:1
Pindisha unavyotaka.Magufuri alishavuna alichopanda bado wewe zamu yako maana hata Sabaya anavuna alichopanda hata Mnyeti anaelekea kuvuna alichopanda.
Kumbuka kuwa heshima haipatikani kwa sababu ya kuunga mkono hoja dhoofu iliyojaa vitisho na dharau,heshima hutoka kwa hoja fikirishi yenye mtazamo chanya na siyo hasi kama unavyotaka wewe.Pindisha unavyotaka.
Mnaeleweka/Unaeleweka kwa hilo.
Una matatizo ya Ukimbari. kama sio Fikra.
Kawatishe wenzako TT
Ujiheshimu kwanza.
Ingependeza kama ungekuwa unafanya hayo madai yako.Kumbuka kuwa heshima haipatikani kwa sababu ya kuunga mkono hoja dhoofu iliyojaa vitisho na dharau,heshima hutoka kwa hoja fikirishi yenye mtazamo chanya na siyo hasi kama unavyotaka wewe.
I can't be a Victim always but the truth remains about what your GHOST did when he was alive and planted Evil deeds to many like you ,Makonda,Sabaya,Mnyeti and others and we are speaking openly in order that such thing should not repeat again.Ingependeza kama ungekuwa unafanya hayo madai yako.
Nafikiri ungetungiwa huo wimbo wako unaoimba kila jibu unalitoa. Your are not a Victim Brah.
Iimbwe kwenye Mduara duara ufutwe jasho.
kalaga bao, lola funza wako mwenyewe.