Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Katika hao wazee pia babako ni miongoni mwao?
Sina baba mduwanzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika hao wazee pia babako ni miongoni mwao?
Kwani yeye anafikiri kutakua na kukosoa?🤣 Zaidi itakua uzushi na uongo. Kama anataka wanaccm wamstahimili mwanasiasa mzandiki kama lissu, basi haitakii wema ccm na watanganyika.Leo, Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki kilele cha matembezi maalum ya UVCCM ya kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar ambapo katika sehemu ya hotuba yake amewasisitiza vijana wa UVCCM kuachana na siasa za kuchokozana na ugomvi na hata ikitokea watakosolewa basi wajibu kwa hoja.
"Zama za ugomvi, kupigana na kutukanana katika siasa sasa ziishe, twendeni na hoja za maana, twendeni na hoja za kujenga. Tuvumiliane tulete maendeleo ya kweli na yenye tija, ili tujenge Tanzania yenye maendeleo endelevu."- Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan
Aidha alisema kwa kuwa ameruhusu mikutano ya hadhara vyama vingine vitakaposimama na kuikosoa serikali basi wawe wasikivu wa nini kinasemwa ili kirekebishwe kwa maslahi ya Taifa.
"Tunapokosolewa tuyaangalie, yale ya kweli tuyachukue tuyafanyie kazi makosa yawe yameondoka. Yale ambayo sio ya kweli twendeni tukajibu kwa hoja lakini kubwa ni ustahamilivu."- Rais Samia Suluhu
![]()
Kwa sababu baba ako bado ni kijana?Sina baba mduwanzi.
Ndio unieleweshe inawezekana wewe unabahatisha enzi!... wengine wote wameelewa isipokuwa wewe!
Sio kijana lakini sio mshamba.Kwa sababu baba ako bado ni kijana?
Sawa tunashukuru Kwa kututukania wazee uwe na siku njema.Sio kijana lakini sio mshamba.
Kwani lini zilikuwapo?Zimeisha toka lini ?
Akiathirika Mtanzania mwenzagu na mimi nimeathirika vile vile hata kisaikolojia,Swali .Tunaposema Wakoloni walitutesa je wewe uliathirika nini na je ulikuwepo wakati huo?Haki-Sawa??.
Unajua nani walikomolewa chagua upande wowote ni haki yako;
Unajua ugomvi huo ni wa kibinafsi-Kila nguli alijitutumua; chagua pande ni haki yako
hiyo dharau unayodai ilikuwa ni vita tu.(social or class warfare) hence majina ya magenge-chagua pande haki yako;
Unajizimisha data- Hayo uliyoandika ndio Uhasama wenyewe. Na I am 1000% hukuathirika na yote hayo uliyasema ila una faidika nayo.
Wahenga walisema " Fainali Uzeeni" utakumbuka uhasama. Utagundua baada ya Data kurichaji.
Tafuta Amani mapema.
....
Rais Samia Ni chaguo la Mwenyezi MUNGU, aliyeinuliwa na Mwenyezi MUNGU ,aliyeandaliwa na Mwenyezi MUNGU Tangia Akiwa Tumboni mwa mama take, Aliye kuja kuwatumikia Waja wa Mwenyezi MUNGU,Aliye na hofu ya Mwenyezi MUNGU,mcha Mungu,Mwenye kumtangulia Mungu,Mwenye kuyaishi maneno take,Asiyetaka kumuumiza yeyote aliyeumbwa na Mwenyezi MUNGU,Kwa kuwa anatambua uongozi hutoka kwa Mwenyezi MUNGU pekee na Ni Mungu pekee anayejuwa hatima ya kila mmoja wetu

Asante Mama 🙏 umekomaa kisiasa sasaLeo, Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki kilele cha matembezi maalum ya UVCCM ya kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar ambapo katika sehemu ya hotuba yake amewasisitiza vijana wa UVCCM kuachana na siasa za kuchokozana na ugomvi na hata ikitokea watakosolewa basi wajibu kwa hoja.
"Zama za ugomvi, kupigana na kutukanana katika siasa sasa ziishe, twendeni na hoja za maana, twendeni na hoja za kujenga. Tuvumiliane tulete maendeleo ya kweli na yenye tija, ili tujenge Tanzania yenye maendeleo endelevu."- Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan
Aidha alisema kwa kuwa ameruhusu mikutano ya hadhara vyama vingine vitakaposimama na kuikosoa serikali basi wawe wasikivu wa nini kinasemwa ili kirekebishwe kwa maslahi ya Taifa.
"Tunapokosolewa tuyaangalie, yale ya kweli tuyachukue tuyafanyie kazi makosa yawe yameondoka. Yale ambayo sio ya kweli twendeni tukajibu kwa hoja lakini kubwa ni ustahamilivu."- Rais Samia Suluhu
![]()
Awamu ya tano, read between the lines. Inamaana mambo yabadilike kutoka kwa yale aliyoyapokea kutoka kwa mtangulizi wake wa kiti cha uraisi.Atwambie muda upi ulikuwa wa siasa uhasama
Toka kuundwa kwa jamhuri ya Tanganyika chini ya TANU mpaka sasa jamhuri ya muungano wa Tanzania chini ya CCM.Kwani lini zilikuwapo?
Huna Ushahidi wewote ule? Huna. Zaidi ya Porojo na Uhasama.Awamu ya Tano chini ya dicteta magufuri siasa za ugomvi,vijembe,matusi,dharau na kukomoana zilishamiri sana.
Kuna aina ngapi za USHAHIDI?Ukijibu hapo tutaendelea ila kama ukishindwa basi wewe ni mpenda majungu kama mwendazake.Huna Ushahidi wewote ule? Huna. Zaidi ya Porojo na Uhasama.
Kalaga bao.
Kuna ushahidi wa Maneno,Mkichague Mbunge MPINZANI sileti maendeleo jimboni kwenu,Mkurugenzi gari nikupe mimi,mshahara nikulipe mimi halafu mpinzani ashinde utanitambua,Wapinzani walichelewesha maendeleo.Ushahidi wa Matukio muda wote wa utawala wake MAFISADI aliokuwa anawaongelea ni wapinzani hasa hasa CHADEMA na karibia wale wote wenye ushawishi waliishia kusweka jela na kupigwa ,Tukio la Tundu Lisu Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania halijawahi tokea Tanzania tangu nchi ipate uhuru na hata kabla ya uhuru ila limetokea kwa shetani wa Chato.Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 haujawahi fanywa vile tangu nchi ipate uhuru na kabla ya uhuru.Sijawahi ona Uchaguzi Mkuu ukuisimamiwa na wanaccm,vifaru na wanajeshi kama uchaguzi wa 2020.Wewe nawe una akili kweli. na Ujinga wako.. Kwani tuko Shuleni hapa.!
Kama jibu lako tu la ajabu ajabu tu.
Liko wazi wazi tu. Nilitegemea.