Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Tusifanye utetezi wa uwongo.Siasa za uhasama mlizianzisha nyie chadema sema hamkujua uvumilivu wa kiongozi mmoja mmoja, kikwete alikuwa mvumilivu lkn ikawa tofauti Kwa magufuli, so revenge ya magufuli ilikuwa doubled ndo mana mkamuona yeye kama mshari Ila wachokozi mlikuwa nyinyi.
Marehemu, kwa asili yake alikuwa mtu katili, aliyetegemea ukatili, kuwatisha watu badala ya hoja.
Fikiria yule mkurugenzi wa Bukoba aliyemjibu kwa busara kabisa, halafu fuatilia reaction ya marehemu. Fikiria watu aliowapora pesa kwa uonevu au aliowabambikia kesi, aliowateka, kuwaua na kuwapoteza. Hao wote walianzisha siasa za uhasama dhidi yake? Kwa ujumla hakuwa mtu wa kawaida, na huenda tunamlaumu bure, yawezekana ni hilo tatizo lake la afya ya akili ilimfsnya awe hivyo. Kuna wakati alikuwa anatoa kauli nzuri mpaka mnasema sasa ameanza kubadilika, ghafla atabadilika na kutenda mambo ya ajabu.