Rais Samia: Muda wa siasa za uhasama umekwisha

Huo sio Ushahidi.
Ni maneno maneno ya Uchochezi.
Nafikiria mmefika stage nyingine.
Mtavuna mnacho panda.

Huwezi Kudai haki kwa kujishusha, kwa kujiita Mjinga, na yote yanayohusishwa na Ujinga.

Huna Upande wowote ule unaotetea, Iwe ni Mtanzania, Wananchi wake, CCM Chadema au Chama chochote kile.

Tafuta amani mapema. NUMBERS 12:1
 
Toka mwanzo wa mada hii kumekuwa na Uhasam, pamoja na kuwa mleta mada mwanahudhuri Kalacha Mateo amedai
" Muda wa Siasa za Uhasma Umekwisha"
Najiuliza;
Je ni Maneno yaliyonukuliwa moja kwa moja kutoka kwenye Hotuba ya Raisi? Ni maneno ya Raisi(ad-lib) au Ni maneno ya Kachala?
Who said dem words!!!!???? Muda wa Siasa za Uhasama umekwisha?

Nani alikuwa mlengwa wa hayo?....Ninachojua kwa uhakika walengwa wakuu walikuwa UVCCM
Kama kuna wengine huyo Kalacha Mateo aje atueleze....inawezekana yumu humu na ID tofauti.


Halikadhaliaka tunaweza sema walengwa ni Vijana wote Tanzania, Wananchi wa Tanzania....Sasa kwa nini bado huo Uhasama, bado unaokana wazi humu?? Why?
 
Siasa by uhasama haziendi, aangalie Brazil au Marekani nk..

Kwanza Hilo haliwezekani,ushindani huzaa uhasama Ila kikibwa Ni kuvumiliana.

Siwezi kuvumilia kwa haya yafuatayo.

Kwanza niseme kwa mada zako, kwa maneno yako hauchangii kingine zaidi ya kuleta , na kuendeleza Huo Uhasama una nongwa, una unduminakuwili.
Hakuna sehemu yoyote ile ambayo umeomba au kudai uvumilivu. Nani avumilie? Na kwa sababu zipi?

Mna mitindo ya kuspin mambo mengi tu humu ilimradi inatosheleza azma yenu-Uhasama na mwishowe muone Nchi kama Tanzania inamegeka kwa itikadi, kitu ambacho hakipo. Ulikuwa mstari wa mbele kuona mikoa ya kusini na kaskazini inagawanyika kwa itikadi zenu za Ushetani.

Unabisha?

Ukiulizwa kwa hoja unakurupuka na kuanza matusi! Unaleta mzaha mzaha unajichekesha, unasepa.,
Seriously, you cannot lecture anyone about Uvumilivu- huna hulka hiyo na kuna uthibitisho tosha wa kuwa wewe sio Mvumilivu. Na hilo unalodai ni Ushindani ni Ushindani gani huo?
 
SAWA MAMA Mtangulizi wako ALIZIPENDA SANA HIZO SIASA MUNGU akupe Afya njema na Busara ili UTUPATIE KATIBA MPYA

Ulicho bandika ndicho kinaitwa Kinafiki nafiki

Huna lolote lile ulilosema zaidi ya Kupindisha aliyoyasema.
 

Mungu Lazima akushangae.
Huna lolote lile la moyoni.
Nongwa hiyo.

Akija Kukushugulikia ukumbuke kutubu...na mara hiyo Useme Ukweli....kama ulikuwa hujui anayajua yako ya moyoni.

Angalia usijekujikwaza na maneno yako mwenyewe.

Amani ikutatandae
 
CCM ya Mwendazake hawataki siasa za amani, wamesikitishwa saana na hatua ya Mwenyekiti wetu Taifa kusema sasa yatosha - hawana uhakika kama watatoboa majukwaani maana wengi walisaidiwa kupita majimboni bila kupingwa, kuiba kura nk.
Una Maana hao aliokuwa anahutubia ni wa Hayati?

Au unapindisha tu alimradi kuchagiza Uhasama.?

Najua hujielewi.
 
Kumbe kulikuwa na siasa kipindi Cha J.P.M Mbona mlitwambia haliwazuia
Hawajielewi, wanajisahau sana tu.

Ni wapuuzi na Wajinga wakubwa katika Dunia hii.
Wameishiwa

Ubarikiwe kwa kuona hilo na uendelee kuwakaripia maovu yao.
 
Siasa za uhasama, wa kweli na wa kutunga, ni ajira kwa baadhi ya watu. Kama zitaondoka kuna wengi watakosa ajira.
Mkuu, una maono. Endeleza baraka zako. Na usiogope kuwakaripia waovu.
Unawasoma vizuri tu.
 
Akiathirika Mtanzania mwenzagu na mimi nimeathirika vile vile hata kisaikolojia,Swali .Tunaposema Wakoloni walitutesa je wewe uliathirika nini na je ulikuwepo wakati huo?
Matunda yake yanaonekana Kwako.
 
Magufuri alishavuna alichopanda bado wewe zamu yako maana hata Sabaya anavuna alichopanda hata Mnyeti anaelekea kuvuna alichopanda.
 
Magufuri alishavuna alichopanda bado wewe zamu yako maana hata Sabaya anavuna alichopanda hata Mnyeti anaelekea kuvuna alichopanda.
Pindisha unavyotaka.
Mnaeleweka/Unaeleweka kwa hilo.

Una matatizo ya Ukimbari. kama sio Fikra.

Kawatishe wenzako TT

Ujiheshimu kwanza.
 
Pindisha unavyotaka.
Mnaeleweka/Unaeleweka kwa hilo.

Una matatizo ya Ukimbari. kama sio Fikra.

Kawatishe wenzako TT

Ujiheshimu kwanza.
Kumbuka kuwa heshima haipatikani kwa sababu ya kuunga mkono hoja dhoofu iliyojaa vitisho na dharau,heshima hutoka kwa hoja fikirishi yenye mtazamo chanya na siyo hasi kama unavyotaka wewe.
 
Kumbuka kuwa heshima haipatikani kwa sababu ya kuunga mkono hoja dhoofu iliyojaa vitisho na dharau,heshima hutoka kwa hoja fikirishi yenye mtazamo chanya na siyo hasi kama unavyotaka wewe.
Ingependeza kama ungekuwa unafanya hayo madai yako.

Nafikiri ungetungiwa huo wimbo wako unaoimba kila jibu unalitoa. Your are not a Victim Brah.
Iimbwe kwenye Mduara duara ufutwe jasho.

kalaga bao, lola funza wako mwenyewe.
 
Ingependeza kama ungekuwa unafanya hayo madai yako.

Nafikiri ungetungiwa huo wimbo wako unaoimba kila jibu unalitoa. Your are not a Victim Brah.
Iimbwe kwenye Mduara duara ufutwe jasho.

kalaga bao, lola funza wako mwenyewe.
I can't be a Victim always but the truth remains about what your GHOST did when he was alive and planted Evil deeds to many like you ,Makonda,Sabaya,Mnyeti and others and we are speaking openly in order that such thing should not repeat again.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…