Rais Samia muondoe ofisini haraka huyu jamaa wa EWURA

Lililoshangaza wengi ni kiburi na jeuri cha wadau wa mafuta kuficha mafuta na wasifanywe lolote, na ni nani aliwatip kuwa bei zitapanda kwa kiasi hicho? Hapa inaonyesha kuna hujuma ya ndani.vile vile kwa Mwandishi, wakala wa uagizaji mafuta ni taasisi nyingine sio Ewura, wao ni wadhibiti, na watoa leseni tu.
 
Ilibidi Jambo Hilo likiletwa Mezani , Mwenyekiti wa Kikao anakuwa MTU Mwingine. Lakini pia kuna tatizo la hicho kimemo au taarifa kuwa kimemfikia muhusika kabla ya Kikao
 
Tumlaumu Nani sasa kuwa Muwazi, Waziri WA Tozo Kwa Kiasi Gani, Waziri WA Dollar Naye Kwa Kiasi Gani, na Kwanza kwanini kuna tatizo la Dollar , au ndio hivyo washauri wetu ni Zembwela. Haya na huyo Pura ndiye aliyechezea Tenda, wasimamizi wake ni Nani Mrisho Mpoto au Mgema Safia
 
Mimi na mke wangu tunashindana tuone Nani kaingiza pesa nyingi.
Nikimuona mke wangu amehongwa milioni 2.5 namhakikishia namimi napiga 400x500,000,000 mpaka calculator isome error ndio labda mwanamke ataacha kuhongwa.
Ndio nimekurupuka toka usingizini hivi topik Ni nini?
 
1. Katafute wanaounda hiyo Petroleum Bulk Procurement kama utamkosa EWURA.


2. Spika angeacha hoja ya Mbunge ifike mwisho kwa maslahi ya umma na Taifa.

3. Hiyo Tozo ya Bunge ni sh 100 tu, kubwa ni hiyo ujinga wao.
Cc: August , usimskilize huyo #Mayor Qimby, hajui kitu. Hilo ni la EWURA. Hiyo PURA yako inahusika na uwekezaji na utafutaji wa maliasili
 
Yawezekana, nchi hii acha tu!
 
Cc; August , hili ni la EWURA full stop. Usimskilize huyo Mayor Quimby , anabisha hajui kitu .

Analeta siasa za ubishi tu.
 
Soma sheria basi nilizokupa.




Hii ni PBRA, tena ipo chini ya usimamizi wa EWURA.

Website ya PURA, hapa chini wala hawahusiki na kuagiza mafuta

https://www.pura.go.tz/pages/roles-and-functions

Ujinga unabisha, uliza uelimishwe
 
Wakazi wa Iyunga Mbeya mjini wanaunganishiwa umeme wa Tanesco kwa sh.27,000/= tu, hii ni kwa mujibu wa mbunge wa Mbeya mjini dr. Tulia akiwaambia wananchi wake.
Uzi huu huenda Mods watauondoa haraka.
 
Naive, kutotumia busara au kupotoshwa.
 
Conflict of interest !!? Utatu !!? Zengwe ?! Mafuta ni suala nyeti linagusa kila kada maana watu wataanza kupandisha bei za bidhaa muhimu ! Then lawama zitapelekwa kwa nani?! Kila mtu anajua .
 
CCM mbele kwa mbele yaan bora liende, duu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…