Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Tuna ubinafsi sanaYes, nchi hii kitu kinaweza kuwa halali au haramu inategemea aliyefanya hivyo ni nani.
Ila kinachonisikitisha zaidi ni raia kuona uvunjifu wa sheria na viongozi au ndgu na watoto wao ni jambo la kawaida kabisa na anayehoji ana wivu. Huu ni mtazamo wa watu wengi sana.
The boss ameyumba sanaMkuu shida sio kufanya biashara. Ni jinsi anavyofanya kwa mujibu wa mtoa mada.. wafanyabiashara wengine kufanya magumashi haihalalishi yeye kufanya magumashi hasa ukijua nafasi ya familia yake.
Basi uyo Mtoto wa raisi ni boya, hayo mambo yalitakiwa yafanywe na watoto wa viongozi wa chini uko, aingie kwenye deals kubwa kubwa zisizokuwa na kelele nyingi, aende hata kwa Ridhi apewe somo zuri
Kwa level ya mamake ni ya kimaskini ndio..labda awe importerUnasema biashara ya kuuza matairi ni ya kimasikini ?
Tena zaidi ya hayo na wala hautomuona anapigiana kelele na Tra wala taasisi yoyoteRiz yule mwamba ana mashamba ya miti mikoani huko...
Ilishasemwa kuwa CCM ni ukoo wa panya, kila mtu ni mwizi. Huyu kijana na mwingine anayefanya biashara ya kuingiza madawa ya binadamu ni Ridhiwan wa awamu ya sitaAbdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.
Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone kariakoo.
Toka mama yake aingie madarakani amekua tatizo sana kwa maofisa wa tra wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu.hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo.anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.
Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti.ule mzigo kufika kariakoo maofisa wa tra wakaukamata kwa sababu haukua na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote.so baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale.wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.
kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anataitiwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua.
sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale kariakoo.
Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu,jaribu kukaa na mwanao umrekebishe,hizo vurugu zake hapo kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.
Kuna biashara unaweza kufanya na kulipa kodi zote na ukatajirika. Mtu anaeweza kuleta makontena 100 ya vitu na anauzia watu jumla ndani na nje ya nchi hata akipata 5% net profit margin kwa volume zake anakuwa tajiri tu.Nchi yetu bado sana kukua. Haya mambo yalitakiwa hata ukihisiwa umekwepa kodi lazima mtu awajibike.
Sijui lini tutafika huko
Kaandika kimajungu Sana...Mkuu shida sio kufanya biashara. Ni jinsi anavyofanya kwa mujibu wa mtoa mada.. wafanyabiashara wengine kufanya magumashi haihalalishi yeye kufanya magumashi hasa ukijua nafasi ya familia yake.
Hajapata pumu kweli kwa ile harufu ya matairi?Alipaswa afanye biashara ya kukodisha ndege!π€π€π€π€Unasema biashara ya kuuza matairi ni ya kimasikini ?
Yaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Ukisoma comment za watu wengi humu ni kwamba nchi hii watu tushazoea uvunjivu wa sheria kiasi kwamba as long as una cheo basi ni haki yako kufanya chochote. Halafu watu hawa hawa baadaye utasikia wanasifia kuheshimu sheria katika nchi za wenzetu. Afrika bwana.
Mimi narudia kusema, shida ya nchi hii sio katiba bali ni utayari wa kuheshimu hata hiyo katiba. Kama mawazo na fikra za wananchi wenyewe ndio kwamba mtoto wa raisi anaweza fanya chochote, au anaweza kupewa exclusive right ya kuagiza hata matairi, hata ije katiba mpya hakuna kitakachobadilika. TRA yenyewe ina mamlaka ya kukusanya kodi kutoka kwa wafanyabiashara ila simu moja tu inawazuia kufanya hivyo.
Umeelewa mada?Kama anafanya biashara halali asisumbuliwe. Kuna watu huko nyuma hata biashara hawakuwa nazo ila walisumbua watu