Rais Samia: "na kama wanataka kuchukua nje wachukue lakini kwanza tufaidike ndani ya nchi" Nani kaelewa hii kauli?

Si kalee wajukuu zake huko, ngonjera na mipasho vya nini katika mambo ya nchi?
 
Maelekezo ambayo anatakiwa kumpa Mavunde anamueleza mkurugenzi wa TANESCO.

Wanahitaji uranium kuchimbwa, wakati mikataba wanaingia na makampuni yasiyo na uwezo.

Jamaa wanasubiri wanyan’ganywe vitalu wakimbie kwenye dispute resolution wavute mpunga kirahisi kama ilivyozoeleka.

Hayo ya kutumia uranium kwa nishati Tanzania, ameanza kuwa delulu kama viongozi wa Malawi.

Hawa watu wanadhani nuclear plant ni kitu cha mzaha-mzaha tu.
 
Alikuwa ana ongelea issue ya uranium
Kaagiza Tanzanians tuanze kutumia uranium kuzalisha umeme.
Kwamba wazungu wana zuia sisi kutumia lakini wao wana nunua. Basi tuanze kutumia sisi na ziada ndio wapewe wazungu
Situmekubaliana tunanunua umeme nje ya nchi.!?
 
Alikuwa ana ongelea issue ya uranium
Kaagiza Tanzanians tuanze kutumia uranium kuzalisha umeme.
Kwamba wazungu wana zuia sisi kutumia lakini wao wana nunua. Basi tuanze kutumia sisi na ziada ndio wapewe wazungu
Anaelewa umeme wa nuclear unavyozalishwa? Anajua gharama zake? Anajua uwekezaji unaotakiwa? Anajua gharama za bima? Anajua hatari ya nuclear mambo yakibuma?

Yani hawa watu wanaokatakata umeme ndiyo waendeshe vinu vya nuclear? Au ataenda huko huko kwa mabeberu kuwaomba msaada?

Wajapan na ujanja wao wote wamepigwa daflao na Fukushima Daichi ilivyolipuka, sisi ambao hata kipindupindu hatujaweza kukimaliza, maana yake tunakunywa maji yenye mavi bado, tunataka kutumia umeme wa nuclear?

Anaelewa umeme wa nuclear unavyozalishwa? Anajua gharama zake? Anajua uwekezaji unaotakiwa? Anajua gharama za bima? Anajua hatari ya nuckear mambo yakibuma?

Yani hawa watu wanaokatakata umeme ndiyo waendeshe vinu vya nuclear? Au ataenda huko huko kwa mabeberu kuwaomba msaada?

Wajapan na ujanja wao wote wamepigwa daflao na Fukushima Daichi ilivyolipuka, sisi ambao hata kipindupindu hatujawe,a kukimaliza, maana yake tunakunywa maji yenye mavi bado, tunataka kutumia umeme wa nuclear?
Akili zao zinawatosha wenyewe huko serikalini.

Bwawa la maji tu upkeep inawashinda, wanawaza nuclear plant.

Acha kuliendesha tu hiyo hela ya kujenga na wataalamu wako.

Delulu anasoma sana mitandao.
 
Anaelewa umeme wa nuclear unavyozalishwa? Anajua gharama zake? Anajua uwekezaji unaotakiwa? Anajua gharama za bima? Anajua hatari ya nuclear mambo yakibuma?

Yani hawa watu wanaokatakata umeme ndiyo waendeshe vinu vya nuclear? Au ataenda huko huko kwa mabeberu kuwaomba msaada?

Wajapan na ujanja wao wote wamepigwa daflao na Fukushima Daichi ilivyolipuka, sisi ambao hata kipindupindu hatujawe,a kukimaliza, maana yake tunakunywa maji yenye mavi bado, tunataka kutumia umeme wa nuclear?

Duuh kaka wasamehe
 
Alikuwa ana ongelea issue ya uranium
Kaagiza Tanzanians tuanze kutumia uranium kuzalisha umeme.
Kwamba wazungu wana zuia sisi kutumia lakini wao wana nunua. Basi tuanze kutumia sisi na ziada ndio wapewe wazungu
Hii ni hoja kweli? Kwamba walianza kupewa kwa kigezo gani sasa.
 
Akili zao zinawatosha wenyewe huko serikalini.

Bwawa la maji tu upkeep inawashinda, wanawaza nuclear plant.

Acha kuliendesha tu hiyo hela ya kujenga na wataalamu wako.

Delulu anasoma sana mitandao.
Wakati tunasoma somo la power plant first year; yule prof alisema alikaa kwenye power plant 3years akifanya operation nchi moja huko Ulaya ( nchi naweka kapuni) kumbe alikuwa kwenye fake.
Umakini wa uendeshaji wa power plant haitaji mawazo ya kusikia kuwa posho yako imezuiliwa kwasababu hujapiga kura.
 
Uko sahihi kabisaa
 
Back
Top Bottom