Rais Samia na kamati, Kuna shida ipo mahali

Rais Samia na kamati, Kuna shida ipo mahali

Kichwani hana kitu yule ningekuwa mabeyo nigechukua nchi mpaka 2025

Yaani ningefumua mifumo yote na kuleta katiba na kifumua vyama vya siasa vyote na kubaki na vyama viwili vya siasa.

2025 ningeitisha uchaguzi huru na chama kinachoshinda kinatoa rais na kinachoshindwa kinatoa spika wa bunge.

Hizi siasa za ccm ni upumbavu sana.
 
Ukitaka usimuumiza MTANZANIA kwa ATOACHO mwambie hili:

MCHANGO WA HARUSI utakaokuwa na POMBE ZA KUMWAGA NA NYAMA CHOMA MPAKA MENO YANG'OKE.....

Hakika TOZO hii haijapokelewa vyema....la muhimu SERIKALI YETU SIKIVU....SERIKALI YETU SIKIVU itapokea maoni ya KAMATI HIYO na kuipunguza TOZO na kuwa NYEPESI.....

MAENDELEO HAYAPATIKANI KWA KUPITIA NJIA NYEPESI NA RAHISI

MAENDELEO NI JASHO NA DAMU

#TulijengeTaifaLetuKwaUchunguMkubwa
#NchiKwanza
#KaziIendelee
Mkuu kama kweri nia yao nikuleta maendeleo kwenye taifa letu,na wabunge walipe kodi,na jaji mkuu wate walio shika mpini walipe kodi ili kila mwana inchi ahusike kwenye kujenga taifa letu.
 
Nakupinga kitu kimoja: kuhusu kamati kwani naamini katika mjadala. Siamini maamuzi ya mtu mmoja tu kwani akikosea ndo basi hakuna wa kumrekebisha. Nadhani mtoa mada umeathirika na tabia za kiimla za jiwe.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mh.Rais SSH ni mwanademokrasia mwenye kupenda KUTOA USHIRIKI WA KAZI KWA WALIO CHINI YAKE....

Hayati JPM alipingwa Sana kwa KUZIFANYA KAZI ZA WA CHINI YAKE HASWA KWA KUTOA MAAMUZI YA HAPOHAPO....Mh.SSH ameng'amua kuwa baadhi ya watumishi hawaridhishwi na "style hiyo".....

Bahati mbaya ilioje ni kuwa BAADHI YA WATANZANIA wana hulka ya "kukichukia kitu" halafu kikija kuondoka HUKIMISS.....

Hili lilitokea baada ya utawala wa mh.Kikwete.....

Hili linatokea baada ya utawala wa hayati JPM......

NA HILI LITATOKEA 2030 mh.Rais SSH akikoma uongozi wake.....

#KaziIendelee
 
Mama Samia ni kama bado yupo kwenye umakamu wa raisi.
Kuna vitu Wala havihitaji kamati ila yeye anaunda kamati. Hadi sasa sijaona umuhimu wa kamati kuhusu tozo.
Tozo mmeziweka wenyewe bila kushirikisha wananchi, alafu nyie tena haohao mnaunda kamati kuhusu hizo tozo.
Hapa mama Samia unajichanganya sana, kwa nini hizo kamati usingeziweka kabla ya kuja hizo tozo?
Mama Samia ukweli ni kuwa hii kazi ya uraisi inaenda kukupa wakati mgumu sana.
Kamati kamati kamati alafu kamati hizohizo zinaleta majibu ambayo wewe tayari ulikuwa ukiyataka, umuhimu wa kamati upo wapi?
Mama Samia ushasema tozo zipo palepale, Sasa Kama zipo palepale hiyo kamati unategemea itakupinga?
Watu walimshambulia mwigulu kuwa yeye ndio kaleta tozo Ila leo nadhani jibu wamelipata.
Mama Samia unasema tozo ni kwa ajili ya kujenga barabara vijijini, kwani mbona watangulizi wako walijenga barabara nchi nzima bila hizo tozo? Uzuri watangulizi wako wengine wapo nenda kawaulize walipata wapi pesa za kujenga barabara na hospitali.
Hadi hapa umuhimu wa katiba mpya unaonekana wazi tu.
Ni muda ipo siku isiyo na jina mtatoka madarakani
Kwani kuundwa kamati ndio kunaleta ugumu wa kazi ya Urais? Sema hivi unataka maamuzi ya kukurupuka kama ya Mwendazake
 
Mama Samia ni kama bado yupo kwenye umakamu wa raisi.
Kuna vitu Wala havihitaji kamati ila yeye anaunda kamati. Hadi sasa sijaona umuhimu wa kamati kuhusu tozo.
Tozo mmeziweka wenyewe bila kushirikisha wananchi, alafu nyie tena haohao mnaunda kamati kuhusu hizo tozo.
Hapa mama Samia unajichanganya sana, kwa nini hizo kamati usingeziweka kabla ya kuja hizo tozo?
Mama Samia ukweli ni kuwa hii kazi ya uraisi inaenda kukupa wakati mgumu sana.
Kamati kamati kamati alafu kamati hizohizo zinaleta majibu ambayo wewe tayari ulikuwa ukiyataka, umuhimu wa kamati upo wapi?
Mama Samia ushasema tozo zipo palepale, Sasa Kama zipo palepale hiyo kamati unategemea itakupinga?
Watu walimshambulia mwigulu kuwa yeye ndio kaleta tozo Ila leo nadhani jibu wamelipata.
Mama Samia unasema tozo ni kwa ajili ya kujenga barabara vijijini, kwani mbona watangulizi wako walijenga barabara nchi nzima bila hizo tozo? Uzuri watangulizi wako wengine wapo nenda kawaulize walipata wapi pesa za kujenga barabara na hospitali.
Hadi hapa umuhimu wa katiba mpya unaonekana wazi tu.
Ni muda ipo siku isiyo na jina mtatoka madarakani
Barabara zipi za Vijijini walijenga? Au unapayuka tuu?

Mama kaza hapo hapo hicho ni chanzo cha uhakika cha fedha.

Mtoa mada barabara anazotaka kujenga ni hizi hapa 👇👇

IMG-20210717-WA0000.jpg
 
Watangulizi wake hawakujenga BARABARA nchi nzima.....SI KWELI...

Ukweli ni huu.......

Karibia mikoa yote imekaribia kuunganishwa na BARABARA ZA LAMI.....

Anachoongelea mh.Rais SSH ni zile barabara za ndani ya wilaya kuelekea tarafani....katani....VIJIJINI....MASHAMBANI....

#KaziIendelee
#NchiKwanza
#SiempreCCM
Sasa hao waliziunganishaje?

Sasa kama Wengine wameunganisha mabarabara makubwa hayo hizo za kata ndio tutesane hivi tena kipindi hiki ha mdororo wa kiuchumi kila kona?

Hivi kama Tunisia wanalalamika mdororo sisi ndio tupo sawasawa mpaka badala ya kusaidiwa tuibuke tunaongezewa makato?.
 
Hivi ile kamati ya kariakoo imeshatoa majibu? kwenye hili la kamati kwenye kila kitu wala sioni wema wake kabisa... hili swala lilitakiwa kuwekwa wazi na Rais kuwa matumizi ya sheria hiyo mpya ya tozo na kodi kwenye miamala na vocha yasimame kwanza na yapitiwe upya na wahusika wakiwashirikisha sekta ya fedha (wadau) na waje na mapendekezo either kurudi kama zamani au kuja na viwango ambavyo havitozidi Tsh 100.....

Lakini kwa mpango huu wa tozo hizi na kauli ya Rais ni wazi hakutakuwa na mabadiliko yeyote zaidi ya kupunguza kiwango cha tozo... Rais ameshindwa kuwa muwazi tuu lakini dalili zinaonesha tozo hazitaondolewa bali kupunguzwa kidogo lakini makali yatakuwa pale pale..
Hizi tozo kama zitaachwa ni wazi zitaumiza sana uchumi kuliko..... vibanda vya pesa mtaani vitakufa vyote kwa mwendo huu.... mitandao ya simu itapata tabu sana
 
Mama Samia ni kama bado yupo kwenye umakamu wa raisi.
Kuna vitu Wala havihitaji kamati ila yeye anaunda kamati. Hadi sasa sijaona umuhimu wa kamati kuhusu tozo.
Tozo mmeziweka wenyewe bila kushirikisha wananchi, alafu nyie tena haohao mnaunda kamati kuhusu hizo tozo.
Hapa mama Samia unajichanganya sana, kwa nini hizo kamati usingeziweka kabla ya kuja hizo tozo?
Mama Samia ukweli ni kuwa hii kazi ya uraisi inaenda kukupa wakati mgumu sana.
Kamati kamati kamati alafu kamati hizohizo zinaleta majibu ambayo wewe tayari ulikuwa ukiyataka, umuhimu wa kamati upo wapi?
Mama Samia ushasema tozo zipo palepale, Sasa Kama zipo palepale hiyo kamati unategemea itakupinga?
Watu walimshambulia mwigulu kuwa yeye ndio kaleta tozo Ila leo nadhani jibu wamelipata.
Mama Samia unasema tozo ni kwa ajili ya kujenga barabara vijijini, kwani mbona watangulizi wako walijenga barabara nchi nzima bila hizo tozo? Uzuri watangulizi wako wengine wapo nenda kawaulize walipata wapi pesa za kujenga barabara na hospitali.
Hadi hapa umuhimu wa katiba mpya unaonekana wazi tu.
Ni muda ipo siku isiyo na jina mtatoka madarakani
Lengo Kuu la kuhitajika Katiba ya Wananchi ni kuwawezesha Watanzania kuweka Mifumo madhubuti yajinsi watakavyoongozwa ili kuijenga nchi yao wapendavyo na kujiletea maendeleo endelevu.
Katiba ya sasa imewapa CCM kuwa wamiliki wa Tanzania na kufanya watakavyo bila mifumo ya kuwajibishwa na yeyote.Imani ya CCM ni kuwa wao pekee ndiyo wanafahamu mahitaji ya Watanzania.Tafsiri ya maendeleo kwao ni pamoja barabara,madaraja,ndege,treni za umeme nk.
Viongozi wamekuwa untouchables, wamegeka watawala na hawaambiliki.
Tuchukue hatua sasa.
 
Siku nyingine msiwape watu vyeo vyenye dhamana ya juu kwa kufurahisha kundi fulani katika jamii.
Uwezo mkubwa use priority.
 
Si kazi rahisi kuiunganisha mikoa yote....

Ndio maana kwa miaka 60 haijamalizika hiyo kazi.....

Awamu ya 6 imekuja na mkakati wa KUMUINUA MKULIMA....kwa kumtengenezea barabara mpaka MASHAMBANI huko ili APUNGUKIWE GHARAMA ZA USAFIRI...MUDA WA KUSAFIRISHA MAZAO YAKE.....

Hapa kuna tija kubwa ITAKAYOPATIKANA.....

Leo tunaona UZITO ila huko mbeleni tutakuja kuuona WEPESI NA MAFANIKIO ADHIMU
We naye unaandika utadhani unafikiria kutumia ubongo wa MTU mwingine,issue ni kuwa huwezi maliza matatizo yote kwa wakati moja kama ulivyo sema hapo juu.

Kodi zinazolipwa zinapelekwa wapi had I uende kuongeza tozo kwenye miamala,tena tozo zisizofuta tathimini ya kiuchumi-kwa uchumi gani wa Mtanzania ulio ingezeka mpaka uende Ku double tozo??.
 
Huyu Mama wa kambo tunatakiwa tumuue kama yule Baba wa kambo kutoka Chato.
 
Sasa hao waliziunganishaje?

Sasa kama Wengine wameunganisha mabarabara makubwa hayo hizo za kata ndio tutesane hivi tena kipindi hiki ha mdororo wa kiuchumi kila kona?

Hivi kama Tunisia wanalalamika mdororo sisi ndio tupo sawasawa mpaka badala ya kusaidiwa tuibuke tunaongezewa makato?.
Kwa hiyo huko nyuma kulipokuwa hakuna huo MDORORO WA UCHUMI ,wakulima walikuwa wanasafirisha mazao yao KIWEPESI kufika mpaka sokoni ?!!!

Hatuoni kuwa BARABARA ZIKIJE GWA tija ya kilimo itaongezeka....mazao yataongezeka sokoni na kuuzwa kwa BEI YA CHINI ZAIDI YA SASA?!!! Je hiyo siyo tija?!!
 
Back
Top Bottom