Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni 2030 ,tafuta glasi ya majiHuyu amalize miaka yake iliyobaki aende
Kwani hiyo michango huwa inaenda kumwaga baharini?Ukitaka usimuumiza MTANZANIA kwa ATOACHO mwambie hili:
MCHANGO WA HARUSI utakaokuwa na POMBE ZA KUMWAGA NA NYAMA CHOMA MPAKA MENO YANG'OKE.....
Hakika TOZO hii haijapokelewa vyema....la muhimu SERIKALI YETU SIKIVU....SERIKALI YETU SIKIVU itapokea maoni ya KAMATI HIYO na kuipunguza TOZO na kuwa NYEPESI.....
MAENDELEO HAYAPATIKANI KWA KUPITIA NJIA NYEPESI NA RAHISI
MAENDELEO NI JASHO NA DAMU
#TulijengeTaifaLetuKwaUchunguMkubwa
#NchiKwanza
#KaziIendelee
Uanamke wake have nothing to do with her incompetence!Mi huwa siwaamini wanawake kwenye baadhi ya nyadhifa za kitaifa hasa cheo kikubwa kama Urais? There must be some corrupt politicians driving this failed woman president just for their own selfish interests, Rip JPM,
Wewe uliye kipanga una msaada gani sasaMama yenu kilaza huyo kubali kataa ,
Tutakutana 2025Kwani nchi hii mahitaji yamefika mwisho? Kodi iko pale pale kelele zenu hazibadilishi kitu
Washabiki wa chadema mnaugulia maumivu 😂😂😂😂 ,muulize Mbowe na Heche wanamjua Sana mamaKichwani hana kitu yule ningekuwa mabeyo nigechukua nchi mpaka 2025
Yaani ningefumua mifumo yote na kuleta katiba na kifumua vyama vya siasa vyote na kubaki na vyama viwili vya siasa.
2025 ningeitisha uchaguzi huru na chama kinachoshinda kinatoa rais na kinachoshindwa kinatoa spika wa bunge.
Hizi siasa za ccm ni upumbavu sana.
Ukutane na nani? Labda utafute wa kukutana nae 2030..Take thisTutakutana 2025
Kila mtawala anaifanya Tanzania maabara ya majaribio!Si kazi rahisi kuiunganisha mikoa yote....
Ndio maana kwa miaka 60 haijamalizika hiyo kazi.....
Awamu ya 6 imekuja na mkakati wa KUMUINUA MKULIMA....kwa kumtengenezea barabara mpaka MASHAMBANI huko ili APUNGUKIWE GHARAMA ZA USAFIRI...MUDA WA KUSAFIRISHA MAZAO YAKE.....
Hapa kuna tija kubwa ITAKAYOPATIKANA.....
Leo tunaona UZITO ila huko mbeleni tutakuja kuuona WEPESI NA MAFANIKIO ADHIMU
Hivi tatizo letu ni pesa au akili?Si kazi rahisi kuiunganisha mikoa yote....
Ndio maana kwa miaka 60 haijamalizika hiyo kazi.....
Awamu ya 6 imekuja na mkakati wa KUMUINUA MKULIMA....kwa kumtengenezea barabara mpaka MASHAMBANI huko ili APUNGUKIWE GHARAMA ZA USAFIRI...MUDA WA KUSAFIRISHA MAZAO YAKE.....
Hapa kuna tija kubwa ITAKAYOPATIKANA.....
Leo tunaona UZITO ila huko mbeleni tutakuja kuuona WEPESI NA MAFANIKIO ADHIMU
Umetaja mnyororo sahihi kabisa....Kwani hiyo michango huwa inaenda kumwaga baharini?
Hivyo vyakula na vinywaji si vinatumika na vinalipiwa kodi, hizo sherehe si ndio zinasaidia Kampuni za Vinywaji kuzalisha zaidi vikitumika.
Hiyo michango si ndio inawalipa Wapiga picha, Video, Wenye Magari wanaokodishwa, Wapambaji, Wapishi n.k.
Sidhani hata kama huwa mnafikiria mambo kwa akili za kutosha.
Mkuu wakati nasoma O level civics, tulifundishwa sheria yoyote ikipita bungeni lazima itiliwe saini na Rais. Kwa hiyo majibu unayo tayari.Hivi ile kamati ya kariakoo imeshatoa majibu? kwenye hili la kamati kwenye kila kitu wala sioni wema wake kabisa... hili swala lilitakiwa kuwekwa wazi na Rais kuwa matumizi ya sheria hiyo mpya ya tozo na kodi kwenye miamala na vocha yasimame kwanza na yapitiwe upya na wahusika wakiwashirikisha sekta ya fedha (wadau) na waje na mapendekezo either kurudi kama zamani au kuja na viwango ambavyo havitozidi Tsh 100.....
Lakini kwa mpango huu wa tozo hizi na kauli ya Rais ni wazi hakutakuwa na mabadiliko yeyote zaidi ya kupunguza kiwango cha tozo... Rais ameshindwa kuwa muwazi tuu lakini dalili zinaonesha tozo hazitaondolewa bali kupunguzwa kidogo lakini makali yatakuwa pale pale..
Hizi tozo kama zitaachwa ni wazi zitaumiza sana uchumi kuliko..... vibanda vya pesa mtaani vitakufa vyote kwa mwendo huu.... mitandao ya simu itapata tabu sana
Mkuu hizi "kula kula kula" ni typing errors ama wewe ni mwarabu kula=kila?!! 🤣Kula mtawala anaifanya Tanzania maabara ya majaribio!Mara Uwazi na Ukweli,Mara Ari Mpya,kasi Mpya,Mara Tanzania ya viwanda,ya Magufuli na sasa ya tozo na kazi iendelee.Hawapo consistent, kula moja anatufanyia majaribio ya idea zao binafsi.
Tunataka Katiba ya Wananchi itakayowawajibisha waheshimiwa wtawala tubaki na viongozi.
Sawa mkuu....We naye unaandika utadhani unafikiria kutumia ubongo wa MTU mwingine,issue ni kuwa huwezi maliza matatizo yote kwa wakati moja kama ulivyo sema hapo juu.
Kodi zinazolipwa zinapelekwa wapi had I uende kuongeza tozo kwenye miamala,tena tozo zisizofuta tathimini ya kiuchumi-kwa uchumi gani wa Mtanzania ulio ingezeka mpaka uende Ku double tozo??.