Rais Samia na kamati, Kuna shida ipo mahali

Rais Samia na kamati, Kuna shida ipo mahali

Kuna mdau aliwahi kuweka Hoja kama hii, Maza anaonekana ni mtu wa kuhamishia goli kwa Kamati ambazo anajua hazina majibu tofauti ili anaziweka tu ili ionekane kosa/ushauri ni wa kamati
 
Kichwani hana kitu yule ningekuwa mabeyo nigechukua nchi mpaka 2025

Yaani ningefumua mifumo yote na kuleta katiba na kifumua vyama vya siasa vyote na kubaki na vyama viwili vya siasa.

2025 ningeitisha uchaguzi huru na chama kinachoshinda kinatoa rais na kinachoshindwa kinatoa spika wa bunge.

Hizi siasa za ccm ni upumbavu sana.
Huyu mama tayari kishachemsha hakuna kitu atafanya tena
 
Nakupinga kitu kimoja: kuhusu kamati kwani naamini katika mjadala. Siamini maamuzi ya mtu mmoja tu kwani akikosea ndo basi hakuna wa kumrekebisha. Nadhani mtoa mada umeathirika na tabia za kiimla za jiwe.





Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hizo kamati zinampelekea majibu anayotaka.
Mfano kishasema tozo zipo palepale, unategemea kamati itamuambia aondoe hizo tozo?
 
Suala la kuunda kamati ni delay tactic kubuy time, kutuliza hasira ya wananchi

Jiulize, kama tozo aliziseka bila kamati sasa leo anataka kamati ya nini?
Ndio hapo na Mimi najiuliza. Kamati kamati, hamna lolote zaidi watafuata anayotaka yeye
 
Back
Top Bottom