technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Mkuu kama kweri nia yao nikuleta maendeleo kwenye taifa letu,na wabunge walipe kodi,na jaji mkuu wate walio shika mpini walipe kodi ili kila mwana inchi ahusike kwenye kujenga taifa letu.Ukitaka usimuumiza MTANZANIA kwa ATOACHO mwambie hili:
MCHANGO WA HARUSI utakaokuwa na POMBE ZA KUMWAGA NA NYAMA CHOMA MPAKA MENO YANG'OKE.....
Hakika TOZO hii haijapokelewa vyema....la muhimu SERIKALI YETU SIKIVU....SERIKALI YETU SIKIVU itapokea maoni ya KAMATI HIYO na kuipunguza TOZO na kuwa NYEPESI.....
MAENDELEO HAYAPATIKANI KWA KUPITIA NJIA NYEPESI NA RAHISI
MAENDELEO NI JASHO NA DAMU
#TulijengeTaifaLetuKwaUchunguMkubwa
#NchiKwanza
#KaziIendelee
Kwani kuundwa kamati ndio kunaleta ugumu wa kazi ya Urais? Sema hivi unataka maamuzi ya kukurupuka kama ya MwendazakeMama Samia ni kama bado yupo kwenye umakamu wa raisi.
Kuna vitu Wala havihitaji kamati ila yeye anaunda kamati. Hadi sasa sijaona umuhimu wa kamati kuhusu tozo.
Tozo mmeziweka wenyewe bila kushirikisha wananchi, alafu nyie tena haohao mnaunda kamati kuhusu hizo tozo.
Hapa mama Samia unajichanganya sana, kwa nini hizo kamati usingeziweka kabla ya kuja hizo tozo?
Mama Samia ukweli ni kuwa hii kazi ya uraisi inaenda kukupa wakati mgumu sana.
Kamati kamati kamati alafu kamati hizohizo zinaleta majibu ambayo wewe tayari ulikuwa ukiyataka, umuhimu wa kamati upo wapi?
Mama Samia ushasema tozo zipo palepale, Sasa Kama zipo palepale hiyo kamati unategemea itakupinga?
Watu walimshambulia mwigulu kuwa yeye ndio kaleta tozo Ila leo nadhani jibu wamelipata.
Mama Samia unasema tozo ni kwa ajili ya kujenga barabara vijijini, kwani mbona watangulizi wako walijenga barabara nchi nzima bila hizo tozo? Uzuri watangulizi wako wengine wapo nenda kawaulize walipata wapi pesa za kujenga barabara na hospitali.
Hadi hapa umuhimu wa katiba mpya unaonekana wazi tu.
Ni muda ipo siku isiyo na jina mtatoka madarakani
V8, mishahara ya wabunge, mabalozi, mawaziri, Wakuu wa Mikoa, wakuu wa wilaya, madiwani ..........Hivi hizo kodi zingine kama V.A.T na zingine nyingi ni kwa ajili ya nini?
Barabara zipi za Vijijini walijenga? Au unapayuka tuu?Mama Samia ni kama bado yupo kwenye umakamu wa raisi.
Kuna vitu Wala havihitaji kamati ila yeye anaunda kamati. Hadi sasa sijaona umuhimu wa kamati kuhusu tozo.
Tozo mmeziweka wenyewe bila kushirikisha wananchi, alafu nyie tena haohao mnaunda kamati kuhusu hizo tozo.
Hapa mama Samia unajichanganya sana, kwa nini hizo kamati usingeziweka kabla ya kuja hizo tozo?
Mama Samia ukweli ni kuwa hii kazi ya uraisi inaenda kukupa wakati mgumu sana.
Kamati kamati kamati alafu kamati hizohizo zinaleta majibu ambayo wewe tayari ulikuwa ukiyataka, umuhimu wa kamati upo wapi?
Mama Samia ushasema tozo zipo palepale, Sasa Kama zipo palepale hiyo kamati unategemea itakupinga?
Watu walimshambulia mwigulu kuwa yeye ndio kaleta tozo Ila leo nadhani jibu wamelipata.
Mama Samia unasema tozo ni kwa ajili ya kujenga barabara vijijini, kwani mbona watangulizi wako walijenga barabara nchi nzima bila hizo tozo? Uzuri watangulizi wako wengine wapo nenda kawaulize walipata wapi pesa za kujenga barabara na hospitali.
Hadi hapa umuhimu wa katiba mpya unaonekana wazi tu.
Ni muda ipo siku isiyo na jina mtatoka madarakani
Sasa hao waliziunganishaje?Watangulizi wake hawakujenga BARABARA nchi nzima.....SI KWELI...
Ukweli ni huu.......
Karibia mikoa yote imekaribia kuunganishwa na BARABARA ZA LAMI.....
Anachoongelea mh.Rais SSH ni zile barabara za ndani ya wilaya kuelekea tarafani....katani....VIJIJINI....MASHAMBANI....
#KaziIendelee
#NchiKwanza
#SiempreCCM
Lengo Kuu la kuhitajika Katiba ya Wananchi ni kuwawezesha Watanzania kuweka Mifumo madhubuti yajinsi watakavyoongozwa ili kuijenga nchi yao wapendavyo na kujiletea maendeleo endelevu.Mama Samia ni kama bado yupo kwenye umakamu wa raisi.
Kuna vitu Wala havihitaji kamati ila yeye anaunda kamati. Hadi sasa sijaona umuhimu wa kamati kuhusu tozo.
Tozo mmeziweka wenyewe bila kushirikisha wananchi, alafu nyie tena haohao mnaunda kamati kuhusu hizo tozo.
Hapa mama Samia unajichanganya sana, kwa nini hizo kamati usingeziweka kabla ya kuja hizo tozo?
Mama Samia ukweli ni kuwa hii kazi ya uraisi inaenda kukupa wakati mgumu sana.
Kamati kamati kamati alafu kamati hizohizo zinaleta majibu ambayo wewe tayari ulikuwa ukiyataka, umuhimu wa kamati upo wapi?
Mama Samia ushasema tozo zipo palepale, Sasa Kama zipo palepale hiyo kamati unategemea itakupinga?
Watu walimshambulia mwigulu kuwa yeye ndio kaleta tozo Ila leo nadhani jibu wamelipata.
Mama Samia unasema tozo ni kwa ajili ya kujenga barabara vijijini, kwani mbona watangulizi wako walijenga barabara nchi nzima bila hizo tozo? Uzuri watangulizi wako wengine wapo nenda kawaulize walipata wapi pesa za kujenga barabara na hospitali.
Hadi hapa umuhimu wa katiba mpya unaonekana wazi tu.
Ni muda ipo siku isiyo na jina mtatoka madarakani
We naye unaandika utadhani unafikiria kutumia ubongo wa MTU mwingine,issue ni kuwa huwezi maliza matatizo yote kwa wakati moja kama ulivyo sema hapo juu.Si kazi rahisi kuiunganisha mikoa yote....
Ndio maana kwa miaka 60 haijamalizika hiyo kazi.....
Awamu ya 6 imekuja na mkakati wa KUMUINUA MKULIMA....kwa kumtengenezea barabara mpaka MASHAMBANI huko ili APUNGUKIWE GHARAMA ZA USAFIRI...MUDA WA KUSAFIRISHA MAZAO YAKE.....
Hapa kuna tija kubwa ITAKAYOPATIKANA.....
Leo tunaona UZITO ila huko mbeleni tutakuja kuuona WEPESI NA MAFANIKIO ADHIMU
Mama yako ndio kilaza,Mama yenu kilaza huyo kubali kataa ,
Wewe uliyefaulu unatufaa kwa lipi?Hatufai ameisha feli tayari
Kwani nchi hii mahitaji yamefika mwisho? Kodi iko pale pale kelele zenu hazibadilishi kituHivi hizo kodi zingine kama V.A.T na zingine nyingi ni kwa ajili ya nini?
Kwa hiyo huko nyuma kulipokuwa hakuna huo MDORORO WA UCHUMI ,wakulima walikuwa wanasafirisha mazao yao KIWEPESI kufika mpaka sokoni ?!!!Sasa hao waliziunganishaje?
Sasa kama Wengine wameunganisha mabarabara makubwa hayo hizo za kata ndio tutesane hivi tena kipindi hiki ha mdororo wa kiuchumi kila kona?
Hivi kama Tunisia wanalalamika mdororo sisi ndio tupo sawasawa mpaka badala ya kusaidiwa tuibuke tunaongezewa makato?.
Waliipata kwa mafisadi. Sasa mafisadi yamepungua sana. Inabidi sasa tujitegemee wenyewe kwa kutoa tozo.Hizo barabara za lami za kuunganisha mikoa walipata wapi pesa?