Rais Samia na Lissu, mwanzo mzuri kwa Watanzania, ndicho tulichokifanya hapa Kenya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hamna lisilozungumzika, miaka ya leo uongozi hautaki ubabe, chuki, majungu na upigaji kifua ngumi na mikwara.... mama Samia anaendelea kuweka sawa mambo mengi sana. Leo Kenya na Tanzania biashara baina yetu inapaa kweli kweli, ujinga na utoto wa kuchomeana vifaranga umesahaulika...

Hapa Kenya rais Uhuru alifanya jitihada zote za kuhakikisha uhasama wa kisiasa umepungua kwa kupatana na kufanya mazungumzo na wapinzani.
==============================

lisu-ic-data.jpg

Dar es Salaam. President Samia Suluhu Hassan and leading opposition figure Tundu Lissu held brief discussions today in Brussels, Belgium.

Lissu who is the Vice Chairman of opposition political party Chadema had made prior requests to meet the Head of State who is also the chairman of the ruling party- CCM.

According to a statement issued by the Director of Presidential Communications, Zuhura Yunus on Wednesday, the discussions, albeit brief, focused on pertinent issues.

“During their talks the two discussed various issues of interests to the welfare of the United Republic of Tanzania,” reads the statement in part.
 
Comparing oranges with lemons. You can't compare Miguna's stature to that of Lissu, can you?.

Kwa namna walimpiga marisasi huyo Lissu, ni vyema mama amekutana naye, nakumbuka huyu huyu mama Samia alimtembelea hapa Nairobi kipindi alikua amelazwa.
Natumai hilo genge la wasiojulikana halina nafasi kwenye hii awamu, maana liliwatesa sana Watanzania kwenye awamu hiyo.
 
We utampigia kura Baba?

Halafu kwa nini mnamuita Baba?

Ila nawapenda wanawake wenu waliopo kwenye siasa…Sabina Chege….Cate Waiguru….nk.
 
Hamna lisilozungumzika, miaka ya leo uongozi hautaki ubabe, chuki, majungu na upigaji kifua ngumi na mikwara.... mama Samia anaendelea kuweka sawa mambo mengi sana. Leo Kenya na Tanzania biashara baina yetu inapaa kweli kweli, ujinga na utoto wa kuchomeana vifaranga umesahaulika...

Hapa Kenya rais Uhuru alifanya jitihada zote za kuhakikisha uhasama wa kisiasa umepungua kwa kupatana na kufanya mazungumzo na wapinzani.
==============================

lisu-ic-data.jpg

Dar es Salaam. President Samia Suluhu Hassan and leading opposition figure Tundu Lissu held brief discussions today in Brussels, Belgium.

Lissu who is the Vice Chairman of opposition political party Chadema had made prior requests to meet the Head of State who is also the chairman of the ruling party- CCM.

According to a statement issued by the Director of Presidential Communications, Zuhura Yunus on Wednesday, the discussions, albeit brief, focused on pertinent issues.

“During their talks the two discussed various issues of interests to the welfare of the United Republic of Tanzania,” reads the statement in part.
Hamna aliye mwema ndani ya CCM. Je unafuatilia kesi ya kubumba ya ugaidi inayomkabili MBOWE? Ni kichekesho cha karne
 
Kwa namna walimpiga marisasi huyo Lissu, ni vyema mama amekutana naye, nakumbuka huyu huyu mama Samia alimtembelea hapa Nairobi kipindi alikua amelazwa.
Natumai hilo genge la wasiojulikana halina nafasi kwenye hii awamu, maana liliwatesa sana Watanzania kwenye awamu hiyo.
Siku hizi wana style mpya ya kesi mchongo.
 
Back
Top Bottom