Rais Samia na Lissu, mwanzo mzuri kwa Watanzania, ndicho tulichokifanya hapa Kenya

Rais Samia na Lissu, mwanzo mzuri kwa Watanzania, ndicho tulichokifanya hapa Kenya

CCM
Chanzo
Cha
Matatizo

Lakini kwa juhudi za mama, zimesababisha hao CCM wamepoteana, kuna yule Polepole darasa lake la uongozi sijui liliishia wapi, wamepigana vikumbo humo ndani ya chama, naona akina Nape na Makamba ndio wapo usukani halafu kundi la "legasi" wapo nje wanashambulia.....
Japo kwa namna ninavyoelewa siasa za Tanzania, haitotokea CCM iondoke madarakani, ukweli mchungu Watanzania hamna ujasiri huo, labda baadaye sana, ujamaa mnao ndani yenu ambao husababisha muwe watu wa kuswagwa na kuelekezwa elekezwa, pale Dodoma akichaguliwa wa kuwania kwa CCM, moja kwa moja huyo ndiye rais.

Hao CCM leo wanaonyesha mpasuko ila uchaguzi ukikaribia wanakua kimoja maana hicho chama ndio kula yao, ndio riziki yao na hakuna atakubali kipigwe chini kama tulivyofanya KANU.
 
Back
Top Bottom