Rais Samia na Lissu, mwanzo mzuri kwa Watanzania, ndicho tulichokifanya hapa Kenya

Rais Samia na Lissu, mwanzo mzuri kwa Watanzania, ndicho tulichokifanya hapa Kenya

Comparing oranges with lemons. You can't compare Miguna's stature to that of Lissu, can you?.
Kwahiyo haki, uhuru na freedom huko kwenu vinategemea umaarufu na cheo cha mtu?, Ndio sababu Tanzania itaendelea kuongoza ktk demokrasia ukanda wote huu
 
Lissu kama Baaria naona ana Kibegi pembeni
 
Kwahiyo haki, uhuru na freedom huko kwenu vinategemea umaarufu na cheo cha mtu?, Ndio sababu Tanzania itaendelea kuongoza ktk demokrasia ukanda wote huu
Hehee!.. uelewa wa watu huwa tofauti kweli. Yangu ilikuwa ni kustajaabu vile kiongozi mzima anaangaishwa, na raia wa kawaida itakuwa aje?..
 
Ndio maana nikamshangaa mwenzangu pale juu eti yuafananisha Miguna na Lissu. Eti official opposition leader anacharazwa viboko. Hainiingii kichwani. Hapa hata governor huwezi.
Nimekuuliza, Kama sio kiongozi basi Kenya huna haki?, Yaani unaweza kufukuzwa, kunyanyaswa na kupoteza haki yako kwasababu tu sio kiongozi?, Kweli ninyi ni failed state
 
Nimekuuliza, Kama sio kiongozi basi Kenya huna haki?, Yaani unaweza kufukuzwa, kunyanyaswa na kupoteza haki yako kwasababu tu sio kiongozi?, Kweli ninyi ni failed state
Na ndio maana nikasema uelewa wa watu unatofautiana sana. Kwa hivyo wale tupo saa hii sote ni viongozi ama?. Kama Kenya Ni failed state kisa raia mmoja kakosana na walio madarakani, nchi ambayo upindzani mzima unagura kwa kuhofia uhai wao ndio itakuwa Nini?..
 
Back
Top Bottom