Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Kwisha kazi yenu. Kataneni tu mapanga.Huku hatuingojei hiyo August vile mnaingojea. Hapa nishughuli tunapiga, August will sort itself. We'll cross the bridge when we get there!..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwisha kazi yenu. Kataneni tu mapanga.Huku hatuingojei hiyo August vile mnaingojea. Hapa nishughuli tunapiga, August will sort itself. We'll cross the bridge when we get there!..
You wish, continue wishing!..Kwisha kazi yenu. Kataneni tu mapanga.
Kizungu cha ugoko hakitishi mtu.You wish, continue wishing!..
He can since all are politicianComparing oranges with lemons. You can't compare Miguna's stature to that of Lissu, can you?.
Na ukaona heri utaje uoga. You've truly been rattled, ehn!..Kizungu cha ugoko hakitishi mtu.
Mbona sasa hivi Uhuru na Ruto hawaivi chungu kimoja???
We utampigia kura Baba?
Halafu kwa nini mnamuita Baba?
Ila nawapenda wanawake wenu waliopo kwenye siasa…Sabina Chege….Cate Waiguru….nk.
Hamna aliye mwema ndani ya CCM. Je unafuatilia kesi ya kubumba ya ugaidi inayomkabili MBOWE? Ni kichekesho cha karne
Ah wapi! Kukomoana kupo sana tu.Huo ndio ukomavu, kukubali kutokubaliana sio kukomoana kwamba lazima ufanye nitakacho, muda niutakao, siku niitakayo, kwa namna nitakavyo....
Check hii video utanielewa https://www.jamiiforums.com/data/video/3051/3051707-e15e09b392dad2d6b198cca6a9a7fa72.mp4
Au upitie huu uzi Ukomavu wa kisiasa; Wakati Kenya wanaonesha njia, Tanzania kama wafanyavyo mbuni, tumezika vichwa mchangani
Umepitwa na wakati nyang'au.Na ukaona heri utaje uoga. You've truly been rattled, ehn!..
Licha ya hayo bado unag'ang'ana kujibizana na mwenye kupitwa na wakati. Who's fooling who?..Umepitwa na wakati nyang'au.
Mtakatana mapanga tu nyie nyang'au. Bado hamjajifunza.Licha ya hayo bado unag'ang'ana kujibizana na mwenye kupitwa na wakati. Who's fooling who?..
Hakuna kitu kitafanyika sababu mwenye kiti wa ujamaa kataka. 🤣🙈Mtakatana mapanga tu nyie nyang'au. Bado hamjajifunza.
Ah wapi! Kukomoana kupo sana tu.
Juzi tu hapa Abab Namwamba wamemuondolea walinzi wake kisa kumuunga mkono Ruto.
Na hata huyo Ruto naye anahujumiwa tu sasa hivi.
Sabina Chege ana kesi ya kujibu huko IEBC kwa sababu alisema hata sasa hivi wataiba kura kama walivyoiba 2017!
Safari hii RAO ‘atashinda’ kwa sababu state machinery iko nyuma yake.
CCMHehehe!! Huwa napitia majukwaa yenu ya siasa na kusoma kuihusu, aisei kama imebuma vile, hawakuisuka vizuri na itamtokea mtu puani, tafuteni suluhu la kisiasa kuimaliza, sio kila kitu lazima kifuate taratibu zote za mahakamani, kuna mengine yanazungumzwa na kuwekana sawa.
Wewe nyang'au bado umeng'ang'ania ujamaa tu?Hakuna kitu kitafanyika sababu mwenye kiti wa ujamaa kataka. 🤣🙈
Aaah wapi!.. mshamba hata ajipate mjini bado zile hulka za kishamba huwa hazimtoki. 🤣Ujamaa uliisha zaidi ya miaka thelathini iliyopita. Wewe bado umeng'ang'ania tu?
Mtakatana mapanga tu, hiyo hamuepuki nyie nyang'au.Aaah wapi!.. mshamba hata ajipate mjini bado zile hulka za kishamba huwa hazimtoki. 🤣
Ndio maana nikamshangaa mwenzangu pale juu eti yuafananisha Miguna na Lissu. Eti official opposition leader anacharazwa viboko. Hainiingii kichwani. Hapa hata governor huwezi.Nachokisema ni kwamba, huyo Ruto hajakubali kubamizwa au kuburuzwa kwa pua na rais, enzi hizo hazipo kwetu tena, kwamba rais akikohoa nyote chali, anakataliwa tu, rais Uhuru huwa namkubali ila kuna kitu imemchukua muda kuelewa tupo chini ya katiba tofauti.
Wacha waendelee na siasa zao ila Agosti ikifika tutajitokeza na kumchagua kila mmoja kwa amtakaye, kimsingi asiruhusiwe yeyote kufoka hate speech kama huyo Sabina, nampenda pia lakini hapo alivuka mpaka na alipaswa kunyea debe.
Kwa kweli napenda namna Raila na Ruto wanapelekeshana, hamna automatic, yeyote kati yao ataibuka na kutuongoza na tutampokea, japo kutakua na makasiriko ila ndivyo ilivyo kisiasa, sio lazima achaguliwe umtakaye.
Keep building your imaginary sky scrapersMtakatana mapanga tu, hiyo hamuepuki nyie nyang'au.