Rais Samia na Lissu, mwanzo mzuri kwa Watanzania, ndicho tulichokifanya hapa Kenya

Hivi mahakama yenu so ilitoa hukumu kwamba Miguna Miguna arudishiwe passport yake na aruhusiwe kurudi Kenya bila masharti yoyote, iweje serikali haiheshimu amri za mahakama?, Hiyo ndio sababu mojawapo Kenya kuwa ktk kundi la failed states
 
Afadhali kwetu mahakama iko na huo udhubutu wa kukata kauli dhidi ya viongozi. Huko kwenu hata mahakama ni karagosi. Sasa hiyo ndio proper failed state. 🤣🙈
 
Afadhali kwetu mahakama iko na huo udhubutu wa kukata kauli dhidi ya viongozi. Huko kwenu hata mahakama ni karagosi. Sasa hiyo ndio proper failed state. [emoji1787][emoji85]
Sasa Kama inatoa kauli lakini hiyo kauli haisikilizwi, hiyo ni mahakama au ni mahakama ya failed state?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa Kama inatoa kauli lakini hiyo kauli haisikilizwi, hiyo ni mahakama au ni mahakama ya failed state?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kauli ngapi hivi kakosa kusikilizwa?. Halafu afadhali haki kuchelewa lakini hukumu kishaa tolewa. Ina maana mhasiriwa yupo na matumaini ya kutendewa haki.
 
Kauli ngapi hivi kakosa kusikilizwa?. Halafu afadhali haki kuchelewa lakini hukumu kishaa tolewa. Ina maana mhasiriwa yupo na matumaini ya kutendewa haki.
Hahahaha, delayed Justice is a denied justice, don't you know that?
 
Tofauti na Wakenya, Watz kuna sehemu tunakosa ile "fighting spirit ", siyo kwenye siasa tu ila kwenye vitu vingi.
Watz tungekuwa na ujasiri kidogo tukaanza kudai Katiba mpya, ingekuwa ni mwanzo wa mabadiliko mapya.
Kwa mfumo ulivyo kwa sasa, CCM ndio inasimamia na hata kutangaza matokeo ya uchaguzi, sasa itashindwa vipi? Ikishindwa kwenye box inajipa kura wakati wa kuhesabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…