Rais Samia na Mama Janeth Magufuli, picha bora ya wiki

Rais Samia na Mama Janeth Magufuli, picha bora ya wiki

Au niweke picha hapa ili ujidhihirishe badala ya kuja na povu?
Ndo mana nimesema hacha kutafta kiki kwa kuongea mambo ya hovyo,Mama Janeth alipewa tuzo sio ya kujipodoa kipindi cha Jpm,ni kwa sababu mama alikuwa anapambana kumweka katika hali ya kusimama na kutoa kauli za kuongoza taifa.
 
Janet amenawiri na anang'aa kwasasa, kuliko ilivyokuwa wakati wa utawala wa Jinamizi.
Unaweza kujua sababu ya kuwa hivyo? Kwa sababu toka akiwa na mumewe hela zilikuwepo na vyakula vilikuwepo, sasa unadhani kilikosekana nini au nini alishindwa kufanya wakati hadi kikafanya asinawiri?
 
Hata kwenye ziara zake huyu mama alionekana hana furaha kabisa,yaan yupo yupo tu,sahv anafurahia maisha
Ina maana hakuwa kwenye furaha katika ndoa yake na hali hiyo ni tokea akiwa mwalimu na mumewe hajawa rais au baada ya mumewe kuwa rais?
 
Hii picha ingevutia zaidi na kuwa hata ya mwaka kama mmoja angesimama na Mr maana sidhani kama wote ni wajane. Lakini kwa ilivyo naona tu vazi mbadala na Loliondo.
 
Ina maana hakuwa kwenye furaha katika ndoa yake na hali hiyo ni tokea akiwa mwalimu na mumewe hajawa rais au baada ya mumewe kuwa rais?
walikuwa wameshaachana kimwili ila walibaki kuwa wanandoa kwenye makaratasi,walianza kuwa karibu kwasababu ya jamaa kupata urais ikamlazimu huyo mama kufata utaratibu maana rais hawez kuwa ikulu bila mke
 
Huyu mama Janeth hana baya na mtu. Ni mwingi wa heshima na hekima. Namtakia maisha mema na marefu mama huyu.
 
Watalaamu wa saikolojia waje wanitafasilie kama hilo tabasamu lipo mpaka moyoni au geresha tu
 
Back
Top Bottom