Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mbona mnaishi kwenye fikra ya Tanzania ya Mwaka 1960.
Hivi Leo hii bado naibu Waziri, Waziri, Waziri Mkuu na Rais, mnakua wa namna hii?
Mimi sio Muandisi, ila Hili DARAJA haliwezi gharimu Bilioni 31.
HIVI Kwanini Mungu alimchukua JOHN JOSEPH POMBE? KWANINI?
Jioneeni wakuu, ili ndo Daraja ambalo Serikali imetumia Bilion 31 , yaan million elfu thelathin na Moja
Mahospital hayana Madawa , Vifaa Tiba hamnaaa, Kuna zahanati Ndani Ndani hukoooo hazina hata Gloves .
Alafu hui ujinga, ndo mtuambie ni Bilion 31? Bilion?
Au Mimi msukuma niliyezaliwa umasikin huko, ndo Sijui maana ya Hela?