Rais Samia na Waziri Mkuu, hivi hili daraja ndiyo la Bilioni 31?

Rais Samia na Waziri Mkuu, hivi hili daraja ndiyo la Bilioni 31?

Mbona mnaishi kwenye fikra ya Tanzania ya Mwaka 1960 .

Hivi Leo hii bado naibu Waziri, Waziri, Waziri Mkuu na Rais, mnakua wa namna hii ??.

Mimi sio Muandisi, ,ila Hili DARAJA haliwezi gharimu Bilioni 31.

HIVI Kwanini Mungu alimchukua JOHN JOSEPH POMBE ?? KWANINI ??.

Jioneeni wakuu, ili ndo Daraja ambalo Serikali imetumia Bilion 31 , yaan million elfu thelathin na Moja

Mahospital hayana Madawa , Vifaa Tiba hamnaaa, Kuna zahanati Ndani Ndani hukoooo hazina hata Gloves .

Alafu hui ujinga, ndo mtuambie ni Bilion 31?? Bilion??

Au Mimi msukuma niliyezaliwa umasikin huko, ndo Sijui maana ya Hela ??.

Haya majizi yasipotolewa kwa katiba mpya, yataliacha taifa hoi bin taabani. Watu hawana uzalendo kabisa.
 
Wanasiasa wanarudisha pesa walizotumia kuhonga katika uchaguzi uliopita huku wanqkitafuta pesa kwaajili ya kuhonga uchaguzi ujao
 
Nawakumbusha Tanroads; Daraja la chuma la mto Wami na mto Ruvu yako Idle.
Wakiweza lile la Ruvu, walihamishie kwenye bara bara inayounganisha Segerea na Staki shari na lile la Wami watafute sehemu nyingine yenye uhitaji wakalifunge...
Wakisoma hapa, wazingatie, wasiaachs yakajiishia .
 
Mavyuma yale Wananchi bei ghali sana.
Pale chuma kimoja si chini ya Millioni kumi.

Bado zege...bado maji ya kumwagilia yalitoka mbali...

Na ukute ardhi ya pale udongo haufai wakaleta udongo kutoka Labda China..
Kuna mafuta ...yale madozaa

Haya kupambana na Mamba pale mtoni..

Vitu ni vingi mno muda hautoshi.

NI maoni yangu

Eng.Wa kujitegemea wa Nchi
 
Mbona mnaishi kwenye fikra ya Tanzania ya Mwaka 1960.

Hivi Leo hii bado naibu Waziri, Waziri, Waziri Mkuu na Rais, mnakua wa namna hii?

Mimi sio Muandisi, ila Hili DARAJA haliwezi gharimu Bilioni 31.

HIVI Kwanini Mungu alimchukua JOHN JOSEPH POMBE? KWANINI?

Jioneeni wakuu, ili ndo Daraja ambalo Serikali imetumia Bilion 31 , yaan million elfu thelathin na Moja

Mahospital hayana Madawa , Vifaa Tiba hamnaaa, Kuna zahanati Ndani Ndani hukoooo hazina hata Gloves .

Alafu hui ujinga, ndo mtuambie ni Bilion 31? Bilion?

Au Mimi msukuma niliyezaliwa umasikin huko, ndo Sijui maana ya Hela?

Utakuta wametumia 1B zingine zote zimepigwa
 
Back
Top Bottom