bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Amejisimanga mwenyewe maana amekwenda huko Marekani alikoitwa na Biden na pia anatafuta bailout kutoka World Bank na IMF kwani wako hoi na inflation imeruka juu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amejisimanga mwenyewe maana amekwenda huko Marekani alikoitwa na Biden na pia anatafuta bailout kutoka World Bank na IMF kwani wako hoi na inflation imeruka juu sana.
Mwambie mungu wako aingilie kati bila kumwaga damu ili usiendelee kutesekaTulia mfuasi wa dhalimu, ama unadhani dhalimu ataonekana alikuwa bora?
Mbona mnaishi kwenye fikra ya Tanzania ya Mwaka 1960 .
Hivi Leo hii bado naibu Waziri, Waziri, Waziri Mkuu na Rais, mnakua wa namna hii ??.
Mimi sio Muandisi, ,ila Hili DARAJA haliwezi gharimu Bilioni 31.
HIVI Kwanini Mungu alimchukua JOHN JOSEPH POMBE ?? KWANINI ??.
Jioneeni wakuu, ili ndo Daraja ambalo Serikali imetumia Bilion 31 , yaan million elfu thelathin na Moja
Mahospital hayana Madawa , Vifaa Tiba hamnaaa, Kuna zahanati Ndani Ndani hukoooo hazina hata Gloves .
Alafu hui ujinga, ndo mtuambie ni Bilion 31?? Bilion??
Au Mimi msukuma niliyezaliwa umasikin huko, ndo Sijui maana ya Hela ??.

Au Mimi msukuma niliyezaliwa umasikin huko, ndo Sijui maana ya Hela ??
Mbona mnaishi kwenye fikra ya Tanzania ya Mwaka 1960 .
Hivi Leo hii bado naibu Waziri, Waziri, Waziri Mkuu na Rais, mnakua wa namna hii ??.
Mimi sio Muandisi, ,ila Hili DARAJA haliwezi gharimu Bilioni 31.
HIVI Kwanini Mungu alimchukua JOHN JOSEPH POMBE ?? KWANINI ??.
Jioneeni wakuu, ili ndo Daraja ambalo Serikali imetumia Bilion 31 , yaan million elfu thelathin na Moja
Mahospital hayana Madawa , Vifaa Tiba hamnaaa, Kuna zahanati Ndani Ndani hukoooo hazina hata Gloves .
Alafu hui ujinga, ndo mtuambie ni Bilion 31?? Bilion??
Au Mimi msukuma niliyezaliwa umasikin huko, ndo Sijui maana ya Hela ??.
Bila machafuko huu uhuni utazidi kuota mizizi.
We ndo kimbelembele cha kumudis marehemu, tulia dawa ikuingie
Failure state Kama Ghana na Rais wake wanaweza fundisha Nini Tanzania?
Sikubaliani na daraja hilo kugharimu 31B na simlilii Magufuli kwa sababu pia sikubaliani na daraja la Kigogo-Bisisi kugharimu 700B! Tungejenga kilometer 700 za barabara nzuri ya lami kwa fedha hizo.
Shida ya humu Jf tunajadiliana hata ni vilaza na madebe matupu, kwahiyo unataka kukubali kuwa hilo daraja ni la Billion 30+ ?Wivu wako wa kijinga, acha kuleta uchokonozi usio na faida ktk maisha yako, fanya utafiti kwa kila unacholalamikia, ovyo kabisa we
Kwahiyo ukiachana na usukuma wa mleta mada, hilo daraja ni la thamani hiyo?Nishajua kilichokufanya uandike ujinga huu. Ni hapo kwenye maandishi meusi. Upo kwenye lile gang!!!.
Wewe hutachukuliwa kwasababu unaakili za kulamba miguu na makalio ya wakubwa zako wa CCM.Tuambie wewe Ni la gharama kiasi gani?
Alimchukua Pombe kwa sababu alikuwa Hana akili.
Hiyo picha haijitoshelezi. Inaonesha kingo za juu tu. Kwahiyo huwezi kutumia picha hiyo kutoa hukumuKwahiyo ukiachana na usukuma wa mleta mada, hilo daraja ni la thamani hiyo?
Na wewe lamba ya unaowatumikiaWewe hutachukuliwa kwasababu unaakili za kulamba miguu na makalio ya wakubwa zako wa CCM.