Rais Samia na Waziri Mkuu, hivi hili daraja ndiyo la Bilioni 31?

Haya majizi yasipotolewa kwa katiba mpya, yataliacha taifa hoi bin taabani. Watu hawana uzalendo kabisa.
 
Wanasiasa wanarudisha pesa walizotumia kuhonga katika uchaguzi uliopita huku wanqkitafuta pesa kwaajili ya kuhonga uchaguzi ujao
 
Nawakumbusha Tanroads; Daraja la chuma la mto Wami na mto Ruvu yako Idle.
Wakiweza lile la Ruvu, walihamishie kwenye bara bara inayounganisha Segerea na Staki shari na lile la Wami watafute sehemu nyingine yenye uhitaji wakalifunge...
Wakisoma hapa, wazingatie, wasiaachs yakajiishia .
 
Mavyuma yale Wananchi bei ghali sana.
Pale chuma kimoja si chini ya Millioni kumi.

Bado zege...bado maji ya kumwagilia yalitoka mbali...

Na ukute ardhi ya pale udongo haufai wakaleta udongo kutoka Labda China..
Kuna mafuta ...yale madozaa

Haya kupambana na Mamba pale mtoni..

Vitu ni vingi mno muda hautoshi.

NI maoni yangu

Eng.Wa kujitegemea wa Nchi
 
Utakuta wametumia 1B zingine zote zimepigwa
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…