Rais Samia na wewe unafanya ya Magufuli kuwanunua wapinzani?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
It is a pity! sasa 4R zipo wapi?

Kama umefanya hili, kwanini mtu asiseme kwa uhakika kuwa ume sanction matendo mengine ya magufuli kuwateka/kuwaua/na kuwapoteza wapinzani yanayoendelea sasa hivi?
 
Mpina aliugua kifafa utotoni,usiamini Sana asemacho,we unaweza mpima Samaki aliyerostiwa kwa rula?!..kasimamishwa bungeni na si CCM, kasimamishwa kwa kuenenda kinyume na taratibu za bunge
Japo maelezo yako yanachekesha, lkn kuna hoja ndani yake. Yule bibi wa bungeni anafanya kazi kwa maelekezo ya ccm.
 
Ni haki yake kikatiba kujiunga na chama anachokipenda ingawaje kwa mtazamo wangu huu haukua wakati muafaka kufanya hivyo!

Je ni kwa sababu ameukosa uenyekiti?

Je amenyimwa haki ya kukata rufaa na chama chake hivyo inaonekana hakuna demokrasia ndani ya chama chake?

Au ndio zile pesa tulizoambiwa zinatembea kwenye chaguzi za CDM nae amelamba halafu jamaa wakamstukia wakamtema mapema?

Anyway, wananchi wanakuaga hawatabiriki. Hiki chama kimewahi kuondokewa na vigogo kadhaa lakini hakijawahi kuanguka labda kiliteleza.

Waliowahi kukihama chama hiki:

Aman Walid Kaburu
Zitto Kabwe
Kitila Mkumbo et al,
Dr. Slaa
 
It is a pity! sasa 4R zipo wapi?

Kama umefanya hili, kwanini mtu asiseme kwa uhakika kuwa ume sanction matendo mengine ya magufuli kuwateka/kuwaua/na kuwapoteza wapinzani yanayoendelea sasa hivi?
Mwanasiasa ni mtu wa tamaa sana akikosa cheo ataitafuta balaa......ndo hayo
 
Kuna mtu Twitter kasema msigwa kapewa advance ya dola laki tano 🤣🤣. Sina uhakika kama ni kweli au uongo 🤣🤣. Ila dola laki tano ni parefu na bado kuna maokoto mengine yanakuja mifukoni mwake
Ndiyo kawaida ya chadema kuwawekea wenzao price tag,wao waliponunuliwa kwa 12b na mamvi 2015 hawakubwatuka,waliishia kuzungusha mikono wakidai mabadiliko Lowasa Lowasa mabadiliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…