Rais Samia na wewe unafanya ya Magufuli kuwanunua wapinzani?

Rais Samia na wewe unafanya ya Magufuli kuwanunua wapinzani?

It is a pity! sasa 4R zipo wapi?

Kama umefanya hili, kwanini mtu asiseme kwa uhakika kuwa ume sanction matendo mengine ya magufuli kuwateka/kuwaua/na kuwapoteza wapinzani yanayoendelea sasa hivi?
Samia alianza kampeni za urais wa 2025 tangu siku aliyoapishwa kuwa rais. Anatumia nguvu kubwa kubaki ikulu ili wale wanaofaidi urais wake waendelee kufaidi keki ya taifa. Ana pesa nyingi sana ya kuchezea inayotokana na mauzo ya rasilimali za Tanganyika. Kajaza mabango na machawa nchi nzima. Nakumbuka maneno ya mwalimu Nyerere kuwa mtu muadilifu hawezi kutumia nguvu za kila aina ili aingie ikulu
.
 
Kuna demokrasia?
**Hujayasikia ya Mpina??
**Hukuyaona ya Ndugai,?
Ukiacha hao.............

Wewe hajasikia kuhusu Sativa akiyetekwa, mpaka kupelekwa Katavi na kuokotwa msituni, Kwenye mbuga ya wanyama, akiwa mahututi Kwa kupigwa sana!😭
 
It is a pity! sasa 4R zipo wapi?

Kama umefanya hili, kwanini mtu asiseme kwa uhakika kuwa ume sanction matendo mengine ya magufuli kuwateka/kuwaua/na kuwapoteza wapinzani yanayoendelea sasa hivi?
Wewe unaweza kununuliwa? Ni ujinga wa kiwango cha juu Sana binadamu anapokubali kuuza uhuru wake. Nionacho Mimi binadamu anaweza kuhama chama kwa maslahi yake au matakwa yake mwenyewe. Inaweza kuwa njaa,mgogoro au ushawishi( kuvutiwa) . Kuhama kwa msigwa si mwisho wa chadema. Aende zake tu maisha yaendelee
 
It is a pity! sasa 4R zipo wapi?

Kama umefanya hili, kwanini mtu asiseme kwa uhakika kuwa ume sanction matendo mengine ya magufuli kuwateka/kuwaua/na kuwapoteza wapinzani yanayoendelea sasa hivi?
Umeonaaa...ila hawatasema dikteta, anateka watu, anauq upinzani...Nilifikiri yaliisha na "mwendazake"
 
Watu wanashabikia chadema kwa sababu ya aina ya uongozi wa hii serikali ya ccm tu ila sidhani kama nje ya hapo kuna chenye kuvutia hiki chama.
 
Back
Top Bottom