Rais Samia na wewe unafanya ya Magufuli kuwanunua wapinzani?

Rais Samia na wewe unafanya ya Magufuli kuwanunua wapinzani?

Ndiyo kawaida ya chadema kuwawekea wenzao price tag,wao waliponunuliwa kwa 12b na mamvi 2015 hawakubwatuka,waliishia kuzungusha mikono wakidai mabadiliko Lowasa Lowasa mabadiliko
images.jpeg-121.jpg
 
Amemnunua kwa shilingi ngapi kwa hela za kitanzania?
 
Na nyie hapo chademani n nani alimnunua Lowassa?
 
It is a pity! sasa 4R zipo wapi?

Kama umefanya hili, kwanini mtu asiseme kwa uhakika kuwa ume sanction matendo mengine ya magufuli kuwateka/kuwaua/na kuwapoteza wapinzani yanayoendelea sasa hivi?
4R na R'....kuhonga vyeo
 
shortly atateuliwa kuwa waziri or any other high position. La muhimu kama Slaa aliondoka na chadema haikuteteleka, nenda Mchungaji shetani Msigwa
Keshapiga hela zake za chadema anenda kula na za ccm.🤣🤣
Nikikuwa mkubwa nataka niwe mwanasiasa
 
Kwa lipi sasa hadi CCM inunue hizo taka ngumu
 
Kuna mtu Twitter kasema msigwa kapewa advance ya dola laki tano 🤣🤣. Sina uhakika kama ni kweli au uongo 🤣🤣. Ila dola laki tano ni parefu na bado kuna maokoto mengine yanakuja mifukoni mwake
Ni mjinga gani anayeweza kukataa mlungula kama huo? 🤣 🤣 🤣 🤣
 
It is a pity! sasa 4R zipo wapi?

Kama umefanya hili, kwanini mtu asiseme kwa uhakika kuwa ume sanction matendo mengine ya magufuli kuwateka/kuwaua/na kuwapoteza wapinzani yanayoendelea sasa hivi?
Siyo kuwanunua wapinzani tu,utekaji na mauaji ya wakosoaji yanaendelea kama ilivyo kauli mbiu yake ya kazi iendelee. CCM ni ile ile.
 
Siyo kuwanunua wapinzani tu,utekaji na mauaji ya wakosoaji yanaendelea kama ilivyo kauli mbiu yake ya kazi iendelee. CCM ni ile ile.
we need to see the way out! Namshauri Mbowe asitishe chaguzi hiz mpaka 2026 baada ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom