Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
🤣Ndiyo kawaida ya chadema kuwawekea wenzao price tag,wao waliponunuliwa kwa 12b na mamvi 2015 hawakubwatuka,waliishia kuzungusha mikono wakidai mabadiliko Lowasa Lowasa mabadiliko
Samia alianza kampeni za urais wa 2025 tangu siku aliyoapishwa kuwa rais. Anatumia nguvu kubwa kubaki ikulu ili wale wanaofaidi urais wake waendelee kufaidi keki ya taifa. Ana pesa nyingi sana ya kuchezea inayotokana na mauzo ya rasilimali za Tanganyika. Kajaza mabango na machawa nchi nzima. Nakumbuka maneno ya mwalimu Nyerere kuwa mtu muadilifu hawezi kutumia nguvu za kila aina ili aingie ikuluIt is a pity! sasa 4R zipo wapi?
Kama umefanya hili, kwanini mtu asiseme kwa uhakika kuwa ume sanction matendo mengine ya magufuli kuwateka/kuwaua/na kuwapoteza wapinzani yanayoendelea sasa hivi?
Thombeni wajomba zangu,wanasiasa wanawapotezea muda tu🤣
Bora GenZ wa bongo waendelee kutafuta pisi zenye misambwanda mikubwa 🤣🤣🤣 kila mtu apambane na hali yake.
Bunge limeundwa na wabunge wa ccm pekee, kwahiyo ni sawa na kikao cha ccm tuAnafanya kwa kufuata sheria za bunge
Si sawaBunge limeundwa na wabunge wa ccm pekee, kwahiyo ni sawa na kikao cha ccm tu
Kwani hujui na wewe ni maiti mtarajiwa?😉Ajiulize Magu yuko wapi.
🤣Thombeni wajomba zangu,wanasiasa wanawapotezea muda tu
Hata kama ungekuwa wewe. Ungekataa?Kuna mtu Twitter kasema msigwa kapewa advance ya dola laki tano 🤣🤣. Sina uhakika kama ni kweli au uongo 🤣🤣. Ila dola laki tano ni parefu na bado kuna maokoto mengine yanakuja mifukoni mwake
Dola laki tano 🤣🤣🤣🤣Hata kama ungekuwa wewe. Ungekataa?
Ukiacha hao.............Kuna demokrasia?
**Hujayasikia ya Mpina??
**Hukuyaona ya Ndugai,?
Wewe unaweza kununuliwa? Ni ujinga wa kiwango cha juu Sana binadamu anapokubali kuuza uhuru wake. Nionacho Mimi binadamu anaweza kuhama chama kwa maslahi yake au matakwa yake mwenyewe. Inaweza kuwa njaa,mgogoro au ushawishi( kuvutiwa) . Kuhama kwa msigwa si mwisho wa chadema. Aende zake tu maisha yaendeleeIt is a pity! sasa 4R zipo wapi?
Kama umefanya hili, kwanini mtu asiseme kwa uhakika kuwa ume sanction matendo mengine ya magufuli kuwateka/kuwaua/na kuwapoteza wapinzani yanayoendelea sasa hivi?
Umeonaaa...ila hawatasema dikteta, anateka watu, anauq upinzani...Nilifikiri yaliisha na "mwendazake"It is a pity! sasa 4R zipo wapi?
Kama umefanya hili, kwanini mtu asiseme kwa uhakika kuwa ume sanction matendo mengine ya magufuli kuwateka/kuwaua/na kuwapoteza wapinzani yanayoendelea sasa hivi?
HakikaAjiulize Magu yuko wapi.
Wapigakura wana tabia zile zile kwanini ubadili mbinu? Wapinzani wapo vile vile unabadili mbinu za nini?CCM ni ileile, katiba ileile, mbinu zilezile
shortly atateuliwa kuwa waziri or any other high position. La muhimu kama Slaa aliondoka na chadema haikuteteleka, nenda Mchungaji shetani MsigwaKapewa bei gani?mkiambiwa chama chenu kinabomoka mnakaza fuvu
Power is invariably personal! sijui kama umenielewaKitu mnachokosea nikudhani ni Magufuli ndo alikuwa ananunua,elewa anayenunua ni CCM