Rais Samia na wewe unafanya ya Magufuli kuwanunua wapinzani?

It is a pity! sasa 4R zipo wapi?

Kama umefanya hili, kwanini mtu asiseme kwa uhakika kuwa ume sanction matendo mengine ya magufuli kuwateka/kuwaua/na kuwapoteza wapinzani yanayoendelea sasa hivi?
Azuie watu kutimiza haki zao za kidemokrasia?
 
shortly atateuliwa kuwa waziri or any other high position. La muhimu kama Slaa aliondoka na chadema haikuteteleka, nenda Mchungaji shetani Msigwa
Kwahiyo mnathibitisha kuwa chama chenu ni chama chenye njaa ndio maana mnanunuliwa
 
It is a pity! sasa 4R zipo wapi?

Kama umefanya hili, kwanini mtu asiseme kwa uhakika kuwa ume sanction matendo mengine ya magufuli kuwateka/kuwaua/na kuwapoteza wapinzani yanayoendelea sasa hivi?
Wewe ukienda sokoni ukakuta mtu anauza bidhaa yake kihalali ukiinunua ni kosa?
 
It is a pity! sasa 4R zipo wapi?

Kama umefanya hili, kwanini mtu asiseme kwa uhakika kuwa ume sanction matendo mengine ya magufuli kuwateka/kuwaua/na kuwapoteza wapinzani yanayoendelea sasa hivi?
Hata kipindi cha Magufuli yeye ndiye anaifanya kazi hiyo lakini lawama zilikuwa zikitupiwa mwamba. Wengine wananunuliwa lakini wanabaki ndani ya chama chao
 
shortly atateuliwa kuwa waziri or any other high position. La muhimu kama Slaa aliondoka na chadema haikuteteleka, nenda Mchungaji shetani Msigwa.
Nadhani chadema itateteleka kama siku akiondoka Mbowe, maana huyo ndio nguzo chadema hakuna mbadala wake na ndio maana amekuwa kiongozi hapo kwa miaka yote hii.
 
D
Dr.Slaa hakuhama Chama aliachana na siasa za kumwingiza Slaa Madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…