Rais Samia: Nakataa Ombi la Mbunge Wa Kilwa Kusini, Ally Kisinge kuwaridhisha wapiga kura hata pasina na uhalisia

Kama halijaendelezwa magu angefutilia mbali. Mashamba pori yaliyoshikiliwa na wawekezaji kwa muda mrefu ndio yanachelewesha kukua kwa miji.

Utakuta wahusika hawana mpango wa kuendeleza kwa miaka 30 ijayo. Wanataka kuja kuuza.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Samia hana mda wa kujipendekeza Kwa mambo yasiyo na Tija.

Ila Rais futeni vyuo na mashamba mjini kama ilivyo Mbeya na Arusha Ili watengewe maeneo ya huko mawilayani kwenye mashamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…