Rais Samia: Nakataa Ombi la Mbunge Wa Kilwa Kusini, Ally Kisinge kuwaridhisha wapiga kura hata pasina na uhalisia

Rais Samia: Nakataa Ombi la Mbunge Wa Kilwa Kusini, Ally Kisinge kuwaridhisha wapiga kura hata pasina na uhalisia

Kama halijaendelezwa magu angefutilia mbali. Mashamba pori yaliyoshikiliwa na wawekezaji kwa muda mrefu ndio yanachelewesha kukua kwa miji.

Utakuta wahusika hawana mpango wa kuendeleza kwa miaka 30 ijayo. Wanataka kuja kuuza.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Mh.Rais Samia ameendelea kuwafundisha watanzania haki zao za kiraia....UKWELI UKWELI UKWELI.

Amelikataa ombi la mh.mbunge wa Kilwa Kusini ndg. Ally Kisinge la kulifuta eneo lililo zaidi ya kilomita moja kutoka pwani linalomilikiwa kisheria na kampuni ya kiwekezaji ya KILWA YARK CLUB.

Mbunge huyo kama walivyo wabunge wengine ambao hupenda kufurahisha wapiga kura wao hata pasina ukweli wa maendeleo mtambuka ya maeneo yao.

Katika pwani hiyo ya Kilwa ,wavuvi wanaendelea na shughuli zao wakiwa na maeneo mtambuka ya kibiashara.

Mh.Rais SSH akitukumbusha kuwa tusipende migogoro na wawekezaji walio kisheria kwani maamuzi yoyote KANDAMIZI dhidi yao hupelekea msururu wa kesi mahakamani zinazopelekea serikali kushindwa na kulipa MAMILIONI YA FEDHA ZA WALIPA KODI.

Hili liwe funzo kwetu wananchi pamoja na wabunge wetu wapendwa[emoji120]

#Siempre JMT[emoji120]

#Mama Kaja[emoji7]

#Wananchi Na Mapenzi Makubwa Kwa Rais Samia[emoji2956]
Samia hana mda wa kujipendekeza Kwa mambo yasiyo na Tija.

Ila Rais futeni vyuo na mashamba mjini kama ilivyo Mbeya na Arusha Ili watengewe maeneo ya huko mawilayani kwenye mashamba
 
Back
Top Bottom