Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,510
- 6,877
Sidhani kama kufungua nchi basi vyombo vya dola ndio vilale, sheria zipo na zitaendelea kufanya kazi. Suala la NGADA ni uvunjaji wa sheria na IGP Simon Sirro bado yupo ofisiniNa madawa ya kulevya yameshafunguliwa!
Wauza ngada wataneemeka mno!
Riziwani anakenua sasa hivi....
umeweka kingereza kingi sijaambulia kitu hata kimojaHujui kodi ya Mapato na zaidi ya hapo unajua kwanini issue hii ilikuwa ni jambo kubwa ktk brexit to EU ?? Halafu unalauma watu hawajui nini kinatokea mipakani au export inakatazwa
The Irish backstop (formally the Northern Ireland Protocol) is a defunct appendix to a draft Brexit withdrawal agreement developed by the May government and the European Commission in December 2017 and finalised in November 2018, that aimed to prevent an evident border (one with customs controls) between the Republic .
Fear of unknownHuyu atatupeleka sehemu ambayo hatutakaa tuinuke tena.
Point hapa sio kufungua au kufunga nchi, NGADA inaweza kuuzwa hata kama bado tumeifunga nchi, muhimu mama aendelee na kufungua nchi but sheria zetu zifanya kazi, period. Kufungua nchi na biashara ya NGADA ni vitu viwili tofauti sana mkuu. NAmbie nchi gani duniani imefunga nchi yake halafu hakuna biashara ya dawa za kulevya? Nitakuonesha China ambayo imefungua mipaka yake but biashara ya dawa za kulevya kule ni KIFO but juzi hapa tumesoma kwenye vyombo vya habari kwamba raia wa Iran wamekamatwa na kilo 800 za NGADA, hiyo ni almsot tani ya NGADA kwenye ardhi ya Tanzania; tunajua sheria za IRANI zilivyo kuhumu mambo mbalimbali, imehusikaje hadi wana jeshi na wenyewe wakahusika kwenye usafirishaji wa dawa zile????? Walitoa wapi?Unafikiri ngada inauzwa bila vyombo vya dola kujua?
Muulize Riziwani akupe siri za uvunguni!
Wewe mpaka leo unatumia VPN? VPN ilikufa na mwendazake wewe unaishi wapi?Ameshindwa kuifungua twitter mapaka uwe na VPN ataweza kuifungua Nchi kweli???
Kajadili umbeya huko mambo ya nchi huyawezi.Mambo gan hayo? Ya kuzurula nchi za watu baada ya kuhangaika na matatizo ya watanzania nchini kwake. Mbona hao marais hatuwaon kuja kwetu hovyo, Tabia ya kikahaba sana hiyo mxiew
Hayo mawazo ya vijana wengi kuiiajiri ulikuwa nayo wewe kwenye akili yako. Kwakifupi magufuli ali discourage ajira siyo sekta rasmi tuu mpaka sekta isiyo rasmi ambayo vijana wengetegemea kujiajiri.Tunaenda kuwa watumwa wa wawekezaji maana tutashindwa kufungua biashara zetu vijana wengi watakimbilia kwenye ajira
Maana kwa JPm .akili zilishaanza kukomaa kuanza kujiajiri ...mawazo ya vijana wengi walikuwa wanafikiria kujiajiri tu yaani nawambia baada ua miaka 10 tungepata wafanyabiashara wengi tena hao wangeajiri wezao
Kibongo bongo ardhi ni mali ya rais. Sheria za ardhi zinatofautiana acheni kukwamisha maendeleo kwa kigezo cha kushindwa kuchukua ardhi kwa mtu anayemiliki kihalali.Ni kwamba akiifungua nchi na mwekezaji akamilikishwa ardhi na kutokana na economic strength yake , itakuwa shida sana kuipata ardhi hiyo au kwa gharama mara mia ya bei aliyonunulia. Angalia matatizo ya ardhi yalio pelekea mapigano ya kikabila, ambapo Uhuru aliahidi kutoa kiasi lakini sijasikia kutekeleza ahadi hiyo
Huna akili mjinga kabisa.kwahiyo kwaakili yako fupi bank inapotumia ardhi kama collateral au unapolipwa fidia basi umiliki unahama kutoka kwa serikali? Tafuta hiyo sheria ya ardhi uisome vizuri.Ingekuwa kama unavyofikiria Bank zisingekuwa zinatoa mikopo, au watu wangekuwa hawalipwi fidia hiyo ardhi ikichukuliwa
Kwahiyo tulikuwa tumefungwa?
Weee unaamini tulipokuwa tumefikia ndo tulikuwa tumeinuka?Huyu atatupeleka sehemu ambayo hatutakaa tuinuke tena.
Watanzania sijui tunataka nini maana hatuna jema!!Unakosoa kwa sababu tu JPM hakutaka hilo jambo!!
Yaani nyie watu likifanywa lolote kinyume na kilichokuwa kinafanywa na JPM, basi nongwa!!
Sasa kuna ubaya gani wa kurahisisha ufanyaji biashara Tanzania?!
Kuna ubaya gani kutaka kuongea na Business Community ili kutatua changamoto zinazokwamisha uwekezaji?!
Yaani nyie watu mnatamani sana Samia afeli manake kila anachofanya mnaona anataka ku-challenge aliyokuwa anafanya JPM!
Yaani, kazi mnayo!!!
Ndugu yenu alitupeleka wapi? Alikuwa anatupeleka shimoniHuyu atatupeleka sehemu ambayo hatutakaa tuinuke tena.
Wewe mpaka leo unatumia VPN? VPN ilikufa na mwendazake wewe unaishi wapi?
Huweztumia twitter hadi kwa VPN huko kwenu Nchi kasoro bahariWeee unaamini tulipokuwa tumefikia ndo tulikuwa tumeinuka?
Sijakuelewa.mimi natumia Twitter bila VPN hapa Daslam.Huweztumia twitter hadi kwa VPN huko kwenu Nchi kasoro bahari
Mtaumia sana this time.Na madawa ya kulevya yameshafunguliwa!
Wauza ngada wataneemeka mno!
Riziwani anakenua sasa hivi....