Rais Samia: Nakwenda kufungua Nchi, mmekuwa mkinitukana sana mitandaoni

Rais Samia: Nakwenda kufungua Nchi, mmekuwa mkinitukana sana mitandaoni

Na madawa ya kulevya yameshafunguliwa!

Wauza ngada wataneemeka mno!

Riziwani anakenua sasa hivi....
Sidhani kama kufungua nchi basi vyombo vya dola ndio vilale, sheria zipo na zitaendelea kufanya kazi. Suala la NGADA ni uvunjaji wa sheria na IGP Simon Sirro bado yupo ofisini
 
Fungua mama fungua.... jamaa alitufungia makomeo kila chumba na funguo eti akawa anatembea nazo!! kwenda haja hadi umpigie simu arudi tena kwa muda anaoutaka yeye.
 
Tupambane na umasikini, ujinga na maradhi, bado vinatukwamisha na kuleta husuda na lawama nyingi, huko vijijini elimu ipelekwe Ili tuendane na mjini, hata hiyo miaka 60 tunayoilamu CCM kusema la kweli ni sisi wenyewe tujilaumu kwasababu ya ujinga wetu, imagine wafugaji na wakulima walikuwa hawapeleki watoto shule Ili wakatumike kulima na kuchunga mpaka serikali ndiyo ilazimishe watoto waende shule na bado hao wananchi wanagoma hata kujijengea shule Ili watoto wao wapate elimu na kijiji kina watumishi waliopangiwa huko wanaona wachukue uwanja wanaweka watoto juani na Mvua wanapiga picha serikali haijaleta shule bila wao kuchukua hatua zozote za kujikwamua, sasa hivi kuna umeme vijijini lakini bado watu wanataka serikali ndo iingize umeme ndani kwao, hiyo mifugo na kilimo mpaka wakauze mjini maana wao hawana hata sehemu ya kuweka soko watu wakanunue, sasa kwanini tusijilaimu sisi kwa ujinga wetu? Ujinga umetuletea umasikini na ndo maana watu wanalilia maisha ya kuitwa wanyonge Ili lawama watupie serikali wakati serikali ishawaambia familia iwe ya watoto wasiozidi 4 na Sheria za kuunda familia zimewekwa lakini bado huko vijijini hakuna kitu hicho ni mwendo wa kuishi Kama wanyama bila vitu vya kuwapa raha na maisha Bora wakitaka raha wanalazimisha kuja mjini bila kuwaza kujenga raha zao huko vijijini na serikali ingewaheshimu Kama watu wa mjini wanavyoheshimiwa.
 
Hujui kodi ya Mapato na zaidi ya hapo unajua kwanini issue hii ilikuwa ni jambo kubwa ktk brexit to EU ?? Halafu unalauma watu hawajui nini kinatokea mipakani au export inakatazwa

The Irish backstop (formally the Northern Ireland Protocol) is a defunct appendix to a draft Brexit withdrawal agreement developed by the May government and the European Commission in December 2017 and finalised in November 2018, that aimed to prevent an evident border (one with customs controls) between the Republic .
umeweka kingereza kingi sijaambulia kitu hata kimoja
 
Unafikiri ngada inauzwa bila vyombo vya dola kujua?

Muulize Riziwani akupe siri za uvunguni!
Point hapa sio kufungua au kufunga nchi, NGADA inaweza kuuzwa hata kama bado tumeifunga nchi, muhimu mama aendelee na kufungua nchi but sheria zetu zifanya kazi, period. Kufungua nchi na biashara ya NGADA ni vitu viwili tofauti sana mkuu. NAmbie nchi gani duniani imefunga nchi yake halafu hakuna biashara ya dawa za kulevya? Nitakuonesha China ambayo imefungua mipaka yake but biashara ya dawa za kulevya kule ni KIFO but juzi hapa tumesoma kwenye vyombo vya habari kwamba raia wa Iran wamekamatwa na kilo 800 za NGADA, hiyo ni almsot tani ya NGADA kwenye ardhi ya Tanzania; tunajua sheria za IRANI zilivyo kuhumu mambo mbalimbali, imehusikaje hadi wana jeshi na wenyewe wakahusika kwenye usafirishaji wa dawa zile????? Walitoa wapi?
 
Mambo gan hayo? Ya kuzurula nchi za watu baada ya kuhangaika na matatizo ya watanzania nchini kwake. Mbona hao marais hatuwaon kuja kwetu hovyo, Tabia ya kikahaba sana hiyo mxiew
Kajadili umbeya huko mambo ya nchi huyawezi.
 
Tunaenda kuwa watumwa wa wawekezaji maana tutashindwa kufungua biashara zetu vijana wengi watakimbilia kwenye ajira
Maana kwa JPm .akili zilishaanza kukomaa kuanza kujiajiri ...mawazo ya vijana wengi walikuwa wanafikiria kujiajiri tu yaani nawambia baada ua miaka 10 tungepata wafanyabiashara wengi tena hao wangeajiri wezao
Hayo mawazo ya vijana wengi kuiiajiri ulikuwa nayo wewe kwenye akili yako. Kwakifupi magufuli ali discourage ajira siyo sekta rasmi tuu mpaka sekta isiyo rasmi ambayo vijana wengetegemea kujiajiri.
 
Ni kwamba akiifungua nchi na mwekezaji akamilikishwa ardhi na kutokana na economic strength yake , itakuwa shida sana kuipata ardhi hiyo au kwa gharama mara mia ya bei aliyonunulia. Angalia matatizo ya ardhi yalio pelekea mapigano ya kikabila, ambapo Uhuru aliahidi kutoa kiasi lakini sijasikia kutekeleza ahadi hiyo
Kibongo bongo ardhi ni mali ya rais. Sheria za ardhi zinatofautiana acheni kukwamisha maendeleo kwa kigezo cha kushindwa kuchukua ardhi kwa mtu anayemiliki kihalali.

Mbona nyie watanzania hiyo ardhi mmeshindwa kuitumia kama ni fursa kwenu
 
Ingekuwa kama unavyofikiria Bank zisingekuwa zinatoa mikopo, au watu wangekuwa hawalipwi fidia hiyo ardhi ikichukuliwa
Huna akili mjinga kabisa.kwahiyo kwaakili yako fupi bank inapotumia ardhi kama collateral au unapolipwa fidia basi umiliki unahama kutoka kwa serikali? Tafuta hiyo sheria ya ardhi uisome vizuri.
 
Unakosoa kwa sababu tu JPM hakutaka hilo jambo!!

Yaani nyie watu likifanywa lolote kinyume na kilichokuwa kinafanywa na JPM, basi nongwa!!

Sasa kuna ubaya gani wa kurahisisha ufanyaji biashara Tanzania?!

Kuna ubaya gani kutaka kuongea na Business Community ili kutatua changamoto zinazokwamisha uwekezaji?!

Yaani nyie watu mnatamani sana Samia afeli manake kila anachofanya mnaona anataka ku-challenge aliyokuwa anafanya JPM!

Yaani, kazi mnayo!!!
Watanzania sijui tunataka nini maana hatuna jema!!
 
Back
Top Bottom