Rais Samia: Nani atazikwa na hela?

Rais Samia: Nani atazikwa na hela?

Kinachotokea kuna watumishi na viongozi wengi ambao wana vinasaba (DNA) na viongozi waliopigania uhuru na waliowahi kuwa viongozi kwenye awamu zilizopita. Ukiwagusa hawa utakutana na manung'uniko ya waliokuingiza madaraki, wanaokutetea na watakaokuunga mkono kwenye kaampeni zako mbalimbali.
Hapo ndipo nilimkubali Magu aliwatingisha wazee wa establishment.
 
Eeeehee Bhwanah!

Hiyo ni "kauli NZITO SANA"?

Huyo aliyetoa kauli nzito ya namna hiyo alikueleza kwamba hayo mahela yanapelekwa kunua mahekalu Dubai, huku ndugu zako hapo kijijini wakinywa maji ya tope?

Kwa hiyo, kwa vile hao wezi "hawatazikwa na hizo hela" basi haina maana yoyote kwa wananchi kujitahidi wapate vijisenti angalau waweze kupata milo miwili kwa siku?

Hivi nyinyi watu, na huyo unayemsifia mnazo za kutosha humo vichwani mwenu?
Lakini hakuishia hapo pa hutazikwa nazo, alisema watuupishee, au hukumsikia. Kupisha kuna maana nyingi sana. Tundu Lissu aliambiwa atupishe akakiona cha mtema kuni. Shida yetu tumezoea kutawaliwa na wanaume wanaofoka tu lakini hakuna vitendo. Mfano, wakati wa wizi wa EPA, Escrow, Richmond, Melemeta, mikataba mibovu ya madini, ununuzi wa ndege kwa cash, uuzwaji wa nyumba za serikali na viwanda kwa bei ya kutupwa na wizi wa mabasi ya UDA tulikuwa na Marais wanaume, niambie waliwafanya nini wezi hao? Tusiwe na chuki binafsi na Rais huyu, subirini mtaona moto wake wa kimyakimya bila kufokafoka na kupayuka kama mlivyozoea huko nyuma. Huyu mama haoni shida CCM kupisha kama akiona ndio kikwazo cha maendeleo ya wananchi. Ana orodha ya wakwamishaji wote wote aliowaita wahavidhina wanaotukwamisha kwa maslahi yao na ndugu zao. Utamkuta mtu yeye, mkewe, mtoto wake, dada yake, mpwa wake na mjukuu wote ni viongozi ama serikalini ama kwenye chama au wako bungeni kwa njia za mchongo kama vile hii nchi ni mali yao binafsi.
 
Hapo ndipo nilimkubali Magu aliwatingisha wazee wa establishment.
Shida yake aliwatingisha lakini akakumbatia DNA yake, kabila na kanda yake. Kuna aina ya majina kama Bashite, gwajima, Mabula, masanja, Kadogosa, mchembe, Biteko, Kulwa, Mandago, Duba, Muchunguzi, Kamugisha, Bashungu, Kajumulo, Kakulwa, Masatu, Chacha, Marwa, nk yalikuwa yakisikika sana kuliko majina mengine.
 
Shida yake aliwatingisha lakini akakumbatia DNA yake, kabila na kanda yake. Kuna aina ya majina kama Bashite, gwajima, Mabula, masanja, Kadogosa, mchembe, Biteko, Kulwa, Mandago, Duba, Muchunguzi, Kamugisha, Bashungu, Kajumulo, Kakulwa, nk yalikuwa yakisikika sana kuliko majina mengine.
Kweli alikosea kupendelea kanda moja.
 
Ni kauli fupi sana lakini nzito kwelikweli. Akionyesha kukerwa na majizi Rais Samia aliitoa kauli hii. Majizi yote hakuna linalolala kwenye vitanda viwili, vyumba viwili wala kula sahani mbili za ugali kwa wakati mmoja, wanaiba na kurundika pesa ambazo wataziacha wakati wakifa.

Pesa hizo mara nyingi ndio zinageuka chanzo cha vifo vyao kwanjia ya kisukari, shinikizo kubwa la damu, uzito mkubwa, ugonjwa wa ini na figo, kansa, ajali za magari, ukimwi na msongo wa mawazo. Na mara nyingi fedha hizo huwa ama zinapotea au kugeuka pia kuwa chanzo cha laana na vifo kwa watoto, ndugu na wajukuu atakaowaacha. Ni heri ya mtu aliacha mti mmoja wa kivuli kwenye uwanja wake wa nyumba kuliko yule aliyeacha mabilioni ya fedha kwenye vihenge na bank.

Nimuombe tu mama yetu atengeneze katiba nzuri yenye meno kabla hajaondoka madarakani. katiba "nzuri" kwangu ni katiba ambayo:
1. Inaondoa kinga ya kushitakiwa kwa wezi wote wa mali ya umma
2. Unatoa njia rahisi ya kumuondoa kiongozi wa ngazi yoyote ambae ni mwizi au mbadhilifu.
3. Inatoa adhabu kubwa sana ya kunyonga au inayokaribia na kunyonga
4. Inatoa dira na mwelekeo wa taifa kwenye uchumi, afya, elimu, chakula na ulinzi.

Mali za Nchi haziwezi kulindwa kwa ukali wa mtu mmoja, bali kwa katiba na taasisi zenye nguvu na meno ya kuzilinda.
SIsi tunamuangalia yeye aliyewsteua hayo majizi na anaendelea kuyalinda mpaka sasa.
 
Lakini hakuishia hapo pa hutazikwa nazo, alisema watuupishee, au hukumsikia. Kupisha kuna maana nyingi sana. Tundu Lissu aliambiwa atupishe akakiona cha mtema kuni. Shida yetu tumezoea kutawaliwa na wanaume wanaofoka tu lakini hakuna vitendo. Mfano, wakati wa wizi wa EPA, Escrow, Richmond, Melemeta, mikataba mibovu ya madini, ununuzi wa ndege kwa cash, uuzwaji wa nyumba za serikali na viwanda kwa bei ya kutupwa na wizi wa mabasi ya UDA tulikuwa na Marais wanaume, niambie waliwafanya nini wezi hao? Tusiwe na chuki binafsi na Rais huyu, subirini mtaona moto wake wa kimyakimya bila kufokafoka na kupayuka kama mlivyozoea huko nyuma. Huyu mama haoni shida CCM kupisha kama akiona ndio kikwazo cha maendeleo ya wananchi. Ana orodha ya wakwamishaji wote wote aliowaita wahavidhina wanaotukwamisha kwa maslahi yao na ndugu zao. Utamkuta mtu yeye, mkewe, mtoto wake, dada yake, mpwa wake na mjukuu wote ni viongozi ama serikalini ama kwenye chama au wako bungeni kwa njia za mchongo kama vile hii nchi ni mali yao binafsi.
Imenibidi nirudi juu kuangalia mwandishi wa haya niliyosoma hapa. 'kavulata'? umeingizwa kazini hivi karibuni? Utaiweza hii kazi ya kupaka marashi kwenye kinyesi ili kinukie vizuri?

Uliyoandika hapa ni wazi kwamba huna uwezo huo wa kugeuza uozo uonekane ni mali safi sana.

Kwa maana hiyo, sina muda wa kupoteza kujibu hoja zisizokuwepo.
 
Ni kauli fupi sana lakini nzito kwelikweli. Akionyesha kukerwa na majizi Rais Samia aliitoa kauli hii. Majizi yote hakuna linalolala kwenye vitanda viwili, vyumba viwili wala kula sahani mbili za ugali kwa wakati mmoja, wanaiba na kurundika pesa ambazo wataziacha wakati wakifa.

Pesa hizo mara nyingi ndio zinageuka chanzo cha vifo vyao kwanjia ya kisukari, shinikizo kubwa la damu, uzito mkubwa, ugonjwa wa ini na figo, kansa, ajali za magari, ukimwi na msongo wa mawazo. Na mara nyingi fedha hizo huwa ama zinapotea au kugeuka pia kuwa chanzo cha laana na vifo kwa watoto, ndugu na wajukuu atakaowaacha. Ni heri ya mtu aliacha mti mmoja wa kivuli kwenye uwanja wake wa nyumba kuliko yule aliyeacha mabilioni ya fedha kwenye vihenge na bank.

Nimuombe tu mama yetu atengeneze katiba nzuri yenye meno kabla hajaondoka madarakani. katiba "nzuri" kwangu ni katiba ambayo:
1. Inaondoa kinga ya kushitakiwa kwa wezi wote wa mali ya umma
2. Unatoa njia rahisi ya kumuondoa kiongozi wa ngazi yoyote ambae ni mwizi au mbadhilifu.
3. Inatoa adhabu kubwa sana ya kunyonga au inayokaribia na kunyonga
4. Inatoa dira na mwelekeo wa taifa kwenye uchumi, afya, elimu, chakula na ulinzi.

Mali za Nchi haziwezi kulindwa kwa ukali wa mtu mmoja, bali kwa katiba na taasisi zenye nguvu na meno ya kuzilinda.
Aliwachagua mwenyewe na kuwatoa waliokuwepo na JPM wamemnyoosha na bado watafanya zaidi ya hapoi ndio maana kutwa kucha wanamsifia na kutaka anedelee kuwa mkuu wa nchi ili wale isivyo halali kwa kadri wawezavyo bila bughudha!!!!

"....Majizi yote hakuna linalolala kwenye vitanda viwili, vyumba viwili wala kula sahani mbili za ugali kwa wakati mmoja, wanaiba na kurundika pesa ambazo wataziacha wakati wakifa....."
 
Ni kauli fupi sana lakini nzito kwelikweli. Akionyesha kukerwa na majizi Rais Samia aliitoa kauli hii. Majizi yote hakuna linalolala kwenye vitanda viwili, vyumba viwili wala kula sahani mbili za ugali kwa wakati mmoja, wanaiba na kurundika pesa ambazo wataziacha wakati wakifa.

Pesa hizo mara nyingi ndio zinageuka chanzo cha vifo vyao kwanjia ya kisukari, shinikizo kubwa la damu, uzito mkubwa, ugonjwa wa ini na figo, kansa, ajali za magari, ukimwi na msongo wa mawazo. Na mara nyingi fedha hizo huwa ama zinapotea au kugeuka pia kuwa chanzo cha laana na vifo kwa watoto, ndugu na wajukuu atakaowaacha. Ni heri ya mtu aliacha mti mmoja wa kivuli kwenye uwanja wake wa nyumba kuliko yule aliyeacha mabilioni ya fedha kwenye vihenge na bank.

Nimuombe tu mama yetu atengeneze katiba nzuri yenye meno kabla hajaondoka madarakani. katiba "nzuri" kwangu ni katiba ambayo:
1. Inaondoa kinga ya kushitakiwa kwa wezi wote wa mali ya umma
2. Unatoa njia rahisi ya kumuondoa kiongozi wa ngazi yoyote ambae ni mwizi au mbadhilifu.
3. Inatoa adhabu kubwa sana ya kunyonga au inayokaribia na kunyonga
4. Inatoa dira na mwelekeo wa taifa kwenye uchumi, afya, elimu, chakula na ulinzi.

Mali za Nchi haziwezi kulindwa kwa ukali wa mtu mmoja, bali kwa katiba na taasisi zenye nguvu na meno ya kuzilinda.
KWANI WANAOIBA WAMESEMA WANATAKA KUZIKWA NA HELA?
 
Mwigulu katugeuza sisi Wananchi kuwa "chuma ulete" wake wa kumkusanyia tozo ili ziende kupigwa.
 
Imenibidi nirudi juu kuangalia mwandishi wa haya niliyosoma hapa. 'kavulata'? umeingizwa kazini hivi karibuni? Utaiweza hii kazi ya kupaka marashi kwenye kinyesi ili kinukie vizuri?

Uliyoandika hapa ni wazi kwamba huna uwezo huo wa kugeuza uozo uonekane ni mali safi sana.

Kwa maana hiyo, sina muda wa kupoteza kujibu hoja zisizokuwepo.
Nyamaza maana huna maana yoyote humu, yaani unataka sisi tuamini kuwa Rais Samia ndio kaibiwa sana na wahuni kuliko Nyerere, Mzee Mwinyi, Mkapa, kikwete na Magufuli kwenye nyakati zao. Hii ni chuki isiyokuwa na haya hata kidogo.
 
Unazidi kunikaribisha na ukiendelea kulilia nikujibu nitakujibu hata huo upumbavu unaoendelea kuueneza hapa.

Huyo mtu wako ni janga kubwa kwa nchi hii.
 
Ni kauli fupi sana lakini nzito kwelikweli. Akionyesha kukerwa na majizi Rais Samia aliitoa kauli hii. Majizi yote hakuna linalolala kwenye vitanda viwili, vyumba viwili wala kula sahani mbili za ugali kwa wakati mmoja, wanaiba na kurundika pesa ambazo wataziacha wakati wakifa.

Pesa hizo mara nyingi ndio zinageuka chanzo cha vifo vyao kwanjia ya kisukari, shinikizo kubwa la damu, uzito mkubwa, ugonjwa wa ini na figo, kansa, ajali za magari, ukimwi na msongo wa mawazo. Na mara nyingi fedha hizo huwa ama zinapotea au kugeuka pia kuwa chanzo cha laana na vifo kwa watoto, ndugu na wajukuu atakaowaacha. Ni heri ya mtu aliacha mti mmoja wa kivuli kwenye uwanja wake wa nyumba kuliko yule aliyeacha mabilioni ya fedha kwenye vihenge na bank.

Nimuombe tu mama yetu atengeneze katiba nzuri yenye meno kabla hajaondoka madarakani. katiba "nzuri" kwangu ni katiba ambayo:
1. Inaondoa kinga ya kushitakiwa kwa wezi wote wa mali ya umma
2. Unatoa njia rahisi ya kumuondoa kiongozi wa ngazi yoyote ambae ni mwizi au mbadhilifu.
3. Inatoa adhabu kubwa sana ya kunyonga au inayokaribia na kunyonga
4. Inatoa dira na mwelekeo wa taifa kwenye uchumi, afya, elimu, chakula na ulinzi.

Mali za Nchi haziwezi kulindwa kwa ukali wa mtu mmoja, bali kwa katiba na taasisi zenye nguvu na meno ya kuzilinda.
Kauli za uswahilini tena za kitot
Ni kweli. Kwanza hiyo ni kauli ya kuonyesha kushindwa. Mwizi hatishiwi bali anakamatwa na kuadhibiwa.
Rais kageuka kuwa Mwanamaombi
 
Kauli za uswahilini tena za kitot

Rais kageuka kuwa Mwanamaombi
Ukiona kiongozi, askari, mwalimu au hata mtoza ushuru na mkaguzi anafoka sana tena mbele za watu na mbele ya camera shituka sana, ni mla ruushwa, anaomba rushwa kwa njia ya ukali na vitisho. Uhalifu na Mali za umma zinalindwa na Mifumo madhubuti sio mtu mmoja . Unapokuwa na Mifumo ambayo Kuna watu wana kinga ya kushitakiwa, wanateua kila mtu muhimu kwenye nafasi zote, wanasehe kila aina ya mhalifu wakipenda, matokeo ya uchaguzi hayahojiwi kokote duniani. Mfumo una watu ambao wako juu ya sheria, wanaweza kumsamehe mwizi hata kama kesi Iko mahakamani, wanafanya makubaliano nje ya sheria (kama pre-bargain unataka Samia afanye nini?

Rais JPM rip alisema katiba hii ni tamu Wacha niitumie kwanza kuinyoosha nchi, wote tukaona alivyoitumia kuinyoosha nchi kwelikweli, ndege zilinunuliwa bila kudai risiti Wala bageti kupita bungeni, watu walipokonywa hela na kazi zao bila sababu, chato ikapata uwanja mkubwa wa ndege, mbuga, ikulu, bank kubwa, hospital kubwa na taa za barabarani ingawa mji una magari 7 TU.

Wote tumeona namna teuzi kwenye awamu zilizopita zilivyozingatia undugu, urafiki, ukabila, ukada, ukanda na umaskahi. Ndio maana Rais Samia anataka kupambana na usulutani huu unaolitafuna taifa. Nafahamu hata wewe ni mnufaika wa usulutani huo ndio maana mnang'aka mama akichanja mbuga kuelekea kuwashika uchawi walamba asali. Hakuna nchi ya vimemo itakayopiga hatua hapa duniani.
 
Inasikitisha, vijana kama hawa wanamiminiwa risasi na watawala wetu

Back
Top Bottom