Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

Hzo za kisasa bullet train sisi kwa sasa hatuna uwezo wa kununua ni very expensive. Pia running cost yake nikubwa wangeleta hzo tungepiga tena kelele kwemye nauli
Kwani tunahitaji trains ngapi na bei yake ni bilioni au trilioni ngapi?

Kama tunajenga SGR ya matrilio ya pesa, kwa nini tushindwe kuleta treni 10 za hadhi hiyo ya mabilioni ya pesa?
 
[emoji106]
 
Nataka kujua specs sio sura nzuri ya treni.
 
Sawa kabisa.[emoji106]
 
Kabisa mkuu. Lile jamaa lilikuwa Genius.
Nikuambie siri! Ulaya jamaa akizungumza kitu kwenye Media zao karibu zote za kimataifa unaipata.

Leo hata Journalist wa ZDF au ARD ya wajerumani ukimwuuliza Samia Suluhu Hassan ni nani, hauta pata jibu.

Hayati Rais Magufuli alikuwa simba wa Afrika. Usifanye mchezo. Kwa upande mwingine ameisaidia sana Tanzania kujulikana hasa kwa Wajerumani. Wajerumani wengi kabla ya Magufuli walikuwa hawaijui Tanzania. Nchi iliyo kuwa ikisifika ni Kenya tu kidogo Uganda.

Sasa haku music wowote wa habari unatoka Afrika. Watu wamepooza ile mbaya. Hata waafrika wenzetu wankutoka nchi nyingine wako kimya wakimsikitikia Hayati.

Enzi ya Hayati Magufuli ukienda kwenye mkusanyiko wa waafrika ukijiintroduce wewe mwenyewe kuwa unatoka Tanzani utasikia "Magulification of Afrika".

Aisee! Wewe acha tu. Tumempoteza mwamba.
 
Hahahaha jamaa alikuwa mwamba kweli ila nabii hakubaliki kwao ndio hivyo watu wanaponda ila jamaa ni chuma ambacho hata wazungu walikuwa wanakipigia saluti maana kimesimama imara! Maisha bila kuwa mbishi namna ile hayaendi utayumbishwa sana.
 
Hawa mat.hako wa hapa bongo hawata kuelewa...
 
Nyingi sana mzee baba [emoji23][emoji23][emoji23] ikiuzwa bombadia moja tu tukajazia hela tunaleta design ya nyoka sema tatizo reli hai support
Zile nyoka za mpaka 250 km/h ina support mkuu. Wala usiwe na wasi wasi. Kitu muhimu ni axial weight. Hii ya kwetu inweza beba mpaka Bombardier Double-Deck Coach trains. Treni za gorofa kama mabasi ya gorofa.
 
Dah nguvu zimeniishia! Km hayo ma design ya karne ya 19 ndo Kodi zetu zinaenda nunua! Moto wangu hauna amani kabisa! Nilikuwa na matumaini makubwa sana! Kuona vitu vya kisasa Kama kule China, Europe! Mtoa mada nimekata tamaa km wewe!
Mkuu tulia tupigwe ndio bado ana siku 100+
 
Sasa ww ndio unatupa mashaka hata na namna ulivyo kuwa una jibu maswali ya walimu wako woteee waliokufundisha kuanzia primary had elimu yako ya mwisho four 4 kama sikose...anyway tu assume 1st degree ..
EeeenHeee, mbona unajiaibisha mkuu!
 
Kabisa mkuu. Mimi ningependa kumwuuliza Mkurugenzi mkuu Mh. Kadogosa kuhusu nani aliwashauri kuwapa zabuni Hyundai na kwa sababu au vigezo vipi? Kweli haingii akilini. Na nani aliwadanganya kuwa sisi tunahitaji treni za mwengo wa speed hiyo na siyo zaidi mpaka 250 km/h at least?
 
Ndio sielewi hapo ilikuwaje kuwaje bora wangeleta ya 250km/h tu mchezo uishe
 
Acha ushamba Samia hajanunua hizo Bajaj ni bwana yule, fuatilia tender ilikuwaje bwana sukumagang, mnataka kumtwisha mizigo isiyo yake.
Sawa yeye kwa hivi sasa ndiyo Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Ni wajibu wetu kumwuuliza na kutupa jibu ridhishi.

Kama mikataba ilifanyika enzi ya Hayati Rais Magufuli, kwanini leo Hyundai ije na hiyo report na sio huko nyuma? Na kwanini mpaka 2024 ndiyo tuanze kupata treni zetu za kwanza? Inaingia akilini kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…