Maneno Meier
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 2,467
- 1,697
- Thread starter
- #421
Kwani tunahitaji trains ngapi na bei yake ni bilioni au trilioni ngapi?Hzo za kisasa bullet train sisi kwa sasa hatuna uwezo wa kununua ni very expensive. Pia running cost yake nikubwa wangeleta hzo tungepiga tena kelele kwemye nauli
Kama tunajenga SGR ya matrilio ya pesa, kwa nini tushindwe kuleta treni 10 za hadhi hiyo ya mabilioni ya pesa?