Maneno Meier
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 2,467
- 1,697
- Thread starter
-
- #521
Hata ndani unafikiri ukisafiri kwa mda mrefu utajisikia vizuri. Jinsi unavyoiona nje usifikiri ndani itakuwa vingine. Nashanga leo bado tunaletewa wagons zenye fans au mapangaboi ndani. Tumekuwa masokwe sisis?acha ujinga wewe muonekanao unakusaidia nini cha msing ni speed na mazingira ya ndani
Kabisa serikali badala ya kuhangaika na kujenga ma sanamu wangeangalia namna ya kuweka SGR Dar Arusha na mchepuko kwenda voi taveta hizi intercity zingerisisha sana usafiri zingepunguza ajali halafu ni faster na sefer zaidi kuliko mabasi au mnasemaje ?Sio mbaya sana. Ina maxmum Speed 160 km/h ambayo average yake itakuwa 120 km/h. Kwa safari ya DAR- MORO inaweza ikatosha. DAR-DODOMA na kuendelea mpaka Mwanza au Kigoma, sishauri. Kwa Ulaya wanaziita Intercity, treni ambazo zinasimama kwenye vituo vingi na speed ndogo.
Yaani wewe unasoma THE CITZEN na kuliamini kweli? If that´s the case, naomba jichimbie kaburi na ujifukie. Utakuwa umeptwa na wakati.Kila kitu Magu alikuwa kamaliza. Soma hapa: South Korean firm to supply SGR trains to Tanzania Samia hahusiki kabisa!
Yeaaaaah! Hivi ndiyo vitu mkuu. Tuko pamoja. Ndiyo dream yangu na nina uhakika ilikuwa dream ya Hayati Magufuli pia kutuletea watanzania kitu kama hivi. Jamaa ananunua Dreamliner, ndege ya kisasa duniani ashindwe kuleta treni za uhakika? Sita amini hata mara moja.Kabisa serikali badala ya kuhangaika na kujenga ma sanamu wangeangalia namna ya kuweka SGR Dar Arusha na mchepuko kwenda voi taveta hizi intercity zingerisisha sana usafiri zingepunguza ajali halafu ni faster na sefer zaidi kuliko mabasi au mnasemaje ?
View attachment 1850646
View attachment 1850647
View attachment 1850648
View attachment 1850649
Kama muhimu ni kufika kwa nini tutupe mabilioni kwa mabilioni si tubaki na ya zamani maana si tunafika?Design unaiangalia ukiwa nje tu, ukishaingia ndani hutakumbuka tena hiyo design, muhimu kufika uendako, kama ch... tu, ukishaivaa hata iwe nzuri vipi huwezi jidai nayo, zaidi ya furaha ya kisaikolojia tu.
Hatujapinga High-speed train, bali tunataka vitu vya vinavyo kwenda na wakati. Hili dude la kisoviet hatulitaki.Hiyo train aliyonunua mama ina uwezo wa kwenda Dar to Dodoma in three hours; hiko ndio serikali ilichoahidi kwenye train ya umeme.
Mengine ni preference zako which has nothing to do with the government promises.
Sio kila kitu kupinga tu.
Sawa kwa kusafirisha mizigo na kubeba wanyama, lakini sio binadam.Mkuu yani watu wanashangaza sasa, wanataka train ya bullet iwekwe kwenye kireli chetu, pia zile train technolojia yake ni ghali sana na ziko sehemu chache duniani. Hiyo train mimi naona nzuri sana na zinatumiaka sehemu kibao
Speed 130-150km/h Dar chuga masaa manne ndani hakuna kelele hakuna mtikisiko unakula mziki na kinywaji unaweza kuchajinsimu au laptop yako hakuna uchovu unafanya biashara unarudi dar siku hiyo hiyoYeaaaaah! Hivi ndiyo vitu mkuu. Tuko pamoja. Ndiyo dream yangu na nina uhakika ilikuwa dream ya Hayati Magufuli pia kutuletea watanzania kitu kama hivi. Jamaa ananunua Dreamliner, ndege ya kisasa duniani ashindwe kuleta treni za uhakika? Sita amini hata mara moja.
Tunasubiri.Subiri mzigo ufike bongo
Nakuambia😁😁😁Speed 130-150km/h Dar chuga masaa manne ndani hakuna kelele hakuna mtikisiko unakula mziki na kinywaji unaweza kuchajinsimu au laptop yako hakuna uchovu unafanya biashara unarudi dar siku hiyo hiyo
Sijamlaumu. Nimeuliza tu nani kampa ushauri wa kutia saini kwa madubwasha ya wanyama haya?Unamlaumu mama bure mzigo umechaguliwa Msoga
Hizi sasa ni balaa speed yake hata camera imeshindwa kupata picha 380km/h dar arusha masaa mawiliNakuambia😁😁😁
Mpe shule huyo mkuu...Kuna watu wanakimbilia kulalamika tu bila kujua ukweli wa mambo ulivyo..Wanakupa kile kinachoendana na uwezo wako wa kiuchumi. Tube train haiwezi kutumia reli ya 1.435 M hii ni kwa ajili ya Boxcab (Diesel/Electric Locomotives) tu na ndio itakayonunuliwa na TRC. Tube trains kwa Afrika bado tutasubiri sana.
Unakuta kuna wanataka mabasi ya mwendo kasi yawe na AC halafu nauli ibaki mia sita😀😀
Hata tukisubiri, bado mtasema tena kwanini tumejenga reli wakati tukijua hatuna uwezo wa kuleta Treni....Hapana. Basi tusubiri mpaka hapo tutakapo kuwa na uwezo ndiyo tununue treni zinazo kwenda na wakati. Kila mara kuyaangalia madudu kama haya tumechoka. Haya madubwasha tunayo mengi sana ukijumlisha na yale ya TAZARA.
Si ajabu hata kodi halipi?Mkuu wewe unataka muonekana ama ubora na ufanisi wa hiyo mashine?
Tulia vitu vifike hapa na kuanza kazi. Tanzania inajengwa na wenye mamlaka.
Sie tulipe kodi tu.
Mpe shule huyo mkuu...Kuna watu wanakimbilia kulalamika tu bila kujua ukweli wa mambo ulivyo..
Mimi kwa maoni yangu nadhani wasi wasi wa mtoa mada unatokana na historia ya Tz katika maswala ya miundo mbinu. Baada ya kuona picha ya treni iliyochapishwa na jinsi ambavyo hali ya manunuzi huko nyuma kwa kweli mtu yeyote mwenye kujali bila ya kufikiri zaidi atadhani ndicho kinachokuja of which inawezekana pia kuwa ni kweli ndivyo vinavyoletwa. Sasa kama umeamua kujitutumua kuvaa suti kipindi hiki basi hakikisha unavaa suti iliyokamilika siyo suti nzuri kisha chini unamalizia na yeboyebo yani ujenge reli nzuri kama inavyojengwa vituo vizuri sana uimarishe upatikanaji wa nguvu ya uendeshaji kisha umalizie na train kuu kuu. Hata mimi nina wasiwasi sana na waliopewa wajibu wa kusimamia manunuzi kama ni kamati zile za kipigaji na hivi mwanzilishi wa mradi wenyewe hayupo aiseee wanaweza kuingia mkataba wakatuletea vitu vya ajabu sana badala ya kuendelea tukajikuta tunaharibu hata rail yenyeweMi navyojua hayo yatakuwa ya kusafirishia ng'ombe Na mkaa.