Tumbiliwaulaya
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 280
- 435
aaa si ndio picha wakina mwanantala walikuwa wanatuonyesha sasa ndio kusema walikuwa wanatudanganya,muonekano wa sura ya kitu unazuia kitu kisitumike mahali fulani?Wanakupa kile kinachoendana na uwezo wako wa kiuchumi. Tube train haiwezi kutumia reli ya 1.435 M hii ni kwa ajili ya Boxcab (Diesel/Electric Locomotives) tu na ndio itakayonunuliwa na TRC. Tube trains kwa Afrika bado tutasubiri sana.
Wewe kweli sokwe unaona aibu kuitwa maskini wakati ndio hali yako, nyinyi ndio wale mkifika ulaya mnajifutia makaratas wakati wa haja kubwa eti mufanane na wazungu mana ukinawa kwa maji utaonekana mbongo, Tanzania ni nchi maskini sana mpaka leo wananchi wanaishi kwa tabu kupata mlo 1 wa chakula lakini unataka upande treni za ulaya.Inawezekana ukawa na umasikini wa akili mkuu. Hilo nalo ni tatizo kubwa sana katika maisha usipo litambua. Wewe unaonyesha kuwa umesha ji-disqualify mwenyewe katika maisha ya kuitwa binadam kwa kujiona kuwa wewe ni sawa na sokwe, kiumbe kisicho stahili kuwa na maendeleo ya vitu.
Nakusikitikia sana. Na kwa ajabu mara nyingi inakuwa hivi, watu kama nyie mnabahatika kuwa na maamuzi ambayo ndiyo yanayo leta hasara katika maisha ya mwafrika.
Wewe uko tayari kummpa priority caucasian kuliko wewe mwenyewe. Yaani automatically umesha ji-categorize kuwa wewe ni slave na yeye ni master anaye stahili vitu vizuri vyote ambavyo binadam amevitengeneza.
Wewe sio kiumbe hai tena katika fikra. Ni kiumbe mfu. Huna maisha. Nyie ndiyo watu ambao kwa maslahi ya wazungu mko tayari kuwaacha waafrika wenzenu wateketee kwa sababu ya miungu mtu wenu wazungu.
Ndiyo akina Lissu nyie. Utakimbiaje nchi yako ukisingizia kuwa kuna watu wasiojulikana wanataka kukuua, wakati huo huo unafanya kampeni za kutaka kushika madaraka ya kuwaongoza watu hao hao wanao tala kukuua. Ya nini tena uwaongoze watu wanaotaka kukua?
Mwenyewe wala hajitambui kuwa anachofanya ni disgrace kwa race yetu. Kwa uroho wa madaraka tu anakubali hata kuuza utu wake kwa caucasian. Akitegemea kuwa wao wamsaidie kuyapata madaraka hayo.
Acha fikra za kijinga za kuona kuwa wewe hustahili vitu vizuri kwenye nchi yako. Hizo ni fikra za kinyama zisizokubalika na human race yeyote ile duniani.
Wanachostahili wazungu nasi tunastahili pia. Hakuna aliye juu ya mwenzie!
Inaelekea hujui hata unacho changia kwa kukosa wisdom. Hivi wewe kabla hujawatukana wenzio, pumbavu, kwanini kwanza hujajiuliza hiyo treni tuliyo iagiza inatoka wapi? Mbona hujiulizi pia kwanini sasa tuna SGR ya matrilion ya fedha? Kulikuwa na unuhimu wowote wa kutumia matrilioni ya fedha yote hayo kugharimia hiyo infrastructure, wakati tunajua kuwa watu wanapata mlo mmoja kwa siku?Wewe kweli sokwe unaona aibu kuitwa maskini wakati ndio hali yako, nyinyi ndio wale mkifika ulaya mnajifutia makaratas wakati wa haja kubwa eti mufanane na wazungu mana ukinawa kwa maji utaonekana mbongo, Tanzania ni nchi maskini sana mpaka leo wananchi wanaishi kwa tabu kupata mlo 1 wa chakula lakini unataka upande treni za ulaya.
Vaa herini basi wenzako kule ulaya wamepiga hatua wanatoboa masikio wanavaa herini na bangili., pumbv
Ndugu hii ya kwamba SGR yetu ina uwezo wa kuruhusu treni itembee kwa 400kph umeitoa wapi? Maana wajenzi wenyewe wanasema ni design speed ya 160kph na imekuwa ikijulikana hivyo siku zote na hata hayati magufuli amewahi kuongea sana kuhusu hilo.Jf ni platiform kubwa kwenye mitandao ya kijamii. Karibu viongozi wakuu wa serikali na taasisi zake wamo kwenye mtandao huu na huwa wanapitia mara kwa mara mijadala inayohusu sekta zao zinazotolewa au kulalamikiwa humu. Hususani tanesco huwa hawachelewi kuzitolea ufafanuzi. Kwa nini Bw. Kadogosa amekuwa kimya kutolea ufafanuzi wa suala hili kama ni la kweli au si la kweli? Waziri wa uchukuzi naye kimya.
Inauma sana. Yaani treni zinazonunuliwa zinapitwa hadi na zile za Kenya zinazotumia dizeli wakati sisi ni za umeme? SGR yetu ni ya kisasa kabisa inayoruhusu hadi treni za spidi ya 400 kph?
Tazama hapa treni za dizeli za Kenya halafu ulinganishe na hizo za Kadogosa:
View attachment 1851927
Yaani hili halikubaliki. Tunahitaji bullet trains. Tuanze na chache kama uwezo hautoshi kwa sasa. Mama aingilie suala hili.
Asante mkuu kwa mchango wako. Ni kweli tunamwomba Mama Samia Suluhu Hassan kuingilia hili swala. Ni kweli pia haitakubalika sisi kuwa na treni ambayo imepitwa na wakati. Tunataka vitu vinavyo endana na SGR yetu nasi tujidai kama wengine wanavyo fanya na vyao. Hela tunazao. Nchi yetu imejaliwa kuwa na rasilimali kem kem.Jf ni platiform kubwa kwenye mitandao ya kijamii ya Tanzania. Karibu viongozi wakuu wote wa serikali na taasisi zake wamo kwenye mtandao huu na huwa wanapitia mara kwa mara mijadala inayohusu sekta zao zinazotolewa au kulalamikiwa humu. Hususani tanesco huwa hawachelewi kuzitolea ufafanuzi. Kwa nini Bw. Kadogosa amekuwa kimya kutolea ufafanuzi wa suala hili kama ni la kweli au si la kweli? Waziri wa uchukuzi naye kimya kwa nini? Lazima kuna jambo walilolivurunda hapa. Kimya chao kitaeleweka hivyo ie ufisadi. Ni vyema wakajitokeza kututoa kwenye hisia hizi za ufisadi.
Inauma sana. Yaani treni zetu zinazonunuliwa zinapitwa hadi na zile za Kenya zinazotumia dizeli wakati sisi ni za umeme? SGR yetu ni ya kisasa kabisa inayoruhusu hadi treni za spidi ya 400 kph?
Tazama hapa treni za dizeli za Kenya halafu ulinganishe na hizo za Kadogosa:
View attachment 1851927
Yaani hili halikubaliki. Tunahitaji bullet trains za kisasa. Nchi yetu ni tajiri sana barani Afrika. Tuanze sasa kujionesha hivyo kama tulivyofanya kwenye Dreamliners. We should think Big.Tuanze na bullet trains chache kama uwezo hautoshi kwa sasa, zenye uwezo wa kusafiri masaa matatu kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza, sangara wa Mwanza wafike Kariakoo wakiwa fresh kabisa pamoja na senene wa kutoka huko Katerero. Mama yetu wa Taifa aingilie suala hili.
Ndugu sijaona treni ya umeme Tanzania, wewe umeshaiona??Hayati Magufuli katufundisha ku-dream Big! Na kweli tume Dream Big ndiyo maana tumepata SGR ya umeme. Wewe katika maisha yako so far ulitegemea leo kuiona treni ya umeme Tanzania?
Magufuli has made it possible for us. He showed us how it can be done. And if he succeeded doing it, why cann't we also be pretty sure that we gonna have the same success which he had. Why not?
Kwani wajapani na wajerumani au wafaransa walikuwa navyo hivyo vitu huko nyuma? Si baada ya shujaa mmoja, George Stephenson, mbritish kuanza ndiyo wengine wote nao wakapata knowledge ya kutengeneza treni kama George Stephenson.
Kama miaka 30 iliyopita wachina walikuwa third World, lakini sasa ni ma-giant, nasisi tutaweza pia. Sisi wote ni binadam tunaweza kuiga vilevile kama wengine. Hakuna kisichowezekana.
Kiwango cha reli ni hicho hicho kwa bullet trains aka express trains na standard electrical trains. Mambo mengine ni mpangilio tu wa kimenejiment. Aina zote mbili zinaweza kupita kwenye hiyo reli na hata zile za dizeli zinaweza kupita humo. Hata kama njia yetu siyo double lane ni mpangilio tu. Kwa mfano: bullet train inaondoka DSM saa 12 asubuhi na haitasimama stesheni yo yote isipokuwa Dodoma (makao makuu ya nchi) na Mwanza tu ambako itafika saa tatu na nusu asubuhi. kwa spidi ya 400 kph. Ile standard train (ya watu wengi) inaondoka Dar saa 12 na nusu asubuhi, itasimama kila stesheni na kufika Mwanza saa 8 mchana. Bullet train itatoka Mwanza saa 9 mchana (baada ya standard train kufika Mwanza na hivyo njia kuwa wazi) na itafika Dar es Salaam saa 12 na nusu jioni baada ya kusimama kidogo makao makuu Dodoma. Na bei kati ya hizi treni zitakuwa tofauti. Ile bullet train ya 400+ kph itakuwa nusu ya bei ya ya tiketi ya ndege wakati ile ya standard train itakuwa robo tatu ya tiketi ya bus. Hapo vipi mkuu? Hizo za mizigo zitatakiwa kusubiri kwenye any station kwa muda wo wote kupisha treni hizi za abiria.Ndugu hii ya kwamba SGR yetu ina uwezo wa kuruhusu treni itembee kwa 400kph umeitoa wapi? Maana wajenzi wenyewe wanasema ni design speed ya 160kph na imekuwa ikijulikana hivyo siku zote na hata hayati magufuli amewahi kuongea sana kuhusu hilo.
Mimi sio mtaalamu wa reli ila naona kwa hizo speed za 400kph reli yao inakuwa na double track halafu vituo ni vichache sio kama hapo dar moro kila km kadhaa ka-kituo, Sasa kwa hali hii 400kph inaweza fikiwa au kuwa chaguo sahihi kweli.?
Ukweli ni kuwa reli yetu imeundwa kwa kuzingatia kasi ya 160 kph kwa treni za abiria na 120 kwa ya mizigo. Sio high speed 'bullet train' kivile ila ni semi-high speed.
Ila bwana kama ndio hizo ni mbaya kwa kweli, treni za kasi ya 160km/p zipo zina sura nzuri sana ya kuchongoka ingawa si sana kama zile za kasi ya 300+.
Hivi hiyo bullet train na na SGR yenywe ni ipi ghali kuifance kama tumejenga SGR ya umeme kwa nini tusiitendee haki ,mabon Dreamliner tumenunua Sasa hivyo vibullet ndo vitushinde Kama nchi ,Hayati Magufuli katufundisha ku-dream Big! Na kweli tume Dream Big ndiyo maana tumepata SGR ya umeme. Wewe katika maisha yako so far ulitegemea leo kuiona treni ya umeme Tanzania?
Magufuli has made it possible for us. He showed us how it can be done. And if he succeeded doing it, why cann't we also be pretty sure that we gonna have the same success which he had. Why not?
Kwani wajapani na wajerumani au wafaransa walikuwa navyo hivyo vitu huko nyuma? Si baada ya shujaa mmoja, George Stephenson, mbritish kuanza ndiyo wengine wote nao wakapata knowledge ya kutengeneza treni kama George Stephenson.
Kama miaka 30 iliyopita wachina walikuwa third World, lakini sasa ni ma-giant, nasisi tutaweza pia. Sisi wote ni binadam tunaweza kuiga vilevile kama wengine. Hakuna kisichowezekana.
Swadakta!!! kitu kimetulia... Tangu juzi mjadala unaendelea, Kadogosa kachimbia kichwa ardhini wakati ufafanuzi unahitajika. TRC ikishusha kitu kama hiki sidhani kama kutakuwa na ugomvi. Kama tumeamua kuwa mfano afrika mashariki, basi tumiliki vitu vya maana.
Umeongea kitaalam sana kamanda watu wanjua bullet train mpaka iwejengewe railway mpya wakati hiyo hiyo ipo tu itakidhi vigezo hivyoKiwango cha reli ni hicho hicho kwa bullet trains aka express trains na standard electrical trains. Mambo mengine ni mpangilio tu wa kimenejiment. Aina zote mbili zinaweza kupita kwenye hiyo reli na hata zile za dizeli zinaweza kupita humo. Hata kama njia yetu siyo double lane ni mpangilio tu. Kwa mfano: bullet train inaondoka DSM saa 12 asubuhi na haitasimama stesheni yo yote isipokuwa Dodoma (makao makuu ya nchi) na Mwanza tu ambako itafika saa tatu na nusu asubuhi. kwa spidi ya 400 kph. Ile standard train (ya watu wengi) inaondoka Dar saa 12 na nusu asubuhi, itasimama kila stesheni na kufika Mwanza saa 8 mchana. Bullet train itatoka Mwanza saa 9 mchana (baada ya standard train kufika Mwanza na hivyo njia kuwa wazi) na itafika Dar es Salaam saa 12 na nusu jioni baada ya kusimama kidogo makao makuu Dodoma. Na bei kati ya hizi treni zitakuwa tofauti. Ile bullet train ya 400+ kph itakuwa nusu ya bei ya ya tiketi ya ndege wakati ile ya standard train itakuwa robo tatu ya tiketi ya bus. Hapo vipi mkuu? Hizo za mizigo zitatakiwa kusubiri kwenye any station kwa muda wo wote kupisha treni hizi za abiria.
Ntasikitika sana endapo mama atatuletea Hayo masipa kwa kweli atakuwa amenidisappont sanaUmeongea kitaalam sana kamanda watu wanjua bullet train mpaka iwejengewe railway mpya wakati hiyo hiyo ipo tu itakidhi vigezo hivyo
Sidhani kama ni swala rahisi kihivyo ndugu, kwanini waunde reli ya kumudu 160km/p? Si wangesema tu kwamba reli hii ina uwezo wa kumudu treni ya kasi yoyote ile?.Kiwango cha reli ni hicho hicho kwa bullet trains aka express trains na standard electrical trains. Mambo mengine ni mpangilio tu wa kimenejiment. Aina zote mbili zinaweza kupita kwenye hiyo reli na hata zile za dizeli zinaweza kupita humo. Hata kama njia yetu siyo double lane ni mpangilio tu. Kwa mfano: bullet train inaondoka DSM saa 12 asubuhi na haitasimama stesheni yo yote isipokuwa Dodoma (makao makuu ya nchi) na Mwanza tu ambako itafika saa tatu na nusu asubuhi. kwa spidi ya 400 kph. Ile standard train (ya watu wengi) inaondoka Dar saa 12 na nusu, itasimama kila stesheni na kufika Mwanza saa 8 mchana. Bullet train itatoka Mwanza saa 9 mchana (baada ya standard train kufika Mwanza na hivyo njia kuwa wazi) na itafika Dar es Salaam saa 12 na nusu jioni baada ya kusimama kidogo makao makuu Dodoma. Na bei kati ya hizi treni zitakuwa tofauti. Ile bullet train ya 400+ kph itakuwa nusu ya bei ya ya tiketi ya ndege wakati ile ya standard train itakuwa robo tatu ya tiketi ya bus. Hapo vipi mkuu?
Hapana alichozungumza practically kinaleta delay sana ili kusubiriana, hivi unaijua 400kph? Hapo itabidi treni ya kusimama kila kituo isubiriwe baadae treni ya mizigo ya kasi ndogo zaidi isubiriwe.Umeongea kitaalam sana kamanda watu wanjua bullet train mpaka iwejengewe railway mpya wakati hiyo hiyo ipo tu itakidhi vigezo hivyo
Hata watu binafsi na makampuni binafsi yakiruhusiwa ku operate kwenye hii SGR yetu yanaweza kuleta hizo bullet trains kama walivyoleta jet planes hao Fastjet kwenye anga letu enzi zile. Bei ya bullet trains siyo kubwa kama tunavyofikiria. Bei yake ni kama hii hapa walivyonunua India toka Japan:Hivi hiyo bullet train na na SGR yenywe ni ipi ghali kuifance kama tumejenga SGR ya umeme kwa nini tusiitendee haki ,mabon Dreamliner tumenunua Sasa hivyo vibullet ndo vitushinde Kama nchi ,
Sijamaanisha hadi kufika 400km/ hr kama ulivyosema ni nchi uchache sana lakini hoja yangu sio kila bullet train inayotembea 300km/ hr zipo nying tu zinawaz zikamudu aka kwa dizaini yetu ya 160km hrHapana alichozungumza practically kinaleta delay sana ili kusubiriana, hivi unaijua 400kph? Hapo itabidi treni ya kusimama kila kituo isubiriwe baadae treni ya mizigo ya kasi ndogo zaidi isubiriwe.
Speed kubwa inahitaji dedicated line isio na muingiliano sana ili kwamba hio speed iweze kufikiwa, vinginevyo itafanya kazi chini ya kiwango chake.
Tusijipe ukuu kiasi hicho mkandarasi si mjinga ku-design hio speed ya 160kph na makubaliano ya ujenzi yalikuwa hivyo kwani nchi ngapi zina treni za kwenda 400kph duniani?
Wewe faida unayoijua ni hiyo ya hesabu nyepesi nyepesi za kihasibu. Tukijenga mitandao ya barabara za lami nchi nzima za matrillioni ya fedha, wewe unakuja na hesabu zako nyepesi nyepesi kujua zimepata faida au hasara ya shillingi ngapi. Tukijenga mashule na mahospitali, wewe unakuja kuona zimeingiza pesa ngapi na faida au hasara ni pesa ngapi. Kwenye bwawa la Nyerere, Tanzannite bridge, JPM bridge huko Mwanza etc utafanya hivyo hivyo. Umepotea na CAG wako. Serikali huwa haiwagawii pesa mfukoni wananchi wake bali huwawekea mfukoni maendeleo. Maendeleo hayapimwi kwa hesabu zenu hizo za kujumlisha 2 + 2!..ninachotaka kujua ni kama sgr itaendeshwa kibiashara na kwa faida.
..sitaki kusikia habari ya serikali kupata hasara kama inavyotokea kwa atcl.