Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Tumteteee tusiache please. Hata akitoa pesa kama itaonekana kuna ufisadi tuseme zilitolewa na awamu ya 5 ..... Apewe mudaHizo zilishanunuliwa na awamu ya 5,mama kafanyiwa delivery tu..sema kweli halina mvuto,likekaa kaa tu kama kontena la Maersk[emoji23][emoji23]
Ni kweli. Any way hatujui kusema kweli hebu tujaribu kusubiri wahusika watakuja na maelezo yepi wakiliona hilo tangazo la Hyundai walilo litangaza.[emoji848][emoji848][emoji848] labda hii ni ya majaribio, kama ni mimi,
huku ni kuuziana mbuzi kwenye gunia
Labda ndizo zinaendana na bei zetu za hali ya mtu
Zikija hizo mtakamuliwa kwelikweli alisikika mlevi mmoja...Mim nilijua zitaletwa tren zaki sasa zenye muundo wa nyoka.
Sawa nimekuelewa msg sent..Tumteteee tusiache please. Hata akitoa pesa kama itaonekana kuna ufisadi tuseme zilitolewa na awamu ya 5 ..... Apewe muda
Zipo hapa Johannesburg (Gautrain) kama za ulaya tu.Wanakupa kile kinachoendana na uwezo wako wa kiuchumi. Tube train haiwezi kutumia reli ya 1.435 M hii ni kwa ajili ya Boxcab (Diesel/Electric Locomotives) tu na ndio itakayonunuliwa na TRC. Tube trains kwa Afrika bado tunasubiri sana.
Hizo wanazo taka haziendani na uchumi wetu wa kati pia gharama za uendeshaji labda ni kubwa kulinganisha na hizi wanazo ona za kishambaHii point wanaipita tu,, hawajui ndio point ya msingi...
Yatima hadeki,, Kawaida maskini huwa unapata unachostahili na sio unachotaka.
Hatujui. Inawezekana lakini.[emoji848][emoji848][emoji848] labda hii ni ya majaribio, kama ni mimi,
huku ni kuuziana mbuzi kwenye gunia
Sana kama hivyo, aisee hata sijui niseme nini. Nitamwona Mkurugenzi wa TRC kama ni mtu wa ajabu sana mwongo na mwuuzaji wa roho za binadam na asiye stahili sifa alizo zipata so far.Kadogosa na wenzake wote wametutapeli kisaikolojia. Kama matreni yenyewe ndo haya basi si wangetuambia kitambo..
Nani akulete hii utabaki kuziangalia kwenye pichaHii I wish ije niwe wa kwanza kuitumia