Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

[emoji848][emoji848][emoji848] labda hii ni ya majaribio, kama ni mimi,
huku ni kuuziana mbuzi kwenye gunia
Ni kweli. Any way hatujui kusema kweli hebu tujaribu kusubiri wahusika watakuja na maelezo yepi wakiliona hilo tangazo la Hyundai walilo litangaza.
 
Wanakupa kile kinachoendana na uwezo wako wa kiuchumi. Tube train haiwezi kutumia reli ya 1.435 M hii ni kwa ajili ya Boxcab (Diesel/Electric Locomotives) tu na ndio itakayonunuliwa na TRC. Tube trains kwa Afrika bado tunasubiri sana.
Zipo hapa Johannesburg (Gautrain) kama za ulaya tu.
 
Tuliza boli mkuu, muundo unaoonekana hapo hauwezi kutumika kwenye speed ya km 160 kwa saa, hizo ni zile za mijini. Kwa vyovyote vile zitakazotumika hapa kwetu ni lazima ziwe zimechongoka kwa mbele.
 
Kadogosa na wenzake wote wametutapeli kisaikolojia. Kama matreni yenyewe ndo haya basi si wangetuambia kitambo..
Sana kama hivyo, aisee hata sijui niseme nini. Nitamwona Mkurugenzi wa TRC kama ni mtu wa ajabu sana mwongo na mwuuzaji wa roho za binadam na asiye stahili sifa alizo zipata so far.
 
Back
Top Bottom