Maneno Meier
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 2,467
- 1,697
- Thread starter
-
- #101
Sawa tusubiri.Kwahiyo Tumeliwa
Sasa Ngojeni Mama Naye Anaweza Kuokota Treni Bandarini
Huwezi Kujua Ya Mungu Mengi Sana
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji2][emoji1][emoji28][emoji38]
Tusubiri tutakacho letewa hapo mwezi wa nane.Badala ya kujua specifications za hizo treni anaangalia muonekano. Halafu hela ya kununua treni anayotaka hana. Kazi kweli kweli
Nenda kwenye Website ya Hyundai. Link yake si imewekwa kwenye mada? Utaona kila kitu.Je! Wameeleza mchakato wa ugavi na ununuzi ulivyofanyika? Au ndo yaleyale ya jiwe na bombadia
Watuweke wazi tujue ni shi ngapi, sio watupige hela alafu baadae CAG atulete kumbukumbu zake hatutaki huo mchezo. Msichezee Kodi zetu!!!
Hiyo KTX juu ipo safi, lakini hizo nyingine za chini hapana aise
Hata kama. Mwonekano wa kuvutia ni sabuni ya roho.Labla ndo lina special speed kuliko treni nyoka
Noo! [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Acha utani! Treni za nyoka hazina mbele wala nyuma. Kwote ni sawa.Unajua hiyo picha ni nyuma ya Train ?
Hawa Hyundai sijui wanapendewa nini nahisi kuna 10% za wa Msowger humu! Maana yale ma Lift ya Hyundai pale Mloganzila ni mabovu almost 50% of them na hospitali haina hata 10 years toka uzinduzi!
Kusema kweli leo nimesikitika sana kuona aina ya muundo wa treni ambayo serikali yetu imeweka mkataba na kampuni ya Hyundai-Rotem ni treni zenye mwonekano wa ki-Hitler!
Mimi nilifikiri tunaondokana na treni zenye muundo wa kutisha za enzi za George and Robert Stephenson na kuingia kwenye era ya treni za umeme zenye kuburudisha macho kwa design kama za wenzetu wajerumani.
Mama samia Suluhu Hassan Rais wetu nani kakupa ushauri wa kutua saini ya makubaliano ya kununua treni za aina hiyo? Mimi sitaki kuamini na sikutegema kama aina ya treni ambazo zitatereza kwenye reli yetu zingekuwa na mwonekano huo kwenye hiyo picha ya taarifa tuliyoipata kwenye Website ya hiyo kampuni iliyo shinda zabuni ya Hyndai-Rotem. Mbona inatisha?
Nitashangaa sana kama upande mmoja tumejitahidi kutengeneza Stations nzuri, za kisasa na zenye mwonekano mzuri na wa kupendeza na kupata system yenye technology mpya, alafu leo tunaambiwa kuwa tunapata treni zenye vichwa na mabehewa ya enzi za Hitler? Ama kweli Tanzania tunawatu ambao kweli hawajui kwenda na na wakati. Watu wasiokuwa na test ya biashara. Mnategemea nani mtampata kwenye kwenye hayo ma-wreck yenu?
Mkurugenzi Kadogosa hii sio treni ambazo models zake mtangazaji wako Beni Mwanantala amekuwa akituonyesha kwenye maonyesho uwanja wa sabasaba kurasini.
That's awful! Are you really serious with this mkurugenzi?
Sasa naomba niambie kuna tofauti gani na SGR ya kenya kimwonekano? Inamaana mnatufanya sisi ni masokwe mpaka mnatuletea matakataka kama haya ambayo hakuna mtu anaye yataka?
Waziri wa Ujenzi na uchukuzi hivi ni sahihi kweli sisi watanzania mtusweke kwenye ma-wagon yanayo onekana kama treni za kusafirisha mizigo na wanyama kama haya ambayo hata hayavutii? Mmepewa bure nini? Ama ndiyo tuseme mmedhamiria nini kutuletea? Tuambieni?
Nilipokuwa kwenye jengo lenu la maonyesho ya sabasaba mwaka jana na kujionea mwenyewe models za treni na mabehewa ambayo Mr. Mwanantala alitupa maelezo yake, aisee, nilifarijika sana sana moyoni na niliwaombea baraka nyingi kwa muumba wetu za kuwaongoza vizuri katika shughuli zenu za kuwatumikia Watanzania.
Sikutegemea kabisa kuwa leo ingekuwa siku ya majonzi makubwa kwa kuona au kusikia mashine zitakazo tereza kwenye reli yetu ya kisasa ya SGR kumbe ni madudu ambayo yamepitwa na wakati na yasiyo na mvuto hata lidogo. ES IST SCHRECKLICH!
Hyundai Rotem wins contract to deliver trains to Tanzania - Fuentitech
The 97 cars operate at a top speed of 160km / hr. Credit: HYUNDAI ROTEM COMPANY. South Korean-based company Hyundai Rotem has won a $ 295.65 million (335.4 billion won) contract from the Tanzania Railways Limited (TRC) to deliver eco-friendly rail vehicles. Under the contract, TRC will receive $...fuentitech.com
Hicho ndiyo kichwa.Mzee
Hebu tuwekee picha ya mwonekano wa mbele
Hapa umetuwekea kichogo
Kwa Station yetu ya Tanzanite na ile ya Moro? Are you kidding?Hizo ndizo zinawafaa wabongo na mazingira yao
Si kweli. Kaangalie tena hizo movies kwa makini zaidi, alafu ndiyo uje tena uthibitishe hoja yako.Jamaa ameleta picha ya nyuma ya Train, mimi sijawahi kufika ulaya ila nazionaga hizo Train kwenye movies na kiuhalisia kwa nyuma ni mbaya zote.hakuna Train nzuri nyuma, kitu cha msingi ni kwamba zinasafirisha watu haraka na kwa usalama
Zile za pangaboi tulizihitaji haraka na kwa wakati ule hatukuwa na Airports nyingi ambazo ndege za jet zingeweza kutua. Bombardier Q400 zinaweza tua kwenye mazingira magumu pia.Hukumbuki jinsi mlivyo mnanga na zile ndege zake za panga boi!
Tumemwelewa mbona?Haziji za kisasa hadi ujifunze kuandika kwanza
Sure.Bado hatuchelewa wanaweza kurekebisha Ilo. Train zitakuwa tofauti sana na train stations zetu ambazo ziko kisasa. Rekebishani jamani nyie wenye mamlaka, hizo ni za stone age, mostly likely.
Lugha ya malkia chenga mkuu, fanya kama unatafsiri hicho kipande muhimu kwa faida ya sisi wanyongeNenda kwenye Website ya Hyundai. Link yake si imewekwa kwenye mada? Utaona kila kitu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu acha masihala bwana. Mambo ya mfuta yanakujaje?Hizi zenye sura ya nyoka,wanasema zinatumia sana mafuta [emoji125][emoji125][emoji125]
Hatuna taarifa. Mwuulize Mkurugenzi Kadogosa.Kwani bei gan zile zenye muhundo wa nyoka zina weza kufika tilion moja?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Tumeliwa Sana Ndugu Zangu
Tumelaliwa Sana Ndugu Zangu
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji2][emoji1][emoji28][emoji38][emoji28][emoji1][emoji38][emoji2][emoji23]
Hakuna sehemu nimeandika hajaelewekaTumemwelewa mbona?