Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

Utawala wa Magufuli na wa Kikwete kwenye usimamizi wa miradi ya serikali upi ulikuwa bora ?
 
Kwani hizo ni za hii kampuni inayotajwa humu, kwa sababu hatujui muundo wake ndani na uwezo wa injini wanaweza ku-opt yoyote kati ya hizo. Kama mambo mengine mfano bei yapo constant wanaweza kuchanganya design zote kwa idadi sawia au kwa upendeleo wa design moja dhidi ya zingine....kitu kingine wangejitahidi kukamilisha kipande kizima cha SGR kutoka Dar-Dodoma ili hizo treni zianze kuleta manufaa ya haraka.
 
Kweli mkuu hata mimi nina mashaka na hii kampuni ya Hyundai kwenye swala la ubora, vinginevyo wangechanganya na zile za kijapan na kichina...
 


Hizi ndo unaziponda au??
Kama n hiyo iliyopo kwene picha ndo unaiponda bas ww n BONGO ZOZO
 

Ndio Mkuu hizo zote ni za kampuni tajwa
Ni kampuni kubwa na ni maarufu wanatengeneza vitu vingi sio trains tu
Nimeangalia website zao

Kuhusu kumaliza Dar- Dom sijui labda hela zimebana
Taratibu tutafika
 
Ten percent tutapata wapi? acheni chokochoko, Iyo ndo yenyewe iliyo kaa Kama Bata Mzinga, hamtaki panden mabasi, , sura ipo Kama Bata Mzinga aliekosa maji, Safi ipo poa
 
Wanakupa kile kinachoendana na uwezo wako wa kiuchumi. Tube train haiwezi kutumia reli ya 1.435 M hii ni kwa ajili ya Boxcab (Diesel/Electric Locomotives) tu na ndio itakayonunuliwa na TRC. Tube trains kwa Afrika bado tunasubiri sana.
Hivi si ilikua zije na zianze kazi mwishoni mwa 2019 kulitokea mkwamo gani mpaka ziingie awamu ya sita ?
 
Ten percent tutapata wapi? acheni chokochoko, Iyo ndo yenyewe iliyo kaa Kama Bata Mzinga, hamtaki panden mabasi, , sura ipo Kama Bata Mzinga aliekosa maji, Safi ipo poa
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mwehu ww et bata mzinga
 
Treni ya nyoka inatembea 350Km/h hio yenu treni ya batamzinga inatembea 160km/h zilitumika enzi za home alone 1
Mkuu kwa speed ya 350km/hr utaweza ku operate hiyo treni kwenye hii reli yetu ya SGR? au kuna namna njia yake inatengenezwa ili kuepusha maafa kwa raia na mifugo, maana ng'ombe kuvuka reli ni jambo la kawaida sana huku kijijini kwetu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…