Rais Samia: Nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?

Kuwa dhaifu sio dhambi ni sifa, ni dhaifu kwenye suala la uongozi hususani wa jamii, mwanamke ni kiumbe anayepaswa kupewa favour sawa na mtoto si mtu wa kumtegemea kwenye maamuzi magumu yenye tija
Rais samia ni shupavu ,imara na madhubuti na ndio maana amelipatia Taifa letu mafanikio na maendeleo makubwa sana ndani ya muda mfupi katika kila Eneo na kila secta.
 
Ya Kenya hayatuhusu. Sisi tunashughulika na matatizo yetu. Acheni ujanja ujanja katiba mpya lazima.
Sisi watanzania tumeridhishwa na kazi kubwa inayofanywa na Rais samia na serikali yake na ndio maana hakuna ambako umeona watanzania wakiandamana kuhitaji habari za katiba mpya .
 
Hili suala nimelisema toka 2021. Huyu mtu ana upeo mdogo na ataleta machafuko kwenye hii Nchi sababu ana madaraka.
 
Wa kulaumiwa ni JPM Mungu amlipe anayostahiki. Mabeyo alihakikisha katiba inafuatwa. Usijis

ahaulishe. Kama 2020 hukuwa umezaliwa, waulize waliokuzidi umri au angalau pitia yaliyoandikwa. Si huwa munajinasibu ni wasomi? Na huu ndo usomi wenyewe?
JPM alikuwa mwendawazimu akatuachia kichaa
 
Sisi watanzania tumeridhishwa na kazi kubwa inayofanywa na Rais samia na serikali yake na ndio maana hakuna ambako umeona watanzania wakiandamana kuhitaji habari za katiba mpya .
Sema wewe umeridhishwa watanzania hawajakutuma ukae hapo nyuma ya keyboard uandike haya.
 
Hili suala nimelisema toka 2021. Huyu mtu ana upeo mdogo na ataleta machafuko kwenye hii Nchi sababu ana madaraka.
Huna akili wewe .Upeo wa Rais wetu ni mkubwa sana .ana maono makubwa sana ndio maana kwa maono yake makubwa tumeweza kuvuka mitihani mikubwa kama Taifa.Tumejenga misingi mizuri ya uchumi isiyotetereka wala kutikiswa ambayo imeleta matokeo chanya katika maisha ya watanzania.
 
Kuna mdau humu jf alitoa komenti na kusema kwamba , wakati marais wanaogombea wanaangaliwa sana, ila pia waangaliwe wagombea wenza watakaogombea nao. Ile komenti ilinitafakarisha sana. Na pia mtaani kuna mdau fulani hivi mwenye access na huko serikalini alisema huyu hakuwa favorable kwa uncle ,ila ndio hivyo alijikuta ndio runningmate wake aliopendekezwa. Kuna moments nikijaribu kuzi combine together kipindi cha magufuli yawezekana ni kweli
 
Kenya wana katiba mpya na bado wanalia kila kama panya kila siku barabarani .
Wewe unawezaje linganisha Kenya na tz katika utawala bora , hata kama yapo mapungufu, na kiuchumi je ,

Muwe mnajieshimu , mna mambo ya kipumbavu sana mkidhan mnamjenga ,kumbe mnampeleka shimoni, wanafiki wakubwa , ni nyie tu akiondoka madarakani ndo mtakuwa wa kwanza mpiga mawe
 
Una akili sana. Huyu ni rais jina tu.
 
Mama wa nyumbani anazungumza bullshit. Hamna hata logical coherence ya hoja zake. Hata message delivery ni zero. Power of conviction ni zero pia. Ni mumbo jumbo tu alichokuwa anahutubia. All in all ni zero from start to finish.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…