MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Ila kama hakuna kitimoto Choma na ndizi mshale sidhani kama nitaingia huko kwenye neema za allahMkuu ukipewa wale 72,nifanyie hisani japo watano tu,manake mi huko sitafika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kama hakuna kitimoto Choma na ndizi mshale sidhani kama nitaingia huko kwenye neema za allahMkuu ukipewa wale 72,nifanyie hisani japo watano tu,manake mi huko sitafika
Rais samia ni shupavu ,imara na madhubuti na ndio maana amelipatia Taifa letu mafanikio na maendeleo makubwa sana ndani ya muda mfupi katika kila Eneo na kila secta.Kuwa dhaifu sio dhambi ni sifa, ni dhaifu kwenye suala la uongozi hususani wa jamii, mwanamke ni kiumbe anayepaswa kupewa favour sawa na mtoto si mtu wa kumtegemea kwenye maamuzi magumu yenye tija
Doh!Ni Rais wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania..aachie ofisi.
Zomeongezwa za Zimbabwe!?Hatuzungumzii dollar za zimbabwe hapa mkuu
Sisi watanzania tumeridhishwa na kazi kubwa inayofanywa na Rais samia na serikali yake na ndio maana hakuna ambako umeona watanzania wakiandamana kuhitaji habari za katiba mpya .Ya Kenya hayatuhusu. Sisi tunashughulika na matatizo yetu. Acheni ujanja ujanja katiba mpya lazima.
Jinsia yake haihusiki. Dini yake haihusiki. Sehemu ya Kijiografia anayotokea nayo haihusiki.
Kinachohusika hapa ni uwezo wake mdogo alionao.
Uwezo mdogo wa kiuongozi. Uwezo mdogo wa kuchanganua mambo. Na uwezo mdogo wa kujenga hoja.
Mara kadhaa sasa nimeona ona humu baadhi ya watu wakisema kwamba Rais Samia kaonyesha na kuthibitisha kuwa wanawake hawafai katika nafasi kiuongozi.
Mimi hilo nalikataa. Mtu mmoja mwenye uwezo mdogo si mwakilishi wa wanawake wote nchini wala duniani, kwa ujumla.
Uwezo wake mdogo alionao ni wa kwake yeye tu, Rais Samia.
Kilichonisukuma kuileta hii mada hapa ni yale maoni yake aliyoyatoa hapo jana.
View: https://youtu.be/O8SVrOeYtck?si=zAtsS1VP_q_B5Hmo
Rais anahoji kuwa kwani katiba ndo inaleta maendeleo?
Hivi huyu Rais hajui kuwa katiba ya nchi ndo framework ya uongozi na utawala ulio bora?
Bila uongozi na utawala ulio bora, kuna maendeleo gani yaliyo ya maana yanayoweza kupatikana?
Huo ni uwezo mdogo sana wa kufikiri ambao siutegemei utoke kwa kiongozi aliye wa juu kabisa nchini.
Au labda yeye anadhani maendeleo yanatoka wapi au yanakujaje?
Jingine la ajabu alilolizungumzia ni suala la elimu. Kwamba eti watu walio wengi hawajui hata katiba ni kitu gani. Hivyo ni lazima kwanza watu wapewe elimu kabla ya kuiandika hiyo katiba mpya.
Nilichoking’amua hapo ni ‘projection’ yake yeye kuhusu katiba.
Kulingana na kauli zake kuhusu katiba, nadhani yeye ndo hajui katiba ni kitu gani na hivyo anadhani hata wengine nao hawajui katiba ni nini!
Kenya waliandika katiba mpya mwaka 2010 [kama sijakosea].
Afrika Kusini waliandika katiba mpya baada ya kuachana na sheria za ubaguzi wa rangi kwenye miaka ya 90.
Marekani waliandika katiba yao miaka zaidi ya 200 iliyopita na ambayo wameifanyia marekebisho mara 27.
Sehemu nyingi tu duniani zimeandika katiba mpya na zingine kuzifanyia marekebisho katiba zilizopo.
Ni wapi ambako waliielimisha jamii kwanza kabla ya kuandika mpya?
Afrika Kusini walifanya elimu gani kwa wananchi kabla ya kuandika katiba yao mpya?
Waliwakalisha watu madarasani na kuanza kuwafundisha somo la katiba?
Katiba iliyopo sasa hivi wakati inaandikwa elimu ya katiba ilitolewa na nani? Lini? Wapi?
Naona sasa suala la kwamba wananchi hawana elimu ya katiba ndo litakuwa ‘narrative’ ya CCM kukwepa kujadili hoja za katiba mpya.
Kwa nilichokisikia jana, ni dhahiri shahiri kwamba anayehitaji elimu ya kujua katiba ni nini, ni Rais Samia.
Samia hafai kuwa Rais. Alichaguliwa kuwa mgombea mwenza kwa sababu zingine na si kwa sababu alikuwa ni mtu mwenye uwezo unaofaa.
Tuna Rais bomu ambaye hafai kuwepo madarakani hata kwa sekunde moja.
Nadiriki kusema kuwa Samia ndo Rais bomu kushinda marais wote tuliowahi kuwa nao Tanzania.
JPM alikuwa mwendawazimu akatuachia kichaaWa kulaumiwa ni JPM Mungu amlipe anayostahiki. Mabeyo alihakikisha katiba inafuatwa. Usijis
ahaulishe. Kama 2020 hukuwa umezaliwa, waulize waliokuzidi umri au angalau pitia yaliyoandikwa. Si huwa munajinasibu ni wasomi? Na huu ndo usomi wenyewe?
Sema wewe umeridhishwa watanzania hawajakutuma ukae hapo nyuma ya keyboard uandike haya.Sisi watanzania tumeridhishwa na kazi kubwa inayofanywa na Rais samia na serikali yake na ndio maana hakuna ambako umeona watanzania wakiandamana kuhitaji habari za katiba mpya .
Huna akili wewe .Upeo wa Rais wetu ni mkubwa sana .ana maono makubwa sana ndio maana kwa maono yake makubwa tumeweza kuvuka mitihani mikubwa kama Taifa.Tumejenga misingi mizuri ya uchumi isiyotetereka wala kutikiswa ambayo imeleta matokeo chanya katika maisha ya watanzania.Hili suala nimelisema toka 2021. Huyu mtu ana upeo mdogo na ataleta machafuko kwenye hii Nchi sababu ana madaraka.
Wewe jinga usiyejitambua nani amekutuma hapa kuja kutusemea sisi?Sema wewe umeridhishwa watanzania hawajakutuma ukae hapo nyuma ya keyboard uandike haya.
Sisi wengine tuliona hili miaka mingi iliyopita.
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1479911122996236289?s=20
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1696839148898853082?s=20
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1659482580704546816?s=20
Nyani Ngabu TikTok2020 The Burning Spear Gulwa kirengased
Kichaa ni wewe usiye na akiliJPM alikuwa mwendawazimu akatuachia kichaa
Tuna Rais bomu ambaye hafai kuwepo madarakani hata kwa sekunde moja.
Nadiriki kusema kuwa Samia ndo Rais bomu kushinda marais wote tuliowahi kuwa nao Tanzania
Sijamsemea mtu yeyote fuatilia comment zangu kabla hujapanic.Wewe jinga usiyejitambua nani amekutuma hapa kuja kutusemea sisi?
Wewe unawezaje linganisha Kenya na tz katika utawala bora , hata kama yapo mapungufu, na kiuchumi je ,Kenya wana katiba mpya na bado wanalia kila kama panya kila siku barabarani .
KiaziJibu swali Katiba ndio inaleta maendeleo? Vinginevyo ishia kuokota ma box huko huko hakuna Cha diaspora Tzn
Jinsia yake haihusiki. Dini yake haihusiki. Sehemu ya Kijiografia anayotokea nayo haihusiki.
Kinachohusika hapa ni uwezo wake mdogo alionao.
Uwezo mdogo wa kiuongozi. Uwezo mdogo wa kuchanganua mambo. Na uwezo mdogo wa kujenga hoja.
Mara kadhaa sasa nimeona ona humu baadhi ya watu wakisema kwamba Rais Samia kaonyesha na kuthibitisha kuwa wanawake hawafai katika nafasi kiuongozi.
Mimi hilo nalikataa. Mtu mmoja mwenye uwezo mdogo si mwakilishi wa wanawake wote nchini wala duniani, kwa ujumla.
Uwezo wake mdogo alionao ni wa kwake yeye tu, Rais Samia.
Kilichonisukuma kuileta hii mada hapa ni yale maoni yake aliyoyatoa hapo jana.
View: https://youtu.be/O8SVrOeYtck?si=zAtsS1VP_q_B5Hmo
Rais anahoji kuwa kwani katiba ndo inaleta maendeleo?
Hivi huyu Rais hajui kuwa katiba ya nchi ndo framework ya uongozi na utawala ulio bora?
Bila uongozi na utawala ulio bora, kuna maendeleo gani yaliyo ya maana yanayoweza kupatikana?
Huo ni uwezo mdogo sana wa kufikiri ambao siutegemei utoke kwa kiongozi aliye wa juu kabisa nchini.
Au labda yeye anadhani maendeleo yanatoka wapi au yanakujaje?
Jingine la ajabu alilolizungumzia ni suala la elimu. Kwamba eti watu walio wengi hawajui hata katiba ni kitu gani. Hivyo ni lazima kwanza watu wapewe elimu kabla ya kuiandika hiyo katiba mpya.
Nilichoking’amua hapo ni ‘projection’ yake yeye kuhusu katiba.
Kulingana na kauli zake kuhusu katiba, nadhani yeye ndo hajui katiba ni kitu gani na hivyo anadhani hata wengine nao hawajui katiba ni nini!
Kenya waliandika katiba mpya mwaka 2010 [kama sijakosea].
Afrika Kusini waliandika katiba mpya baada ya kuachana na sheria za ubaguzi wa rangi kwenye miaka ya 90.
Marekani waliandika katiba yao miaka zaidi ya 200 iliyopita na ambayo wameifanyia marekebisho mara 27.
Sehemu nyingi tu duniani zimeandika katiba mpya na zingine kuzifanyia marekebisho katiba zilizopo.
Ni wapi ambako waliielimisha jamii kwanza kabla ya kuandika mpya?
Afrika Kusini walifanya elimu gani kwa wananchi kabla ya kuandika katiba yao mpya?
Waliwakalisha watu madarasani na kuanza kuwafundisha somo la katiba?
Katiba iliyopo sasa hivi wakati inaandikwa elimu ya katiba ilitolewa na nani? Lini? Wapi?
Naona sasa suala la kwamba wananchi hawana elimu ya katiba ndo litakuwa ‘narrative’ ya CCM kukwepa kujadili hoja za katiba mpya.
Kwa nilichokisikia jana, ni dhahiri shahiri kwamba anayehitaji elimu ya kujua katiba ni nini, ni Rais Samia.
Samia hafai kuwa Rais. Alichaguliwa kuwa mgombea mwenza kwa sababu zingine na si kwa sababu alikuwa ni mtu mwenye uwezo unaofaa.
Tuna Rais bomu ambaye hafai kuwepo madarakani hata kwa sekunde moja.
Nadiriki kusema kuwa Samia ndo Rais bomu kushinda marais wote tuliowahi kuwa nao Tanzania.
KabisaHuu uzi ndio uzi bora kuliko zote so far miaka 2 iliyopita.