Rais Samia: Nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?

Rais Samia: Nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?

Hizi ni fikra duni sana! Kwamba kwa kuwa watu wanavunja sheria na kukiuka katiba, hakuna haja ya katiba? Nchi imepatwa!!

Hivi ina maana Rais haelewi hata maana ya katiba? Katiba katika nchi ni rejea ya mambo yote ya kiutawala, miundo ya Serikali, sheria na taratibu.

Bila katiba, hakuna Serikali, hakuna bunge wala mahakama. Bila katiba, hakuna hata vyombo vya ulinzi na usalama wala teuzi.

Utamhukumu vipi mhalifu kama huna sheria inayotamka kuwa ukifanya hiki ni kosa, au umekiuka katiba ya nchi?

Mama Abdul awe anaandaliwa mambo ya kuongea mbele ya umma maana kila akitoa kauli, mara nyingi zinaudhalilisha ufahamu wake.
Kwenye Bunge la Katiba alikwenda kufanya nini kama aliamini matokea yake ni kuandikwa Kikaratasi tu???
 
Vitabu ndiyo Elimu,
Hakuna Maendeleo bila Elimu,
Elimu ndiyo kila kitu.
Kauli za kukebehi Vitabu, ni dharau kubwa sana.

Tuzidi kuliombea Taifa.
Endelea kuliombea taifa ili viongozi wapate nguvu za kuuza vilivyo baki maana ngorongoro na bandari ni vya waarabu
 
Rais Samia amesema "Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza watu tunawageuza watu Makasuku, nenda kamuulize kifungu gani cha Katiba kinakuudhi, hajui sasa Katiba mpya ilete nini anakujibu Maendeleo tu, nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Kama kuheshimu Vitabu tungeheshimu Vitabu Vitakatifu, mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?"

Source: East Africa TV

Nimependa huu Ujumbe na utakuwa ndio Ujumbe bora wa mwezi September!
.
20230908_040257.jpg
 
Kuongoza nchi hakuhitaji high IQ, just an average IQ can do!. Nyerere alikuwa high IQ, Mwinyi, average IQ sasa angalia aliyoyafanya Nyerere compared to Mwinyi na sasa yuko wapi?.

Tuje kwa Mkapa high IQ, JK average IQ, angalia aliyoyafanya Mkapa compared to JK na sasa yuko wapi?.

Njoo kwa JPM high IQ, Samia average IQ, angalia aliyoyafanya JPM compared na anachofanya Samia, na sasa yuko wapi?.

Kumbe uongozi wa juu wa Tanzania sio kupokezana tuu kwa dini, Muislamu na Mkristo, ni mpaka kupokezana kwa IQ, high IQ and average IQ, hivyo anayefuata ni high IQ, hivyo tuvumilie tuu tuvute subra, 2025 sio mbali, Mama atapumzika inaingia akili kubwa!.

Pia kuna tatizo la high IQ na longevity, hao high IQ wote tayari... average IQ wanaendea kudunda!.

P
Kwa kawaida low IQ huwa hawana stress ya chochote, hawaumizwi na chochote. Kwao mambo yawe mazuri sawa, yawe hovyo ni sawa. Ndiyo maana, mara nyingi huishi maisha marefu.
 
Rais Samia amesema "Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza watu tunawageuza watu Makasuku, nenda kamuulize kifungu gani cha Katiba kinakuudhi, hajui sasa Katiba mpya ilete nini anakujibu Maendeleo tu, nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Kama kuheshimu Vitabu tungeheshimu Vitabu Vitakatifu, mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?"

Source: East Africa TV

Nimependa huu Ujumbe na utakuwa ndio Ujumbe bora wa mwezi September!
Sielew kwann hawa watu ikijaga issue ya Katiba mpya yaan hawataki hata kuisikia!!
 
Rais Samia amesema "Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza watu tunawageuza watu Makasuku, nenda kamuulize kifungu gani cha Katiba kinakuudhi, hajui sasa Katiba mpya ilete nini anakujibu Maendeleo tu, nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Kama kuheshimu Vitabu tungeheshimu Vitabu Vitakatifu, mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?"

Source: East Africa TV

Nimependa huu Ujumbe na utakuwa ndio Ujumbe bora wa mwezi September!
Nchi zilizoendelea ukifuatilia sana wanaongozwa na katiba nzuri.kwa sababu katiba ni muongozo wa sheria zote na nchi zinaongozwa na sheria hakuna nchi inayoongozwa kiholela.Mama hapa kayakanyaga hana muda huyu.
 
Hapa mama kaanza kuwa yeye sasa. Rais Magufuli alikuwa akiongoza kwa kutumia vipaji vyake vya asili na ndio maana alikuwa kiongozi bora kabisa hii nchi iliwahi kupata. Kitendo cha mama kuanza ku"question" motives za wanasiasa zinaonyesha jinsi ambavyo ameanza kung'amua kuwa usipotumia common senses zako katika uongozi wako utajikuta unaendeshwa tu kama lirobot. Ndio, umuhimu wa vitabu katika kuongoza nchi upo lakini nimependa jinsi ambavyo mama ameweza kufikiria kama yeye.
Ignoramus!
 
Hatari nikuwa watendaji wakuu wote sio big and smart brains... Golden boys/girls huwa excellent toka ngazi za chini mpaka vyuo vikuu!!
Sasa tizama,
R sa100 - alifeli fomfoo akaenda somea ukarani baadae akaunga unga kiujanjajanja vyuo vyajuu
W/M kasim - alifeli fomfoo akaenda ualimu wa praimari baadae akaungaunga kiujanja ujanja vyuo vyajuu
NW/M doto - alifeli fomfoo akaenda ualimu praimari badae akaunga unga kiujanja vyuo vyajuu.
Tena huyu ashtakiwe maana alikuwa hafanyi kazi anabeba mshahara alafu anaunganisha tuu vyuoni wakati kisheria inapaswa kukaa kituoni miaka mitatu ndiyo ukaongeze elimu!!!
Kazi tunayooo, wataacha kugawa mabandar hawa bila kikomo!!
nimecheka kama mazuri! nilipita form four nilipita form six nikabutua chuo 4+, nyie ninakumbuka kuna vilaza walikua wanakaa darasani masaa elfu na walizungusha, mimi nakimbizana na maticha dom, kumbe wale vilaza darasani walikua wana mipango ya kunitawala kweli jamani, kama kuisoma namba tutaisoma kwa sauti kubwa sana.
 
Rais Samia amesema "Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza watu tunawageuza watu Makasuku, nenda kamuulize kifungu gani cha Katiba kinakuudhi, hajui sasa Katiba mpya ilete nini anakujibu Maendeleo tu, nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Kama kuheshimu Vitabu tungeheshimu Vitabu Vitakatifu, mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?"

Source: East Africa TV

Nimependa huu Ujumbe na utakuwa ndio Ujumbe bora wa mwezi September!
Yaani kama Raisi anaamini huu upuuzi wake, basi, amethibitisha alivyokilaza na asivyojua umuhimu wa katiba(mkataba kati ya, mtawala na mtawaliwa).
Yeye na waliomtangulia, waliuza gesi yetu, mashirika yetu ya umma,sasa hv anauza mbuga zetu,nini kinampa kiburi na kumlinda! Kitabu!
Anatutia umaskini kisa tu hiki kitabu, tulichonacho kinampa kiburi, kwanza, kiliandikwa na majizi ya ccm!
Ajitripishe, ajitoe akili, ajifanye hamnazo! Tutaendelea, kuminya mpaka aimbe nyimbo zote anazozijua.
Kitabu(katiba) kitaweka umakini na, ukomo wa, kuteua,na, kitalinda maisha ya watu kwa, kuondoa nguvu za kuteua za, Raisi.
Kitaweka, namna raisi anavyoweza kushitaki wa.
Kitabu ni muhimu, kama akili kubwa Kenya, na, South Afrika, waliandika kitabu, na, wameona umuhimu wake, ndio tunaiambia hii akili ndogo, kuwa, kitabu, ni muhimu.
Vitabu vya dini,vinasimamia maendeleo ya kiroho kuliko mwili,swala, kwanini watu hawavifati! Ni swala binafsi! Mungu ametoa demokrasia! Madhara, yake utayaona ukishatoka hapa duniani,! Na, msimamizi wa hivyo vitabu, ni Mungu mwenyewe,
Kitabu, ni chetu wenyewe sasa, hv, madhara yake tunayaona, Raisi, anajiuamulia tu cha kufsnya, haambiliki, anaweza kumsulubu kiongozi mwingine wa, muhimili wa, serikali(rejea sekeseke LA Spokane ndugai), anaingilia mahakama,anaamua watu wauawe! (Ishu ya Lisu, Dr ulimboka).
Anaweza, kuigawanya, nchi yetu bila ukomo na kuongeza gharama za, uendeshaji! Raisi anajiamulia idadi ya, magari ya, misafara! Yote haya yanatutia umaskini.
 
Kwamba TEC wasimsumbue...mbona ata wao Biblia hawaifati 100%. ...Ata na yeye akiivunja katiba hapa na pale ...watulie tuu.
Usichanganye mambo bro! TEC wasipofata biblia yao, hakuna madhara kwenye rasilimali za, nchi,
Lakini kenge aliyepo magogoni asipofata katiba nzuri, madhara ni makubwa, anaweza akaamka kesho akaigawa nchi ili kuwapa, makada wake vyeo vya RC, DC, RAS, DAS! Hii gharama, itabebwa na mwnanchi.
Anaweza, akauza, Mali ya, umma, bila kuhojiwa, gesi, mashirika, ya, umma(mkapa alikili hapa aliingia mkenge), Mbuga, madini,
Raisi, hashikiki, anaweza, kumsulubu yeyote bila kuhojiwa(rejea, ishu, ya Ndugai).
 
Hata Hilo la Elimu Si Kweli kuwa hatujui Katiba,

Kabla ya time ya Warioba kukusanya maoni, zilidurufiwa nakala za Katiba hii na tulipata muda kuusoma ktk makundi mbalimbali.

Kwann hataki tuanzie Rasimu ya Warioba kama msingi wa kuendelea mbele?
Watu ni wahuni, ubabaishaji mwingi.
 
Sijasoma yote coz nimeona bandiko lako ni msukumo wa chuki uliyoifuga ndani ya nafsi yako,

Hivi unajua kua kuna nchi zina maendeleo makubwa na hazina hiyo katiba? Jipe muda tumia simu yako kujua ni nchi gani hazina hata hiyo katiba ila zina maendeleo makubwa sana.
Aacha utoto basi, wapo wananchi wana maisha mazuri, kipato kizuri lkn elimu yao ni ziro, vp hapo madarasa yafungwe.
 
Hapo nipo pamoja na mama, kiukweli katiba mpya sio solution ya matatizo yetu hasa ya kiraia sana sana itawafavour wanasiasa na ndicho wanachokitaka sana, ukifuatilia katiba yetu sio mbaya sana ila ni kama inafavour chama kimoja na hapo ndio ugomvi ulipo sema wanasuasa hawataki kufufunguka wanatumia kigezo cha wananchi.

Kwa kutumia katiba hii tumeona mambo aliyoyafanya JPM ndani ya muda mfupi na karibu kila nwananchi alimkubali ukiacha wanasiasa wachache waliomchukia kwa sababu za maslahi yao ya kisiasa, maana ni hasili ya binadamu kumchukia mshindani wake akiwa anafanya vizuri na kufurahia pale anapofanya vibaya.
 
Aacha utoto basi, wapo wananchi wana maisha mazuri, kipato kizuri lkn elimu yao ni ziro, vp hapo madarasa yafungwe.
Wewe kiazi ndio umeandika nini hapa mpuuzi wewe? hivi umeelewa hiyo comment yangu uliyoiquote au umekurupuka tu?
Mwambie mumeo aache utoto sio mimi.
 
Kwani Katiba ni Kitabu ? Katiba ni Miungozo /sheria na Misingi ya jinsi nchi inavyoongozwa na sio lazima iwe Kitabu Kimoja; Kitabu Kimoja cha Katiba cha Uingereza kipo wapi ? Je hii ina maana hawana Katiba ? Katiba lazima iwepo not necessarily codified in a single book - Katiba ni zaidi ya vitabu vyenu vya Dini sababu hii ndio inatoa muongozo kwa watu waumini na wasio waumini....
 
Kwa kawaida low IQ huwa hawana stress ya chochote, hawaumizwi na chochote. Kwao mambo yawe mazuri sawa, yawe hovyo ni sawa. Ndiyo maana, mara nyingi huishi maisha marefu.
Watu wazuri ni wale wenye low IQ
 
hata mimi leo ndo nimeona ujinga ullionao baada ya kuzungumza huu upuuzi tena kwa mihemko
Kwa hiyo Rais Samia alitaka kusema nini?
Hakuna haja ya kuwa na vitabu vitakatifu au katiba?
Hata tukiwa na hivyo vitabu bado hatupaswi kuvifuata?

Kuna vitu mtu mwenye heshima au mamlaka hupaswi kuvisema mbele za watu, maana ukivisema watu watagundua ujinga ulio
 
Back
Top Bottom