Ndio yeye ni RAIS by default!!! Unajua maana yake?Nyie wenye uwezo mkubwa wa kufikiri mmefika wapi. Yeye ni Rais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio yeye ni RAIS by default!!! Unajua maana yake?Nyie wenye uwezo mkubwa wa kufikiri mmefika wapi. Yeye ni Rais
Hata hizo sijui phd za heshima muwe mnaangalia na watu wa kuwapa. Totally disgraceKwa hiyo Rais Samia alitaka kusema nini?
Hakuna haja ya kuwa na vitabu vitakatifu au katiba?
Hata tukiwa na hivyo vitabu bado hatupaswi kuvifuata?
Kuna vitu mtu mwenye heshima au mamlaka hupaswi kuvisema mbele za watu, maana ukivisema watu watagundua ujinga ulionao.
Maendeleo hayako defined na Katiba Wala vitabu vya diniKwa hiyo Rais Samia alitaka kusema nini?
Hakuna haja ya kuwa na vitabu vitakatifu au katiba?
Hata tukiwa na hivyo vitabu bado hatupaswi kuvifuata?
Kuna vitu mtu mwenye heshima au mamlaka hupaswi kuvisema mbele za watu, maana ukivisema watu watagundua ujinga ulionao.
Rais Samia amesema " Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza watu tunawageuza watu Makasuku, nenda kamuulize kifungu gani cha Katiba kinakuudhi, hajui sasa Katiba mpya ilete nini anakujibu Maendeleo tu, nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Kama kuheshimu Vitabu tungeheshimu Vitabu Vitakatifu, mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?"
Source: East Africa TV
Nimependa huu Ujumbe na utakuwa ndio Ujumbe bora wa mwezi September!
Amesahau aliyotamka mbele ya Mungu wake.... loh! Nilidhani tumepata Raisi mwenye hofu ya Mungu, kumbe tuna Raisi mwenye hofu ya wanaadamu, swala.5, kesha sahau aliahidi nini?!!! Basi kwasababu aliapa yeye mwenyewe, leo anaongea kama si yeye, amejilaani yeye mwenyewe na Mungu atamshusha kwa kiburi chake.expand...
Nchi makini alikuwa anatoka kazini asubuhiRais Samia amesema " Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza watu tunawageuza watu Makasuku, nenda kamuulize kifungu gani cha Katiba kinakuudhi, hajui sasa Katiba mpya ilete nini anakujibu Maendeleo tu, nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Kama kuheshimu Vitabu tungeheshimu Vitabu Vitakatifu, mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?"
Source: East Africa TV
Nimependa huu Ujumbe na utakuwa ndio Ujumbe bora wa mwezi September!
Huna jibu ndomana umekimbilia kutukanaPumbafuu
Maza ana wasiwasi 2025 inamponyoka taratibu. Machawa tu ndiyo wanamuelewa.Rais Samia amesema " Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza watu tunawageuza watu Makasuku, nenda kamuulize kifungu gani cha Katiba kinakuudhi, hajui sasa Katiba mpya ilete nini anakujibu Maendeleo tu, nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Kama kuheshimu Vitabu tungeheshimu Vitabu Vitakatifu, mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?"
Source: East Africa TV
Nimependa huu Ujumbe na utakuwa ndio Ujumbe bora wa mwezi September!
Nawe hujanielewa! Hakuna Rais wa Tanzania atakubali kugusia vitu viwili ambavyo ni 1. Katiba Mpya au 2. Muungano. Hiyo kitu ndiyo nilikuwa nakueleza.Umeelewa ninachozungumza hapa mkuu?
Embu rudia kusoma tena tafadhali.
Nimekuelewa mkuu,Nawe hujanielewa! Hakuna Rais wa Tanzania atakubali kugusia vitu viwili ambavyo ni 1. Katiba Mpya au 2. Muungano. Hiyo kitu ndiyo nilikuwa nakueleza.
Nilingojea kuona njia ya Samia ya kutokea naona ameamua sasa kuiweka hadharani.
Kuongoza nchi hakuhitaji high IQ, just an average IQ can do!. Nyerere alikuwa high IQ, Mwinyi, average IQ sasa angalia aliyoyafanya Nyerere compared to Mwinyi na sasa yuko wapi?.Ndo ukweli wenyewe huo…..
Hiyo ndiyo njia ya pekee kupata katiba Mpya! Vyama vya upinzani vinakosea padogo sana! Kuna upenyo wa kutokea ila kwa ubinafsi walio nao kama Tundu Lissu hawawezi kuutumia. Uchochoro ni mgombea binafsi. Mgombea binafsi akiruhusiwa hata Ngazi ya Ubunge itaiweaken CCM kiasi mageuzi yataanzia katika Bunge.Nimekuelewa mkuu,
Tutawalazimisha tu, watake wasitake... alikubali mkoloni mzungu, watakuwa hawa weusi wenzetu... wengine wengi wao tumewazidi hata marks za darasani... no way.
Angekubali 2025 apumzike, hapo sawa. Ila …Kuongoza nchi hakuhitaji high IQ, just an average IQ can do!. Nyerere alikuwa high IQ, Mwinyi, average IQ sasa angalia aliyoyafanya Nyerere compared to Mwinyi na sasa yuko wapi?.
Tuje kwa Mkapa high IQ, JK average IQ, angalia aliyoyafanya Mkapa compared to JK na sasa yuko wapi?.
Njoo kwa JPM high IQ, Samia average IQ, angalia aliyoyafanya JPM compared na anachofanya Samia, na sasa yuko wapi?.
Kumbe uongozi wa juu wa Tanzania sio kupokezana tuu kwa dini, Muislamu na Mkristo, ni mpaka kupokezana kwa IQ, high IQ and average IQ, hivyo anayefuata ni high IQ, hivyo tuvumilie tuu tuvute subra, 2025 sio mbali, Mama atapumzika inaingia akili kubwa!.
Pia kuna tatizo la high IQ na longevity, hao high IQ wote tayari... average IQ wanaendea kudunda! Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling
P
KuchanganyikiwaRais Samia amesema " Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza watu tunawageuza watu Makasuku, nenda kamuulize kifungu gani cha Katiba kinakuudhi, hajui sasa Katiba mpya ilete nini anakujibu Maendeleo tu, nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Kama kuheshimu Vitabu tungeheshimu Vitabu Vitakatifu, mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?"
Source: East Africa TV
Nimependa huu Ujumbe na utakuwa ndio Ujumbe bora wa mwezi September!
Mmeipenda wenyewe,jiandaeni Kwa tozo zaidiRais Samia amesema " Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza watu tunawageuza watu Makasuku, nenda kamuulize kifungu gani cha Katiba kinakuudhi, hajui sasa Katiba mpya ilete nini anakujibu Maendeleo tu, nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Kama kuheshimu Vitabu tungeheshimu Vitabu Vitakatifu, mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?"
Source: East Africa TV
Nimependa huu Ujumbe na utakuwa ndio Ujumbe bora wa mwezi September!
Kuongoza nchi hakuhitaji high IQ, just an average IQ can do!. Nyerere alikuwa high IQ, Mwinyi, average IQ sasa angalia aliyoyafanya Nyerere compared to Mwinyi na sasa yuko wapi?.