Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,146
- 5,520
2025 tutwatia hata visu vya mataqo subirini wasengelema nyie.Kwa taratibu za Katiba iliyopo ambayo imeivusha Nchi Toka 1961 Hadi Sasa.
Ni hivi kama mliyegemea Kulazimisha Katiba Mpya ya Kisiasa imewakata,kilochobakia toeni mapovu weeee kama ya DP World harafu mtaacha wenyewe baada ya watu kuwapuuza