Rais Samia amesema "Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza watu tunawageuza watu Makasuku, nenda kamuulize kifungu gani cha Katiba kinakuudhi, hajui sasa Katiba mpya ilete nini anakujibu Maendeleo tu, nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Kama kuheshimu Vitabu tungeheshimu Vitabu Vitakatifu, mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?"
Source: East Africa TV
Nimependa huu Ujumbe na utakuwa ndio Ujumbe bora wa mwezi September!
Yaani kama Raisi anaamini huu upuuzi wake, basi, amethibitisha alivyokilaza na asivyojua umuhimu wa katiba(mkataba kati ya, mtawala na mtawaliwa).
Yeye na waliomtangulia, waliuza gesi yetu, mashirika yetu ya umma,sasa hv anauza mbuga zetu,nini kinampa kiburi na kumlinda! Kitabu!
Anatutia umaskini kisa tu hiki kitabu, tulichonacho kinampa kiburi, kwanza, kiliandikwa na majizi ya ccm!
Ajitripishe, ajitoe akili, ajifanye hamnazo! Tutaendelea, kuminya mpaka aimbe nyimbo zote anazozijua.
Kitabu(katiba) kitaweka umakini na, ukomo wa, kuteua,na, kitalinda maisha ya watu kwa, kuondoa nguvu za kuteua za, Raisi.
Kitaweka, namna raisi anavyoweza kushitaki wa.
Kitabu ni muhimu, kama akili kubwa Kenya, na, South Afrika, waliandika kitabu, na, wameona umuhimu wake, ndio tunaiambia hii akili ndogo, kuwa, kitabu, ni muhimu.
Vitabu vya dini,vinasimamia maendeleo ya kiroho kuliko mwili,swala, kwanini watu hawavifati! Ni swala binafsi! Mungu ametoa demokrasia! Madhara, yake utayaona ukishatoka hapa duniani,! Na, msimamizi wa hivyo vitabu, ni Mungu mwenyewe,
Kitabu, ni chetu wenyewe sasa, hv, madhara yake tunayaona, Raisi, anajiuamulia tu cha kufsnya, haambiliki, anaweza kumsulubu kiongozi mwingine wa, muhimili wa, serikali(rejea sekeseke LA Spokane ndugai), anaingilia mahakama,anaamua watu wauawe! (Ishu ya Lisu, Dr ulimboka).
Anaweza, kuigawanya, nchi yetu bila ukomo na kuongeza gharama za, uendeshaji! Raisi anajiamulia idadi ya, magari ya, misafara! Yote haya yanatutia umaskini.